heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 8,038
- 13,358
Subirini izo return zenu
Mkuu hii nimeona kuna watu wanapata ela kwelii,mfano jana kuna watu wamenunua nyoka kwa lak 6,wamepata mil 5,jana hyo mkuu
NI PONZI SCHEME UTAPELI UNAOPENDWA NA WA TANZANIA WENGI ULIANZIA HUKO UFARASANSA UKAPIGWA MARUFUKU KABISA LAKINI SASA NDIO UMEKUWA MCHEZO PENDWA KWA WA TANZAN
Mkuu ni hatar na ½, watu wametoa lak 6,wanasubr milion 5 mbaka 7 kesho jukatatu.dah imagine wangenunua chatu[emoji30][emoji30][emoji30]
Ukiuliza kwa sasa hivi majibu ni lazima yatakuwa chanyatu, watu wanapiga hela.Kama kuna mtu ambaye ameshashiriki ninaomba dodoso tafadhari.
Hali ilivyo kwa sasa ni kuwa watu wamenunua nyoka kwa lak 6 ijumaa, na jumatatu wameahidiwa kupata milioni 6, tunasubr tuone.Ukiuliza kwa sasa hivi majibu ni lazima yatakuwa chanyatu, watu wanapiga hela.
Huu ni muda wa matangazo ya word of mouth
Baadaye ikija kufika juu mzunguko ukakua pesa ikaonekana au ikaanza kupungua yaani pale top. Hapo ndo utasikia, tutarejea hewani baada ya muda mfupi muwe na utulivu
Natabiri watapata!Hali ilivyo kwa sasa ni kuwa watu wamenunua nyoka kwa lak 6 ijumaa, na jumatatu wameahidiwa kupata milioni 6, tunasubr tuone.
Acha uongo. Anunue jana na apate jana?Mkuu hii nimeona kuna watu wanapata ela kwelii,mfano jana kuna watu wamenunua nyoka kwa lak 6,wamepata mil 5,jana hyo mkuu
Ni kama mkataba tu kuwa ukimpa mtu sh 100,000/= atakuwa anakulipa sh 2000 kila siku kwa muda fulani ambao mtakaubaliana.Sasa mnyama huyo anazalishaje pesa daily?
Mkuu hujanielewa, juz ijumaa walitoa ofa ya mnyama mpya nyoka kuwa ukimnunua nyoka kwa laki 6, bas unapata point ambazo zitakuwezesha kupata milion 5 hadi 6, hii ofa ilianza ijumaa asubuh ikafungwa saa 12, jana walifungua tena hii ofa wakasema itaisha nov 5 yaan leo, na ukilipa tu lak 6 milion 5 unaiona kwenye akaunt ila kutoa ndio mbaka jumatatu, sasa sijui kama itatoka kwel na weng sana wamemnunua nyoka ili wapate hii mil 5.Acha uongo. Anunue jana na apate jana?
Iko hivi: unanunua mnyama. Mfano - bata anauzwa sh 50000/=. Kinachofanyika utakuwa unalipwa sh 2000 kila siku kwa muda wa miezi 3. Siyo unalipwa yote 180,000/= utapewa kwa pamoja.
Unaweza kununua mnyama zaidi ya mmoja na malipo ni kwa kila mnyama.
Yuko padri mmoja msomi kanunua wanyama wenye thamani ya sh 6m. Analipwa sh 92,000/= kila siku. Nabatalipwa hivyo kwa miezi 6.
Utata ni je project itadumu kwa huo muda wote? Wewe unayefikiria kujiunga leo, utakula kama hawa wanaokula sasa hivi?
La kujifunza ni kuwa hii michezo yote inapoanza hulipa sana. Halafu network huanza kusumbua na kisha wahusika hupotea.
You may join for your own risk.
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Tatizo hauziki kwa mkupuo. Ni mkataba wa miezi mitatu au zaidi kutegemeana na aina ya mnyama.Nunua Leo,ukimuuza mnyama wako toa Hela Yako fastaa
Sahihi,ila sijui kama hii milion 5 watapata au lahTatizo hauziki kwa mkupuo. Ni mkataba wa miezi mitatu au zaidi kutegemeana na aina ya mnyama.
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Wajiandae kupigwa...Tatizo hauziki kwa mkupuo. Ni mkataba wa miezi mitatu au zaidi kutegemeana na aina ya mnyama.
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Yaweza kuwa wanataka watu watupie mpunga huo wa kilo 6 wakalipa ili kuhamasisha wengine au ndo wakapotea mazima. [emoji23]Sahihi,ila sijui kama hii milion 5 watapata au lah
Mara nyingine kuwa mtu wakusikiliza sauti yako ya ndani kuliko kuwasikiliza watuKama kichwa cha habari kinavyojieleza wakuu.
Kuna kampuni hii ya mtandaoni inaitwa "Sunranch", hii ni kampuni ambayo unanunua mnyama mtandaoni na kuanza kupiga faida kila siku.
Kuna mtu ananishawishi nijiunge lakini moyo unasita.
Kama kuna mtu ambaye ameshashiriki ninaomba dodoso tafadhari.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ila mtu mwenye akili timamu hawezi kuucheza Huo mchezo..maana uko wapi kabisa kama lazima utapeliwe mbeleMsichokijua ni kuwa kp kipanya44 na Ndondocha mkuu ni id moja ambayo inaipigia promo hiyo kampuni,na ukweli ni kuwa sio kweli kwamba anaulizia bali anataka awachote members humu ili mkatapeliwe.
Sasa unaweza kuta mda wa kutapeliwa bado kwahyo ukawin, in fact ni vigumu kujua kama target yao ya kupiga ela ndio imetimia.Ila mtu mwenye akili timamu hawezi kuucheza Huo mchezo..maana uko wapi kabisa kama lazima utapeliwe mbele