Msaada: Kampuni ya Sunranch ni halali au ni utapeli mwingine?

Msaada: Kampuni ya Sunranch ni halali au ni utapeli mwingine?

Kwanini ukishanunua wasitoe freedom kuwithdraw pesa yako Papo hapo ilihali imeshaingia?
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wakuu.

Kuna kampuni hii ya mtandaoni inaitwa "Sunranch", hii ni kampuni ambayo unanunua mnyama mtandaoni na kuanza kupiga faida kila siku.

Kuna mtu ananishawishi nijiunge lakini moyo unasita.

Kama kuna mtu ambaye ameshashiriki ninaomba dodoso tafadhari.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwamba Simba unamnunua mtandaoni..!!! Hivi DECI haikuwatosha kujua kuwa mnapigwa?
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wakuu.

Kuna kampuni hii ya mtandaoni inaitwa "Sunranch", hii ni kampuni ambayo unanunua mnyama mtandaoni na kuanza kupiga faida kila siku.

Kuna mtu ananishawishi nijiunge lakini moyo unasita.

Kama kuna mtu ambaye ameshashiriki ninaomba dodoso tafadhari.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Halali kabisa weka hela upate hela
 
Dear Rancher, Due to the large number of people withdrawing money, the financial staff is in the process of approving it. Please don't worry, each of your withdrawals will be credited to your account. The company promises that everyone's withdrawals will be credited within 48 hours, so please remain patient and understanding.
 
Back
Top Bottom