Quod Nocet Saepe Docet
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 7,944
- 17,268
Ndoa ya kikristo huwa haivunjjiki mpaka kifo. Kwa hiyo, jibu jepesi kwa swali/hoja yako uliyouliza ni kwamba, mmoja wenu anatakiwa kujiua au kujinyonga ili kuvunja ndoa hiyo na kumwacha huru mwenzake aliyebaki hai.Habari ndugu zangu, naishi Kigoma, nina lafiki yangu wa kike alifunga ndoa na mwanaume mmoja hivi toka wameona mwanaume hajawahi kushiriki tendo la ndoa na hana uwezo kabisa.
Wameishi miezi 3, hali hiyo imefanya binti arudi kwao. Kwa sasa anamiezi 2 na amepata mchumba mwingine, je, anawezaje kuvunja ndoa?
Naomba ushauri wapendwa.
