Ndondocha mkuu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 2,516
- 3,041
Wanatambulika na gov wanadai.Wizi mtupu.
Yani utoe ela ununue Nyoka sijui kuku.
Mara ukusanye point.
Lugha zote za kitapeli hizo.
Njoo fafanua biashara inaendeshwaje, inazalisha bidhaa gani au inauza bidhaa gani au huduma gani? Wateja ni nani?
Mikataba ipi mtu anaingia, analindwa vipi kisheria na uwekezaji wake?
Sio bla bla tu za kihuni