Msaada juu ya kaka yangu, nifanyeje?

Msaada juu ya kaka yangu, nifanyeje?

Hahaha eti hadi raha. Basi amuachie mom akija hapo home atajua cha kumshauri mwanae maana akisema aingilie kati uhusiano huo atachukiwa na wengi.
Nilishaelewa kule tunachambanaga hadi raha, kasema amemsomesha kwa hiyo bro ni km amechetuka flani iv so ni ngumu kwa yeye kumface
 
Hahaha eti hadi raha. Basi amuachie mom akija hapo home atajua cha kumshauri mwanae maana akisema aingilie kati uhusiano huo atachukiwa na wengi.
Yap ni ngumu kiukweli kumface ye amsubiri mama yake maana Hii ni aibu
 
Kwa yesu kuna majibu yote

Naweza sema hvo na ww ukawa ni christian but i mean to be salveted by the blood of jesus



Hakuna njia nyingine ttz sio mama ttz lipo kichwan mwa kaka yako
 
Yani hapo kwako kukoje mpk huyo 'mbibi' anataka kuweka na banda?? Naelewa umuhimu wake kwako lakini kiukweli kila kitu kina mipaka yake! Sio kisa ndio aliechangia wewe kuwa hapa basi ndo aitumie vibaya hiyo hali.
 
Naomba tu ushauri jinsi yakumwambia aondoke bila ugonvi. Pia nilitaka kumwambia mme wangu mamaangu kaniomba nisimwambie ndo kasema anakuja kuongea nae. Ndi kinachomleta maza. Kama kweli mtu unamweshim nduguyo huwezi mfukuza kama mbwa nitumie njia gani yayeye kuondoka bila kuleta shida kwenye famila.

Nahirat mama yako alitakiwa amuite nyumbani na ampige marufuku kwako. Mkumuonea aibu sasa jiandaeni kubeba aibu na lawama zaidi mbeleni.


Undugu lawama.
 
Ametulia na jimama lake ameacha kubadilisha wanawake shida tena
 
Huyo kaka yako ana miaka 35 bado anakaa kwa dada'ke?
Tatizo linaanzia hapo, usije ukashangaa siku moja akakuomba papuchi
Hahahaaa mkuu nilikuwa nawaza hivyo hivyo umeniwahi kuongea jambo hili.
 
Timua kaka kabla mwekezaji hajaweka banda la kuku!!
Je mlipata malezi ya baba na mama???
Huyo nyumba ni sasa na zile gesti za short time
 
Mi nimeolewa miaka miwili iliopita lakini kutokana kutafta maisha mme wangu anaishi nchi za nje kutafta maisha nakweli mungu mwena tunaendelea vyema pamoja kwamba hayuko hapa.

Alimchukuaga kakaangu kamtaftia kazi huko kakaangu kutokana natabia yake nakujingiza katika kazi flani akawa deported

Kutokana kwamba nimtu wastarehe sana hela aliokua nayo ilivyoisha tukakubalina pamoja na mme wangu aje tuishi pamoja hapa Arusha maana hakuna watu wengi sana nyumbani.
Sasa kilichonifanya niandike hii post kakaangu anabadilisha wasichana mpaka naogopa kila siku lazima alete mwanamke napia alishawahi kumleta sister hadi.

Kwaupande wangu naumia jinsi anavyo chezea watoto wawatu wengine wanakua namatumaini kwamba atawaoa kumbe hana huu mpango. Ambao tumezoweana kwa haraka wananipigia cm wakilia juu yake wala hata yy hana habari
Namweshim sana maana he is over 35 kwahyo amenizidi ka miaka 10. Natafta jinsi yakuongea nae nashindwa
Naomba mnisaidie nifanyeje aweze kuwa na msichana moja tu basi hata wawili sio kukutana kwenye corridor na sura mpya kila cku.

Lakini pia tangu j. Mosi iliopita alileta mwanamke moja nimkubwa kama mamayetu kama 45-50 alafu cjawahi kuona akika na mwanamke mda mrefu hivo amejichubua vibaya sema mstarabu alafu anjituma sana jikoni. Pili huyu mama msafi sana pamoja kwamba ni mnene ila anajitahidi kazi hapa napale Sasa naona kakaangu kafika kwamara yakwanza naona akitoka kazini kuwahi nyumbani kumchukua bibie nakwenda Mjini kupooza koo. Sina shida nahuyu mama sema mamaangu mwezi wa10 anakuja nyumbani nahuyu mama naona ndo kafika hadi naona anazungmzia kuweka banda lakuku.

Ebu naomba mnishauri jinsi yakumwambia either aondokena huyu mamaake mlezi maana yetu nae sio habba atokubali kwa jinsi navyo mjua mama pia ana pressure, au huyu mama aondoke mwenyewe maana kaka hata hajigusi wala kumhofia maza. Nifanyeje wakuu

Hivi ukihisiwa kwamba labda unamtamani huyo Kaka yako au hata ' unabanduana / unangonoka / unakazana ' nae tutakuwa tunakosea? Huo Wivu wako kwa Kaka yako alitakiwa awe nao Wifi yako ( Mpenzi / Demu wake ) lakini cha kushangaza Dada Mtu ndiyo umekomaa na kushadadia. Wanawake wa Kiswahili bhana!!!!!!!
 
ivi kwanini ndugu walio wengi wana visa vya ajabu yani over 30 unaishi kwa ndugu na vimada unaleta?
 
Hivi ukihisiwa kwamba labda unamtamani huyo Kaka yako au hata ' unabanduana / unangonoka / unakazana ' nae tutakuwa tunakosea? Huo Wivu wako kwa Kaka yako alitakiwa awe nao Wifi yako ( Mpenzi / Demu wake ) lakini cha kushangaza Dada Mtu ndiyo umekomaa na kushadadia. Wanawake wa Kiswahili bhana!!!!!!!
Oh my goodness God forbid!!! Ebu you wear my shoes ukiwa na dada yako akiwa anafanya vile utafuraia! Wala hata cna wivu angekua habadilishi nisingekua na shida.
 
Kama ana hela za kupiga mtungi na kubadilisha mademu kila siku mwambie akapange au ajenge kwake sasa wewe unalilea jitu kubwa hivyo kwa sababu ni kaka yako mwishoe atakuletea wajomba hapo hapo uwalee. Emu ni pm namba ya hilo jimama lililomkamata nilipe ushauri wa kufuga kuku
 
Mkataa pema pabaya panamuita,amechukua vidada akavilizaaaaaa sasa amemchukua bibi yenu.mwache apambane na hali yake wewe muelez mama yenu asije akapata mshituko akimkuta mama ake hapo nyumbani
 
Demu wa bro wako ni 45_50
Mama yenu naye anachezea hapo hapo 45_50(kama mama yetu)
Kaka yako ni over 35
Kuna kitu hakijakaa sawa hapa.
 
Back
Top Bottom