Acha uongo. Anunue jana na apate jana?
Iko hivi: unanunua mnyama. Mfano - bata anauzwa sh 50000/=. Kinachofanyika utakuwa unalipwa sh 2000 kila siku kwa muda wa miezi 3. Siyo unalipwa yote 180,000/= utapewa kwa pamoja.
Unaweza kununua mnyama zaidi ya mmoja na malipo ni kwa kila mnyama.
Yuko padri mmoja msomi kanunua wanyama wenye thamani ya sh 6m. Analipwa sh 92,000/= kila siku. Nabatalipwa hivyo kwa miezi 6.
Utata ni je project itadumu kwa huo muda wote? Wewe unayefikiria kujiunga leo, utakula kama hawa wanaokula sasa hivi?
La kujifunza ni kuwa hii michezo yote inapoanza hulipa sana. Halafu network huanza kusumbua na kisha wahusika hupotea.
You may join for your own risk.
Sent from my Infinix X688B using
JamiiForums mobile app