Msaada: Jinsi ya kuvunja ndoa ya kikristo

Habari ndugu zangu, naishi Kigoma, nina lafiki yangu wa kike alifunga ndoa na mwanaume mmoja hivi toka wameona mwanaume hajawahi kushiriki tendo la ndoa na hana uwezo kabisa.

Wameishi miezi 3, hali hiyo imefanya binti arudi kwao. Kwa sasa anamiezi 2 na amepata mchumba mwingine, je, anawezaje kuvunja ndoa?

Naomba ushauri wapendwa.
Kwani kwenye kiapo cha ndoa aliapa aje. Hiyo ndoa haiwezi kuvunjwa kwa sababu yoyote ile isipokuwa uzinzi

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Tusome namba mbili hapo kwa wale wakatoliki
 
Attachments

  • Screenshot_20230713-022456_Chrome.jpg
    Screenshot_20230713-022456_Chrome.jpg
    110.5 KB · Views: 8
Habari ndugu zangu, naishi Kigoma, nina lafiki yangu wa kike alifunga ndoa na mwanaume mmoja hivi toka wameona mwanaume hajawahi kushiriki tendo la ndoa na hana uwezo kabisa.

Wameishi miezi 3, hali hiyo imefanya binti arudi kwao. Kwa sasa anamiezi 2 na amepata mchumba mwingine, je, anawezaje kuvunja ndoa?

Naomba ushauri wapendwa.
Uislam raha sana.

Kigezo hicho tayari mwanamke angshatowa talaka (Khuluu).
 
Mkuu, nikupe tu ushauri kwamba wakati mwingine ni busara kunyamaza kimya kuliko ku-comment jambo ambalo huna hakika nalo halafu ukampotosha mtoa mada.

Kanisa halivunji ndoa ya Kikristo hata siku moja. Kinachofanyika ni kwamba ukitokea mgogoro kati ya wanandoa, jukumu la Kanisa ni kuwasuluhisha tu wanandoa hao, lakini likishindwa kuwasuluhisha litaandika Hati ambayo mwanandoa anayetaka kuachana na mwenza wake ataiambatanisha hati hiyo kwenye maombi maaalumu ya kuiomba Mahakama iwaachanishe wanandoa hao.

Lakini ili Mahakama iwaachanishe wanandoa ni lazima sababu iwe moja kati ya zifuatazo; vipigo vilivyokithiri, mwanandoa mmoja kukamatwa ugoni kwa zaidi ya mara 2, mwanandoa mmoja kubadilisha dini (kwa mfano mfunge ndoa ya Kikristo halafu mwanandoa mmoja awe muislamu), mwanandoa mmoja kuwa kichaa au kufungwa jela kwa zaidi ya miaka 5 n.k.

Kukosa uwezo wa kufanya mapenzi siyo sababu.

ILA, Sheria inawataka wanandoa kuhakikisha WANAJAMIIANA ule usiku wa ndoa yao isipokuwa kama kuna changamoto labda mwanamke yuko period au matatizo mengine ya kiafya. Lakini kama wote mko sawa halafu msiposhiriki tendo usiku wa ndoa yenu basi ndoa hiyo itahesabika kwamba ni batili.

Kama huyo mwanaume hana nguvu za kiume, its obvious kwamba hawakushiriki tendo usiku wa ndoa yao and therefore the institution of marriage is invalid in the eyes of law.

Mwambie anitafute mimi au akamuone Wakili amsaidie ili Mahakama iwatenganishe kwa kigezo cha kutojamiiana usiku wa ndoa yao.

Nawasilisha.
Ok kuhusu hizi sababu hasa namba 2 hapa chini unasemaje ?

Ok pita hapa ,hasa hapo namba mbili
 
Attachments

  • Screenshot_20230713-022456_Chrome.jpg
    Screenshot_20230713-022456_Chrome.jpg
    110.5 KB · Views: 8
Sijui kiingereza kweli, lakini
Umeona Ulichokua umekiandika mwanzo na ulicho ki quote tena?
Mkuu, relax kwanza. Take a glass of water ndio u-comment.

Hakuna nilipokosea. My point is; KUSHINDWA KUFANYA MAPENZI USIKU WA SIKU AMBAYO MMEFUNGA NDOA NDIO KOSA, KWASABABU KUFANYA LILE TENDO BAADA TU YA KUFUNGISHWA NDOA NDIO KUNAHALALISHA NDOA HIYO.

LAKINI, ikiwa mmfenga ndoa, na mkafanikiwa kufanya tendo usiku wa siku mliyofunga ndoa. Ikatokea mkaishi kwa kipindi flani vizuri tu halafu mmoja wa wanandoa ndio akaja kukosa uwezo wa kufanya mapenzi, hapa huwezi kwenda Mahakamani kuomba muachanishwe kwa kigezo cha mwanandoa kukosa nguvu za kiume, kwasababu tatizo limejitokeza baadaye.

Umeelewa?
 
Habari ndugu zangu, naishi Kigoma, nina lafiki yangu wa kike alifunga ndoa na mwanaume mmoja hivi toka wameona mwanaume hajawahi kushiriki tendo la ndoa na hana uwezo kabisa.

Wameishi miezi 3, hali hiyo imefanya binti arudi kwao. Kwa sasa anamiezi 2 na amepata mchumba mwingine, je, anawezaje kuvunja ndoa?

Naomba ushauri wapendwa.
Ungemuuliza mchungaji wakati anawapa kiapo na ahadi ya ndoa: kipengele cha katika shida na raha,katika afya na ugonjwa, katika umasikini na utajiri: hadi kifo kiwatenganishe! kahitimisha na kusema alichokiunganisha Mungu mwanadamu asikitenganishe palepale angenyoosha kidole kabla hajasaign kale ka-shahada. Nashauri aendelee na ndoa wamwombe Mungu,pia waone wataalam wa afya kila kitu kitakaa sawa ni mapema sana
 
Back
Top Bottom