Msaada juu ya kaka yangu, nifanyeje?

Me nahc huyo bro wako Ni msiri wako Wenda na ww Unaleta vibwana vyak ndo mana unashndw kumchana Makav kw kuw unahc wend akaharb kw Mumeo. Haiwezkan ww umlete kwk af ushndw kumrekebxh. Wasting our time 4 non sense
I wish you knew me kuna member humu wananifaham am not of that type. Pili baba yetu alishaaga dunia kaka kachukua majukum ya kunisomesha. Sikutaka kuliongelea hili maana hafanyi kwasasababu alinisomesha hajawahi kunisimanga hata cku moja

Ila kama kakaangu namweshim sana. Najua hata humu sio wote mna ndugu zenu. Wakubwa huwezi out of nowhere kuanza kufukuza. Ndomaana nimeomba usahauri
 
Ww ulshashndw Kuumalz mgogor ss cha kuongea utakitoa wap wkt ht kumwambia tuu "kaka kuwa makin Kuna maradh" umeshndw af unajtamba unampenda.
Nshawahi kumwambia sio mara moja anaketa visingizio vya hapa na pale
 
I wish you knew me kuna member humu wananifaham am not of that type. Pili baba yetu alishaaga dunia kaka kachukua majukum ya kunisomesha. Sikutaka kuliongelea hili maana hafanyi kwasasababu alinisomesha hajawahi kunisimanga hata cku moja

Ila kama kakaangu namweshim sana. Najua hata humu sio wote mna ndugu zenu. Wakubwa huwezi out of nowhere kuanza kufukuza. Ndomaana nimeomba usahauri
Ooooohhh kumbe it's like dady on behalf. .. Daaah OK any way Too Sor if had been harsh you.
 
I wish you knew me kuna member humu wananifaham am not of that type. Pili baba yetu alishaaga dunia kaka kachukua majukum ya kunisomesha. Sikutaka kuliongelea hili maana hafanyi kwasasababu alinisomesha hajawahi kunisimanga hata cku moja

Ila kama kakaangu namweshim sana. Najua hata humu sio wote mna ndugu zenu. Wakubwa huwezi out of nowhere kuanza kufukuza. Ndomaana nimeomba usahauri
Haya maelezo ungetatoa kile mwanzo ungeeleweka mamii, huyo km alikusomesha msubiri mama yako a deal nae basi
 
Mmh jamani bora nibaki shabiki wa nanilii yeye ana nafuu kuliko kuingia MMU na kujionea maajabu. Jibaba miaka 35 bado anategemea pesa za shemeji na dada mtu!!!???
 
Shabiki wa nani? Hapa sasa tumeelewana miaka 35 ana....
 
Ss kw ss we mwache ucmwambie chcht tena mpet mpet huyo Wifi yako ili Abaki awe km Ushahid kw bi mkubwa. Af pia n vema ukatuambia ukwel kk ako nn klmkut il Tukusaidie mawaz pia
 
Aah acha hizo unataka mpaka nikuelekeze mlango wa celebrity forums!? Ndio hivyo miaka hiyo haikupaswa aendelee kumlea hapo home.ila its too late kumwambia aondoke. Angeanza tangu mwanzo kaka mtu alipoharibu huko nchi za watuwatu asingemkaribisha kuishi nao hapo.
Shabiki wa nani? Hapa sasa tumeelewana miaka 35 ana....
 
Aah acha hizo unataka mpaka nikuelekeze mlango wa celebrity forums!? Ndio hivyo miaka hiyo haikupaswa aendelee kumlea hapo home.ila its too late kumwambia aondoke. Angeanza tangu mwanzo kaka mtu alipoharibu huko nchi za watuwatu asingemkaribisha kuishi nao hapo.
Nilishaelewa kule tunachambanaga hadi raha, kasema amemsomesha kwa hiyo bro ni km amechetuka flani iv so ni ngumu kwa yeye kumface
 
Asee pole sana , nafkiri kabla your mom hajaja ilitakiwa ndugu mwanaume mtu mzima miongoni mwa baba zenu ama your uncles then afanye kama ujio wa ghafla baada ya kuona hiyo situaation hapo amuite faragha kiume kuwa ni aibu kwa umri huo kuishi kwa shemeji na kubadilisha k daily otherwise naona anaweza akampuuzia mama like he did to you
 
Na me nlmchokonoa Maksudically ili aseme chanzo cha ugum wa kumchana
Mkuu Hii comment ni ya numbisa si ya mtoa mada, pole lkn kwa kuchanganya

Haya turudi kwny mantiki yako mtoa mada kule mwanzo hajaelezea kinaga ubaga juu ya kigugumizi ndo maana lawama tulizielekeza kwake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom