Msaada: Kampuni ya Sunranch ni halali au ni utapeli mwingine?

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wakuu.

Kuna kampuni hii ya mtandaoni inaitwa "Sunranch", hii ni kampuni ambayo unanunua mnyama mtandaoni na kuanza kupiga faida kila siku.

Kuna mtu ananishawishi nijiunge lakini moyo unasita.

Kama kuna mtu ambaye ameshashiriki ninaomba dodoso tafadhari.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wabongo kila siku mnatapeliwa, na bado hamkomi.
Hivi jambo kama hili nalo linahitaji ushauri kweli!! Katika hali ya kawaida, unamnunua vipi mnyama mtandaoni!!
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wakuu.

Kuna kampuni hii ya mtandaoni inaitwa "Sunranch", hii ni kampuni ambayo unanunua mnyama mtandaoni na kuanza kupiga faida kila siku.

Kuna mtu ananishawishi nijiunge lakini moyo unasita.

Kama kuna mtu ambaye ameshashiriki ninaomba dodoso tafadhari.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hebu jiunge kisha utujulishe endapo itakutatiza.
 
Attachments

  • Screenshot_20231104-175140_WhatsApp.jpg
    Screenshot_20231104-175140_WhatsApp.jpg
    177.9 KB · Views: 19
watu wanapga ela nyie
 
Attachments

  • Screenshot_20231104-175140_WhatsApp.jpg
    Screenshot_20231104-175140_WhatsApp.jpg
    177.9 KB · Views: 18
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wakuu.

Kuna kampuni hii ya mtandaoni inaitwa "Sunranch", hii ni kampuni ambayo unanunua mnyama mtandaoni na kuanza kupiga faida kila siku.

Kuna mtu ananishawishi nijiunge lakini moyo unasita.

Kama kuna mtu ambaye ameshashiriki ninaomba dodoso tafadhari.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Huyo mnyama anatoa maziwa au mnauza ndama, nyama au nini ? Naana yake ni kivipi wana monetize hao wanyama.
 
Back
Top Bottom