miaka 35 anaish kwa shemeji hadi analeta mchumba humo humo hamna kitu tena humoMi nimeolewa miaka miwili iliopita lakini kutokana kutafta maisha mme wangu anaishi nchi za nje kutafta maisha nakweli mungu mwena tunaendelea vyema pamoja kwamba hayuko hapa.
Alimchukuaga kakaangu kamtaftia kazi huko kakaangu kutokana natabia yake nakujingiza katika kazi flani akawa deported
Kutokana kwamba nimtu wastarehe sana hela aliokua nayo ilivyoisha tukakubalina pamoja na mme wangu aje tuishi pamoja hapa Arusha maana hakuna watu wengi sana nyumbani.
Sasa kilichonifanya niandike hii post kakaangu anabadilisha wasichana mpaka naogopa kila siku lazima alete mwanamke napia alishawahi kumleta sister hadi.
Kwaupande wangu naumia jinsi anavyo chezea watoto wawatu wengine wanakua namatumaini kwamba atawaoa kumbe hana huu mpango. Ambao tumezoweana kwa haraka wananipigia cm wakilia juu yake wala hata yy hana habari
Namweshim sana maana he is over 35 kwahyo amenizidi ka miaka 10. Natafta jinsi yakuongea nae nashindwa
Naomba mnisaidie nifanyeje aweze kuwa na msichana moja tu basi hata wawili sio kukutana kwenye corridor na sura mpya kila cku.
Lakini pia tangu j. Mosi iliopita alileta mwanamke moja nimkubwa kama mamayetu kama 45-50 alafu cjawahi kuona akika na mwanamke mda mrefu hivo amejichubua vibaya sema mstarabu alafu anjituma sana jikoni. Pili huyu mama msafi sana pamoja kwamba ni mnene ila anajitahidi kazi hapa napale Sasa naona kakaangu kafika kwamara yakwanza naona akitoka kazini kuwahi nyumbani kumchukua bibie nakwenda Mjini kupooza koo. Sina shida nahuyu mama sema mamaangu mwezi wa10 anakuja nyumbani nahuyu mama naona ndo kafika hadi naona anazungmzia kuweka banda lakuku.
Ebu naomba mnishauri jinsi yakumwambia either aondokena huyu mamaake mlezi maana yetu nae sio habba atokubali kwa jinsi navyo mjua mama pia ana pressure, au huyu mama aondoke mwenyewe maana kaka hata hajigusi wala kumhofia maza. Nifanyeje wakuu
Kaka yako ni hasara nawe pia bila kumsahau mumeoMi nimeolewa miaka miwili iliopita lakini kutokana kutafta maisha mme wangu anaishi nchi za nje kutafta maisha nakweli mungu mwena tunaendelea vyema pamoja kwamba hayuko hapa.
Alimchukuaga kakaangu kamtaftia kazi huko kakaangu kutokana natabia yake nakujingiza katika kazi flani akawa deported
Kutokana kwamba nimtu wastarehe sana hela aliokua nayo ilivyoisha tukakubalina pamoja na mme wangu aje tuishi pamoja hapa Arusha maana hakuna watu wengi sana nyumbani.
Sasa kilichonifanya niandike hii post kakaangu anabadilisha wasichana mpaka naogopa kila siku lazima alete mwanamke napia alishawahi kumleta sister hadi.
Kwaupande wangu naumia jinsi anavyo chezea watoto wawatu wengine wanakua namatumaini kwamba atawaoa kumbe hana huu mpango. Ambao tumezoweana kwa haraka wananipigia cm wakilia juu yake wala hata yy hana habari
Namweshim sana maana he is over 35 kwahyo amenizidi ka miaka 10. Natafta jinsi yakuongea nae nashindwa
Naomba mnisaidie nifanyeje aweze kuwa na msichana moja tu basi hata wawili sio kukutana kwenye corridor na sura mpya kila cku.
Lakini pia tangu j. Mosi iliopita alileta mwanamke moja nimkubwa kama mamayetu kama 45-50 alafu cjawahi kuona akika na mwanamke mda mrefu hivo amejichubua vibaya sema mstarabu alafu anjituma sana jikoni. Pili huyu mama msafi sana pamoja kwamba ni mnene ila anajitahidi kazi hapa napale Sasa naona kakaangu kafika kwamara yakwanza naona akitoka kazini kuwahi nyumbani kumchukua bibie nakwenda Mjini kupooza koo. Sina shida nahuyu mama sema mamaangu mwezi wa10 anakuja nyumbani nahuyu mama naona ndo kafika hadi naona anazungmzia kuweka banda lakuku.
Ebu naomba mnishauri jinsi yakumwambia either aondokena huyu mamaake mlezi maana yetu nae sio habba atokubali kwa jinsi navyo mjua mama pia ana pressure, au huyu mama aondoke mwenyewe maana kaka hata hajigusi wala kumhofia maza. Nifanyeje wakuu
Huyo ndo wakusomesha mtu?I wish you knew me kuna member humu wananifaham am not of that type. Pili baba yetu alishaaga dunia kaka kachukua majukum ya kunisomesha. Sikutaka kuliongelea hili maana hafanyi kwasasababu alinisomesha hajawahi kunisimanga hata cku moja
Ila kama kakaangu namweshim sana. Najua hata humu sio wote mna ndugu zenu. Wakubwa huwezi out of nowhere kuanza kufukuza. Ndomaana nimeomba usahauri
Kama ni kukusomesha alikusomesha wewe siyo mmeo.Mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe.Mmeo haifurahii hali hiyo,unadhani watu wa familiya yake wanaweza kukutembelea hapo kwa namna hiyo?.Mmeigeuza Nyumba kuwa danguro alafu unasema eti anakaangiza.Vitabia vya malezi ya pwani ndo vijana wanalelewa kijinga hivyo.Mkoa ninaotoka mimi hili ni jambo la aibu mnoo,Katika ukoo wenu hakuna wanaume wenye ajili kumuondoa japo?.eti alinisomesha,upuuzi huo.Kaka yako amelelewa na mama yenu katika hali ya kutokuwa responsible ndio maana hana hata familiya wala kupanga chumba kimoja kiburugwa.Havina uhusiano. Tafautisha character, behaviour na personality. Naomba tu ushauli wako. Alafu huko nyuma hakuwa hivyo
Umeongea kwa hisia kuliko ushauri. Nini shida mkuu. Ndomana awali ckutaka kulizungumzia hiloKama ni kukusomesha alikusomesha wewe siyo mmeo.Mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe.Mmeo haifurahii hali hiyo,unadhani watu wa familiya yake wanaweza kukutembelea hapo kwa namna hiyo?.Mmeigeuza Nyumba kuwa danguro alafu unasema eti anakaangiza.Vitabia vya malezi ya pwani ndo vijana wanalelewa kijinga hivyo.Mkoa ninaotoka mimi hili ni jambo la aibu mnoo,Katika ukoo wenu hakuna wanaume wenye ajili kumuondoa japo?.eti alinisomesha,upuuzi huo.Kaka yako amelelewa na mama yenu katika hali ya kutokuwa responsible ndio maana hana hata familiya wala kupanga chumba kimoja kiburugwa.