Msaada: Jinsi ya kuvunja ndoa ya kikristo

Msaada: Jinsi ya kuvunja ndoa ya kikristo

Ndoa ya kikristo huwa haivunjjiki mpaka kifo. Kwa hiyo, jibu jepesi kwa swali/hoja yako uliyouliza ni kwamba, mmoja wenu anatakiwa kujiua au kujinyonga ili kuvunja ndoa hiyo na kumwacha huru mwenzake aliyebaki hai.
Inavunjika vizuri kabisa Mkuu, tembelea Mahakama zetu uone vinavyopigwa chini. Tena ndoa changa kwa kongwe.
 
Haishauriwi kuingi kwenye ndoa bila kufanya vipimo muhimu vya afya kama....

1. Rubella hasa mwanamke (huchangia watoto kuzaliwa viziwi,vipofu)
2.Vinasaba
3.Thalassemia (kuna makundi ya damu mkioana mtazaa watoto wenye anemia)
4. Hali ya Afya ya Akili
5. Magonjwa ya kudumu
6. Magonjwa ya zinaa
7. Kipimo cha VVU
8. Uzazi (hapa mwanaume hupimwa uwezo wake wa kusimamisha, kiwango na wingi wa mbegu, mwanamke hupimwa kizazi coz anaweza kuingia kwenye ndoa kumbe kizazi kilishatupwa siku nyingi
9. Kundi la damu (kuna makundi ya damu hayaoani) matokeo mtayaona kwa watoto mtakao wazaa
10. Genotype (zisipoendana wewe na mwenzi wako mtazaa watoto wenye sickle cell)
11. Homa ya ini (Hepatits A,B & C) hii ni mbaya sana
Kwavile umesena neno hairuhusiwi embu tuambie hilo onyo ni chini ya sheria ipi?
 
Mwanaume ukiwa na pesa hizo kelele sijui za tendo huwezi kutana nazo.
Kama babu unaitwa handsome baby sembuse tendo.
 
Ndoa ya kikristu ni balaa wakifuata utaratibu awatafute watu wote waliohudhuria siku ya ndoa wote waje kama walivyokuwa wamevaa kama walikuwa wajawazito waje na mimba zao.
Huna msaada Home boy
 
Duuh msalaa hapoo mwanamke akiambiw apeleke ushahidii jeGhaflaa jamaa analeta videoo jogoo anawikaa
 
Sasa jamaa ameshajua jogoo hawiki alafu anamsumbua msichana wa watu adi anafunga nae ndoa, Kwanin asingevunga na matatizo yake.

mke anataka kukunwa alaf kikunio kibovu, itakuwa ameoa kwa kutoa mikosi tu
 
Back
Top Bottom