Msaada: Kampuni ya Sunranch ni halali au ni utapeli mwingine?

Msaada: Kampuni ya Sunranch ni halali au ni utapeli mwingine?

KP KIPANYA44 na NDONDOCHA MKUU ni mtu mmoja,hivyo unaandika na kujibu mwenyewe kujifanya unatoa ufafanuzi ili uchote akili za watu humu JF kisha UWAPIGE!!!mnaopenda vya dezo kuweni makini,mnaenda kulia muda mchache ujao
Mkuu mm sihusiki uko ila namimi ni member tu japo sijanunua mnyama hata m1, kipanya na mm ni watu tofauti
 
NI PONZI SCHEME NI UTAPELI UNAOPENDWA NA WATANZANIA WENGI HASA MAJOBLESS ULIANZIA HUKO UGHAIBUNI ILA ULIPIGWA MARUFUKU JUMLA HII PONZI NI KAMA UPANGA HUMLA HATA ALIE USHIKA
Screenshot_2023-10-05-10-18-16-91.jpg
 
Kwa hiyo hapo ni kama unabet sio?
Ya, maana watu waliotoa laki 6 hadi sasa ni kama watu 1200, sasa lak 6 x 1200 ni 720,000,000.

Wao watoe milioni 6 x watu 1200 , = 7,200,000,000 ni bilion saba na milioni 200.

Sasa ukichukua bilioni 7 utoe milion 700 ,ni bilion 6 na point ,et waitoe tu for free, hapo ndipo daught inakuja.
 
NI PONZI SCHEME NI UTAPELI UNAOPENDWA NA WATANZANIA WENGI HASA MAJOBLESS ULIANZIA HUKO UGHAIBUNI ILA ULIPIGWA MARUFUKU JUMLA HII PONZI NI KAMA UPANGA HUMLA HATA ALIE USHIKA View attachment 2804299
Ya, maana watu waliotoa laki 6 hadi sasa ni kama watu 1200, sasa lak 6 x 1200 ni 720,000,000.

Wao watoe milioni 6 x watu 1200 , = 7,200,000,000 ni bilion saba na milioni 200.

Sasa ukichukua bilioni 7 utoe milion 700 ,ni bilion 6 na point ,et waitoe tu for free, hapo ndipo daught inakuja.
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wakuu.

Kuna kampuni hii ya mtandaoni inaitwa "Sunranch", hii ni kampuni ambayo unanunua mnyama mtandaoni na kuanza kupiga faida kila siku.

Kuna mtu ananishawishi nijiunge lakini moyo unasita.

Kama kuna mtu ambaye ameshashiriki ninaomba dodoso tafadhari.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kimbia mapema usisubiri mwezi wa 10 mwakani ukiona mkurugenzi wa kampuni akipandishwa mahakamani kwa uhujumu uchumi halafu na pesa zenu kuwa mali ya Umma …! Stuka kimbia…😂😂😂😂😂
 
Mkuu hii nimeona kuna watu wanapata ela kwelii,mfano jana kuna watu wamenunua nyoka kwa lak 6,wamepata mil 5,jana hyo mkuu
Wajinga ndio waliwao yani kwa akili ya kawaida nani akupe millioni 4 laki nne bila kuifanyia kazi? 😂😂😂😂? Hao una ona wamepata ni wenzao wanapeana na pesa zinazunguka hapo hapo!

Hao ni kama wale wanao jifanya kunadi nguo na utaona kundi kubwa la watu wamezunguka wana nunua nguo kumbe ni wenzao wamewapa hela ili waje kununua kuwahadaa wajinga wajinga ..na wewe ukifika pale utaona kabisa hawa wanunuzi hawajuani kumbe kabla ya kuja huwa wanaambiana tawanyikeni mtakuja baadae kila mtu kwa muda wake….
 
Ya, maana watu waliotoa laki 6 hadi sasa ni kama watu 1200, sasa lak 6 x 1200 ni 720,000,000.

Wao watoe milioni 6 x watu 1200 , = 7,200,000,000 ni bilion saba na milioni 200.

Sasa ukichukua bilioni 7 utoe milion 700 ,ni bilion 6 na point ,et waitoe tu for free, hapo ndipo daught inakuja.
Hivi watu huwa na akili gani?
 
Wizi mtupu.

Yani utoe ela ununue Nyoka sijui kuku.

Mara ukusanye point.

Lugha zote za kitapeli hizo.

Njoo fafanua biashara inaendeshwaje, inazalisha bidhaa gani au inauza bidhaa gani au huduma gani? Wateja ni nani?

Mikataba ipi mtu anaingia, analindwa vipi kisheria na uwekezaji wake?

Sio bla bla tu za kihuni
 
Back
Top Bottom