Msaada: Jinsi ya kuvunja ndoa ya kikristo

Haishauriwi kuingi kwenye ndoa bila kufanya vipimo muhimu vya afya kama....

1. Rubella hasa mwanamke (huchangia watoto kuzaliwa viziwi,vipofu)
2.Vinasaba
3.Thalassemia (kuna makundi ya damu mkioana mtazaa watoto wenye anemia)
4. Hali ya Afya ya Akili
5. Magonjwa ya kudumu
6. Magonjwa ya zinaa
7. Kipimo cha VVU
8. Uzazi (hapa mwanaume hupimwa uwezo wake wa kusimamisha, kiwango na wingi wa mbegu, mwanamke hupimwa kizazi coz anaweza kuingia kwenye ndoa kumbe kizazi kilishatupwa siku nyingi
9. Kundi la damu (kuna makundi ya damu hayaoani) matokeo mtayaona kwa watoto mtakao wazaa
10. Genotype (zisipoendana wewe na mwenzi wako mtazaa watoto wenye sickle cell)
11. Homa ya ini (Hepatits A,B & C) hii ni mbaya sana
 
Ndoa ya kikristu ni balaa wakifuata utaratibu awatafute watu wote waliohudhuria siku ya ndoa wote waje kama walivyokuwa wamevaa kama walikuwa wajawazito waje na mimba zao.

Hatariii
 
Walifunga ndoa kanisani? Aende kwa mchungaji atoe lalamiko lake,ndoa inavunjwa fasta ,kama kweli jamaa jogoo hawiki, bila jogoo kuwika hakuna ndoa hapo
Mkuu, nikupe tu ushauri kwamba wakati mwingine ni busara kunyamaza kimya kuliko ku-comment jambo ambalo huna hakika nalo halafu ukampotosha mtoa mada.

Kanisa halivunji ndoa ya Kikristo hata siku moja. Kinachofanyika ni kwamba ukitokea mgogoro kati ya wanandoa, jukumu la Kanisa ni kuwasuluhisha tu wanandoa hao, lakini likishindwa kuwasuluhisha litaandika Hati ambayo mwanandoa anayetaka kuachana na mwenza wake ataiambatanisha hati hiyo kwenye maombi maaalumu ya kuiomba Mahakama iwaachanishe wanandoa hao.

Lakini ili Mahakama iwaachanishe wanandoa ni lazima sababu iwe moja kati ya zifuatazo; vipigo vilivyokithiri, mwanandoa mmoja kukamatwa ugoni kwa zaidi ya mara 2, mwanandoa mmoja kubadilisha dini (kwa mfano mfunge ndoa ya Kikristo halafu mwanandoa mmoja awe muislamu), mwanandoa mmoja kuwa kichaa au kufungwa jela kwa zaidi ya miaka 5 n.k.

Kukosa uwezo wa kufanya mapenzi siyo sababu.

ILA, Sheria inawataka wanandoa kuhakikisha WANAJAMIIANA ule usiku wa ndoa yao isipokuwa kama kuna changamoto labda mwanamke yuko period au matatizo mengine ya kiafya. Lakini kama wote mko sawa halafu msiposhiriki tendo usiku wa ndoa yenu basi ndoa hiyo itahesabika kwamba ni batili.

Kama huyo mwanaume hana nguvu za kiume, its obvious kwamba hawakushiriki tendo usiku wa ndoa yao and therefore the institution of marriage is invalid in the eyes of law.

Mwambie anitafute mimi au akamuone Wakili amsaidie ili Mahakama iwatenganishe kwa kigezo cha kutojamiiana usiku wa ndoa yao.

Nawasilisha.
 
Hembu subiri kidogo... hayo maelezo yako yote, what a difference does it make kama mchana ndoa ilishafungwa?

Kwahio mshafunga ndoa mchana, usiku mkajaribu kushiriki mmojawa wapo akawa na tatizo(la kudumu) kutoshiriki tendo ndoa itavunjwa asubuhi?

Mi nataka nijue lengo la kusema mfanye mapenzi usiku wa ndoa, ina haja gani ikiwa mshapigwa kitanzi?,
 
Mwisho wa yote, kama sikosei moja ya kifungu kwenye Ndoa za Kikristo(specifically RC) ni kama mmoja wapo hana uwezo wa kushiriki tendo, basi hamna ndoa, hicho kifungu naamini kabisa kipoo, labda tutofautiane kwenye tafsiri
 
Hembu subiri kidogo... hayo maelezo yako yote, what a difference does it make kama mchana ndoa ilishafungwa?

Kwahio mshafunga ndoa mchana, usiku mkajaribu kushiriki mmojawa wapo akawa na tatizo(la kudumu) kutoshiriki tendo ndoa itavunjwa asubuhi?

Mi nataka nijue lengo la kusema mfanye mapenzi usiku wa ndoa, ina haja gani ikiwa mshapigwa kitanzi?,
Consummation means the completion of a thing. Some common uses of the term “consummation” in a legal sense include:

In the context of marriage, consummation means the actualization of marriage. It is the first act of sexual intercourse after marriage between a husband and wife. Consummation is particularly relevant under canon law where failure to consummate a marriage is a ground for divorce or an annulment.

Nadhani nimekujibu, unless kama hujui Kingereza.
 
Ndoa ya kikristu ni balaa wakifuata utaratibu awatafute watu wote waliohudhuria siku ya ndoa wote waje kama walivyokuwa wamevaa kama walikuwa wajawazito waje na mimba zao.
Lengo la ndoa siyo kuachana na ndoa misingi yake ni kuishi kwenye shida na raha.
Ndoa ya kikristo siyo balaa ila nyie mnaoingia kwenye ndoa ni balaa.
Unapofunga ndoa, unatakiwa uwe na akili timamu na uwe umedhihirisha.
NDOA SIYO UWANJA WA MAJARIBIO AU SEHEMU YA KIJIFUNZIA.
 
Aende mahakamani
Nilipokuwa naanza kubalehe, nilifikiri wanaume ndiyo tunahitaji sana kujamiana kuliko wanawake. Nilipokuwa mtu mzima, ndiyo nikapata jibu kuwa kujamiana ni kwa ajili ya wanawake tu.
Katika mambo ambayo mwanamke hawezi kukuvumilia ni kwenye jambo la kupiga paipu. Anaweza kukuvumilia ukiwa hauna hela ila siyo kupiga paipu.
Yameshawahi kunikuta na pia najua machungu yake. Huyo jamaa nampa pole sana, anapitia wakati mgumu sana.
 
Inaumiza sana ila ndo ivo
 
Habari ndugu zangu, naishi Kigoma, nina lafiki yangu wa kike alifunga ndoa na mwanaume mmoja hivi toka wameona mwanaume hajawahi kushiriki tendo la ndoa na hana uwezo kabisa.

Wameishi miezi 3, hali hiyo imefanya binti arudi kwao. Kwa sasa anamiezi 2 na amepata mchumba mwingine, je, anawezaje kuvunja ndoa?

Naomba ushauri wapendwa.
Ndoa walifungia kanisani?
 
Lengo la ndoa siyo kuachana na ndoa misingi yake ni kuishi kwenye shida na raha.
Ndoa ya kikristo siyo balaa ila nyie mnaoingia kwenye ndoa ni balaa.
Unapofunga ndoa, unatakiwa uwe na akili timamu na uwe umedhihirisha.
NDOA SIYO UWANJA WA MAJARIBIO AU SEHEMU YA KIJIFUNZIA.
Naona umekosa kuilezea point muhimu sana nayo ni nini ndoa? Je ndoa bila ya kujamiana hata mara moja toka kuoana hiyo ni ndoa?
 
Walifunga ndoa kanisani? Aende kwa mchungaji atoe lalamiko lake,ndoa inavunjwa fasta ,kama kweli jamaa jogoo hawiki, bila jogoo kuwika hakuna ndoa hapo
Kiapo cha ndoa kinasema kwa raha na shida?hakuma kutenganisha labda kifo,sasa wewe hicho kipengera chako umekitoa wapi?
 
Naona umekosa kuilezea point muhimu sana nayo ni nini ndoa? Je ndoa bila ya kujamiana hata mara moja toka kuoana hiyo ni ndoa?
Ndoa maana yake ni kuishi kwenye shida na raha. Inapotokea mpo kwenye shida ni muhimu kutatua na siyo kukimbilia kuachana. Tatizo siyo kujamiana, tatizo, je kama mke amechukua hatua gani ya kumsaidia mumewe awe katika hali nzuri?
Ni vema, huyo mwanamke angeanza kutatua tatizo la mumewe. wangeenda hospitalini na kupata tiba mbalimbali na inaposhindikana ndiyo wanakubaliana kuachana.
Sasa kamuona mumewe hampi, haki yake tena sijui miezi 3, kakimbilia kupata mwanaume mwingine aolewe. Unafikiri hapo kuna utatuzi wa jambo?
Ndoa za siku hizi, zipo kimaslahi sana ndiyo maana zinavunjika sana. Sijaona jitihada yoyote aliyochukua huyo mwanamke kumsaidia mumewe.
Leo ukiwa kwenye ndoa, ukiyumba kiuchumi tu, ndoa hakuna, umevunjika mguu au umepata ajali au kuumwa miezi 3 kitandani hapo ndoa imevunjika.
 
Mchumba mwingine ni wewe right?Huyo manzi Ndio kakwambia hajawahi kuliwa tangu aolewe?Anakupanga bob,wewe endelea tu na utaratibu wa kuiweka ndani ila sio mda utalia.Nakama hutaki kupakwa wese hakikisha amepewa talaka Kabisa Ndio ujizolee
 
Urongo ulio tukuka
Ndo ukweli wenyewe alichokiunganisha Mungu mwanadamu hawezi kukitenganisha kama kuna wazee walihudhuria na wao uwatafute wakiwa na umri uleule na nguo zilezile za siku ya harusi yako. Ndoa ya kikristo ni kisanga mpaka mmoja afe
 
Back
Top Bottom