Nilisha jaribu kumwambia akasema for security purposes maana nilikua mimi na namsaidizi ndo tukakubalina tuishi pamojaKazi kweli kweli... hiyo tabia ya kubadilisha badilisha wanawake sidhani kama itakuwa ni rahisi kumshauri aelewe....
Vipi ukimshauri bro atafute kwake anasemaje??
Mmmh aisee vipi huyo Sugar Mummy?? ulishamueleza bro kuwa huyo mwanamke hafai kuwepo hapo?? na mumeo hili suala lote anazungumziaje kama ulishawahi kumdodosea?Nilisha jaribu kumwambia akasema for security purposes maana nilikua mimi na namsaidizi ndo tukakubalina tuishi pamoja
Una hatar wwKama mtu kakupita miaka 10 na ni mtu mzima na haoni umuhimu wa kuacha hiyo tabia basi huna cha kufanya ndo maisha aliyochagua...kama unaona na undugu umekushinda vinja undugu vin ginevyo muache na maisha yake au mfukuze kwakoWivu upi mkuu maana ni kakaangu wadamu sema hii tabia ndo imenishinda. Nafanya kazi mkuu
Nimeelewa mwambie bro wako aondoke kwako kukaa na kaka yako hapo siku zote atakuja kukulaumu....siku ukiondoka dunianHuyu mama ni btn 45- 50. My mum ni 54. Shida yiko wapi.