Msaada: Kampuni ya Sunranch ni halali au ni utapeli mwingine?

Mkuu hii nimeona kuna watu wanapata ela kwelii,mfano jana kuna watu wamenunua nyoka kwa lak 6,wamepata mil 5,jana hyo mkuu

Aiseeh! Unatoa lakii tano unapata faida ya milioni tano. Faida ni mara tisa ya mtaji?. Hata Kama ni hivyo Mimi siwezi ingia huko.
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wakuu.

Kuna kampuni hii ya mtandaoni inaitwa "Sunranch", hii ni kampuni ambayo unanunua mnyama mtandaoni na kuanza kupiga faida kila siku.

Kuna mtu ananishawishi nijiunge lakini moyo unasita.

Kama kuna mtu ambaye ameshashiriki ninaomba dodoso tafadhari.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Fafanua vizuri Mkuu maana Nimelima maharage hapa na nimevuna Debe 5 naweza uza debe 5 zote nijilishe huyo Nyoka
 
humshawishi mtu, kwa nn usiwashawishi ndugu zako waondokane na umaskini, lak 6 kwa milion 5 !!!

Kweli kabisa. Hakuna faida ya hivyo Yani unatoa lakii SITA unapata faida ya milioni 5.
 
Ukiuliza kwa sasa hivi majibu ni lazima yatakuwa chanyatu, watu wanapiga hela.

Huu ni muda wa matangazo ya word of mouth

Baadaye ikija kufika juu mzunguko ukakua pesa ikaonekana au ikaanza kupungua yaani pale top. Hapo ndo utasikia, tutarejea hewani baada ya muda mfupi muwe na utulivu

Hii imekaa kitapeli Sana. Maana pointi kubadilika kuwa pesa ni mpaka mwaka uishe.
 
Sasa Ni jumatatu usiku, chakula Cha jioni mmekula lakini, maana kutapeliwa ni msiba, tupeane mrejesho wandugu, msiugulie kimyakimya, problem shared is partly solved

Na hii inatoa indicator kwa wale waliowekeza ili kupata mwisho wa mwaka, vitambi vimetepeta
 
Watalipa
 
Nimekuwa busy Sana Tena zaidi ya kawaida kutokana na Hali halisia ilivyo, ila uzuri ni kwamba kampuni hii italeta furaha kwa Kila mmoja na kutimiza ahadi zake zotee. Tunatambua kuwa mambo mengi yanawawia vigumu kuelewa, lakini uzuri ni kwamba baada ya furaha kurudi kwa Kila mmoja tunaomba usisahau kumshukuru Mungu kwa aliyekupa fursa hii. C. E. O Mr Douglas promised the best method for all ranchers for his love of Tanzania country, so let us wait calmly and patience Good Night🙏🏿
 
Hakuna biashara ya hivyo
Nimekuwa busy Sana Tena zaidi ya kawaida kutokana na Hali halisia ilivyo, ila uzuri ni kwamba kampuni hii italeta furaha kwa Kila mmoja na kutimiza ahadi zake zotee. Tunatambua kuwa mambo mengi yanawawia vigumu kuelewa, lakini uzuri ni kwamba baada ya furaha kurudi kwa Kila mmoja tunaomba usisahau kumshukuru Mungu kwa aliyekupa fursa hii. C. E. O Mr Douglas promised the best method for all ranchers for his love of Tanzania country, so let us wait calmly and patience Good Night🙏🏿
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wakuu.

Kuna kampuni hii ya mtandaoni inaitwa "Sunranch", hii ni kampuni ambayo unanunua mnyama mtandaoni na kuanza kupiga faida kila siku.

Kuna mtu ananishawishi nijiunge lakini moyo unasita.

Kama kuna mtu ambaye ameshashiriki ninaomba dodoso tafadhari.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sio kwamba wewe ndio tapeli.unatafuta wsteja kiaina? Huku hupati hata mmoja tunajielewa. Nenda facebook
 
Back
Top Bottom