YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,154
- 36,361
Zile za kudumbukiza kwenye ndoa![]()
Niache nimeokoka bana, sitaki hizo mada ss hivi




Zile za kudumbukiza kwenye ndoa![]()




Unaweza kukuta hajampa style ambazo jamaa anataka, ili kitu kisimame. Huyo bibie akawatafute wale Makungwi wa Insta wamuonyeshe style tofauti tofauti, aachane na kifo cha mende.Kabla ya kuvunja ndoa, ametumia mbinu zipi kumtibu mumewe ili aweze kushiriki tendo la ndoa?
Kama ni kweli, nitumie fungu la kumi kwa jfpesaNiache nimeokoka bana, sitaki hizo mada ss hivi![]()
NO CONSUMMATION THE MARRIAGE IS INVALID.Habari ndugu zangu, naishi Kigoma, nina lafiki yangu wa kike alifunga ndoa na mwanaume mmoja hivi toka wameona mwanaume hajawahi kushiriki tendo la ndoa na hana uwezo kabisa.
Wameishi miezi 3, hali hiyo imefanya binti arudi kwao. Kwa sasa anamiezi 2 na amepata mchumba mwingine, je, anawezaje kuvunja ndoa?
Naomba ushauri wapendwa.
Kama ni kweli, nitumie fungu la kumi kwa jfpesa



Ni kweli, wengine hisia zao huwa ziko mbali, na zinahitaji maandaliziUnaweza kukuta hajampa style ambazo jamaa anataka, ili kitu kisimame. Huyo bibie akawatafute wale Makungwi wa Insta wamuonyeshe style tofauti tofauti, aachane na kifo cha mende.
Wala hana haja ya kumkana Kristu wake!Mwambie asilimu kwanza atumie kigezo cha kusilimu kumuacha.
Weka namba hapa; ili sehemu zote zicheke kutokana na muhamala 😂 😂Anza kutuma wewe afu mimi narudisha kwa kudouble![]()
😄😄Ndoa ya kikristu ni balaa wakifuata utaratibu awatafute watu wote waliohudhuria siku ya ndoa wote waje kama walivyokuwa wamevaa kama walikuwa wajawazito waje na mimba zao.
Huyo mchumba mpya ashamtest mitambo?Habari ndugu zangu, naishi Kigoma, nina lafiki yangu wa kike alifunga ndoa na mwanaume mmoja hivi toka wameona mwanaume hajawahi kushiriki tendo la ndoa na hana uwezo kabisa.
Wameishi miezi 3, hali hiyo imefanya binti arudi kwao. Kwa sasa anamiezi 2 na amepata mchumba mwingine, je, anawezaje kuvunja ndoa?
Naomba ushauri wapendwa.
Ndio ila nasita kumuoa kutokana na haya mambo kabisNO CONSUMMATION THE MARRIAGE IS INVALID.
aende kanisani alikofungia ndoa, HAKUWA NA NDOA, HANA NDOA!
ila we ndo huyo mchumba mwingine!
sema fresh!
Weka namba hapa; ili sehemu zote zicheke kutokana na muhamala![]()
![]()




Kumdhalilisha tu mwenzake, ipo siku
Angeweka na Maelezo ya jamaa alisema shida ni nini na ilikuwaje mpaka kafunga ndoa huku anajua ana hali hiyo. Nahisi jamaa atakuwa na upande wake ambao mtoa mada hajauweka waziJapo wangehangaika kwanza hospitalini na maombi wajue shida nn na siyo kuharakisha kukimbiana bila kujua tatizo n nini mpaka asiwike. Naamini kabla ya ndoa yawezekana alikuwa anawika ndio maana bidada akakubali kuolewa, hivyo wapambane kujua tatizo walitatue na siyo kuachana
Ndoa ya kikristu ni balaa wakifuata utaratibu awatafute watu wote waliohudhuria siku ya ndoa wote waje kama walivyokuwa wamevaa kama walikuwa wajawazito waje na mimba zao.


dah!Apan ana hofia kwahizi habari zilizopoHuyo mchumba mpya ashamtest mitambo?
Sa mbona unasema we mdogo wako na nini!Ndio ila nasita kumuoa kutokana na haya mambo kabis