Panzi Mbishi
JF-Expert Member
- Mar 8, 2021
- 2,344
- 3,023
Sasa hii ina uzuri gani?Ila matapeli ni magenius sana,deile wanaibuka na mbinu mpya nzuri nzuri.
Sasa hii ina uzuri gani?Ila matapeli ni magenius sana,deile wanaibuka na mbinu mpya nzuri nzuri.
Mkuu mm nipo kwenye hilo group,ila sio tapeliTepeli mkuu wa matepeli wewe
Lak 6 kwa mil 6Sasa hii ina uzuri gani?
kwenye maisha siku zote hakuna hela ya bure mwisho wake mtalia tu kwa kupenda vya bureKama kichwa cha habari kinavyojieleza wakuu.
Kuna kampuni hii ya mtandaoni inaitwa "Sunranch", hii ni kampuni ambayo unanunua mnyama mtandaoni na kuanza kupiga faida kila siku.
Kuna mtu ananishawishi nijiunge lakini moyo unasita.
Kama kuna mtu ambaye ameshashiriki ninaomba dodoso tafadhari.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Utspeli mpyaKama kichwa cha habari kinavyojieleza wakuu.
Kuna kampuni hii ya mtandaoni inaitwa "Sunranch", hii ni kampuni ambayo unanunua mnyama mtandaoni na kuanza kupiga faida kila siku.
Kuna mtu ananishawishi nijiunge lakini moyo unasita.
Kama kuna mtu ambaye ameshashiriki ninaomba dodoso tafadhari.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
PumbavuLak 6 kwa mil 6
Mkuu,kwa kweli tumepigwa[emoji28]WADAU NAPENDA KUSIKITIKA NA KUSEMA KUWA SUNRANCH GROUP LIMEFUNGWA, ELA HAZITOKI
Pole sana mkuu..,Mimi wameondoka la laki na elf sabini, nilikuwa nimenunua wanyama wawili tu wa Bei ndogondogoWameniuzia snake hawa jamaaaaa
Unasema?Mkuu hii nimeona kuna watu wanapata ela kwelii,mfano jana kuna watu wamenunua nyoka kwa lak 6,wamepata mil 5,jana hyo mkuu