Kuvunja ndoa ya kikristo ni mpaka kifo ama kuchepuka, Kwanini wakristo hawatii sheria zao wanakimbilia mahakamani kuvunja ndoa kwa sababu zingine ?

R-K-O

JF-Expert Member
Jun 27, 2023
482
2,138
Na kama kuna kanisa linavunja ndoa nje ya hizo sababu basi ni wazi hawaheshimu dini yao.

Huko mahakamani kumekuwa kimbilio la kwaristo wengi kuvunja ndoa kwa sababu zingine kabisa nje ya hizo mbili.

- Mke anamnyima mume unyumba mwaka, Mwanaume rijali viungo vyake vimeumbwa na Mwenyezi Mungu kuwa active na ni ngumu kukaa hata wiki 2 bila kushiriki tendo, Huko kanisani anaambiwa avumilie, anaona sheria za kikrtisto ni za mdomoni tu heri akimbilie mahakamani

- Mke hawezi kuzaa ama mume hawezi kutunga mimba, huko kwao wazazi wake wanataka mjukuu lakini ni mwaka wa tano sasa bila bila, anaona sheria za kikristo zipo mdomoni tu kiuhalisia haziwezi kutendeka, huyooo mahakamani

- Mke anachukia ndugu na mama wa mme wake, imewahi kufikia hatua mpaka kutaka kumwekea mama wa mme wake shumu kwenye chakula, mume anaona hili ni balaa, huko kanisani anaambiwa wavumiliane, Mwanaume anaona hizi sheria za kikristo ni za mdomoni tu anakimbilia mahakamani.
 
Na kama kuna kanisa linavunja ndoa nje ya hizo sababu basi ni wazi hawaheshimu dini yao.

Huko mahakamani kumekuwa kimbilio la kwaristo wengi kuvunja ndoa kwa sababu zingine kabisa nje ya hizo mbili.

- Mke anamnyima mume unyumba mwaka, Mwanaume anaingia tamaa kisa upwiru anakimbilia mahakamani kuomba ndoa ivunjike aoe tena.

- Mke hawezi kuzaa ama mume hawezi kutunga mimba, mtu anaingia tamaa ya kwenda mahakamani ili kuvunja ndoa aoe au aolewe ili apate watoto.

- Mke anachukia ndugu na mama wa mme wake, mwanaume anaona huyu mke hafai anakimbilia mahakamani kuvunja ndoa
Hakuna andiko la kuvunja ndoa ktk ukristo. Ni kifo ama forever
 
Mungu hataki NDOA ivunjike na naambiwa huko mbinguni ni mtikisiko mkubwa kunapotokea jambo hilo, ila...

Mwanadamu wa kizazi hiki anakwambia ya nini uuliwe huko ndani, askofu, mchungaji nk wanakwambia yakikushimda huko njoo fasta usije tolewa ndani ukiwa maiti.

Soma kisa cha yule jamaa anayesema "siogopi kunyongwa"
 
2c5ed399-cc28-4f8c-b8f3-a2017763c66f.jpg
 
Nyie Zungukeni tu..!

Najua mnataka kuiendea Suna ya Mtume,kuwa na migoma minne.!

Badilisheni tu dini muhamie uislamu
 
Wewe mleta mada mbona unahangaika sana na dini za watu?

Nimekusoma jana ukijifanya Mkristo ukilalamika Ukristo uruhusu ndoa za wake wengi sikutaka debate na wewe leo unadai wananyimwa unyumba Mkristo gani amekuja kwako kulalamika amenyimwa huo unyumba?
 
Nyie Zungukeni tu..!

Najua mnataka kuiendea Suna ya Mtume,kuwa na migoma minne.!

Badilisheni tu dini muhamie uislamu
Hii ishu haihusu dini,

umeoa au kuolewa ukiwa na miaka 26 bado kijana mdogo na hamjapata hata watoto, Mke au mume wako kaenda gerezani kifungo cha maisha, kwanini msivumiliane mpaka kifo, kuna haja ipi ya kwenda mahakamani kuvunja ndoa ?

Jaribu kuangalia vitu katika angles tofauti, jiweke humo kwenye viatu vya huyo mtu;
 
Nyie Zungukeni tu..!

Najua mnataka kuiendea Suna ya Mtume,kuwa na migoma minne.!

Badilisheni tu dini muhamie uislamu
Msome katikati ya maandishi huyo ni Muislam mwenzako anajitekenya na kucheka mwenyewe!

Mtu abadilishe dini kwa sababu ya kuoa wake wengi hilo kwako ndiyo umeona la msingi?weka hapa favours za kuwa Muislam siyo ujinga wa kuoa wake wengi na kuwapa mitaji ya chapati na vitumbua huku ukiwazalisha watoto unaoshindwa kuwapa elimu bora tunaishia kuwa na taifa la vilaza linaloshia kushangilia kuuzwa mali za umma kisa wanaouziwa wanasujudu sawa na wao.
 
Msome katikati ya maandishi huyo ni Muislam mwenzako anajitekenya na kucheka mwenyewe!

Mtu abadilishe dini kwa sababu ya kuoa wake wengi hilo kwako ndiyo umeona la msingi?weka hapa favours za kuwa Muislam siyo ujinga wa kuoa wake wengi na kuwapa mitaji ya chapati na vitumbua huku ukiwazalisha watoto unaoshindwa kuwapa elimu bora
Naomba tu stick na maada bila visingizio vya kuanza kujadili dini zingine

umeoa au kuolewa ukiwa na miaka 26 bado kijana mdogo na hamjapata hata watoto, Mke au mume wako kaenda gerezani kifungo cha maisha, kwanini msivumiliane mpaka kifo, kuna haja ipi ya kwenda mahakamani kuvunja ndoa ?

Jaribu kuangalia vitu katika angles tofauti, jiweke humo kwenye viatu vya huyo mtu, isiwe kwamba wewe labda ndoa yako haina matatizo basi unajiona kwasababu umeshiba hutaki kumjua mwenye njaa maneishi nae wote nyumba moja katika imani
 
Naomba tu stick na maada bila visingizio vya kuanza kujadili dini zingine

umeoa au kuolewa ukiwa na miaka 26 bado kijana mdogo na hamjapata hata watoto, Mke au mume wako kaenda gerezani kifungo cha maisha, kwanini msivumiliane mpaka kifo, kuna haja ipi ya kwenda mahakamani kuvunja ndoa ?
Nikuulize!

Unaweza kuweka hapa ushahidi wa wanandoa wa Kikristo waliopitia ktk situation hiyo hapo kwenye bold wakaenda mahakamani kudai ndoa ivunjike,na je ktk dini yako ya kiislam kuna ulipoelekezwa kuwa mmoja wenu akiwa ktk mazingira tata eg jail,maradhi etc mnaruhusiwa kupeana talaka?
 
Kama mnaafikiana tu yaishe kila mtu ale kona yake kwa maslahi yake, ndoa inavunjwaje hapo ni ya kanisani RC
 
Kama mnaafikiana tu yaishe kila mtu ale kona yake kwa maslahi yake, ndoa inavunjwaje hapo ni ya kanisani RC
Kwa uelewa wangu biblia inasema mmoja akipatikana na hatia ya kuchepuka ndo ndoa inavunjwa lakini pia kanisa linaongezea na kusema kuwa kama mmoja wao ameugua kichaa ndoa inavunjwa (nahisi ni kwasababu za kiusalama), kunyimana unyumba bila sababu za msingi au mmoja wao kutokuwa na uwezo wa kushiriki tendo la ndoa kabisa hakuna ndoa.
 
Wewe mleta mada mbona unahangaika sana na dini za watu?

Nimekusoma jana ukijifanya Mkristo ukilalamika Ukristo uruhusu ndoa za wake wengi sikutaka debate na wewe leo unadai wananyimwa unyumba Mkristo gani amekuja kwako kulalamika amenyimwa huo unyumba?

Itakua Kazi yake ni kukagua nyumba za watu..
 
Back
Top Bottom