Msaada jinsi ya kuongeza CD4

Msaada jinsi ya kuongeza CD4

Ndugu yangu wa karibu sana anatatizo la HIV muda mrefu sasa ila tatizo lake CD4 zimeshuka sana zipo 18 na uzito 45 hawez kutembea mwenyewe na pia anasumbua sana kula chakula

Je ni dawa zipi zinaweza ongeza CD4 kwa haraka zaidi?
Peleka kwa daktari
 
....
Ukiishi kwa mfumo safi, hutapata/utachelewa kupata madhara

Ukiishi kihuni huni, pombe, malaya ya kulevya, uzinzi basi utakuwa kwenye hatari kubwa ya kupata madhara kwa mda mfupi.

Si kwamba utachelewa kupata madhara,ukweli ni kwamba hutapata kabisa madhara hata kama umeambiwa una HIV.

Halafu hiyo lifestyle unayosema hapo juu ndio inayosababisha upate matatizo hata kama umeambiwa huna HIV...lifestyle kama hizo zimeshasababisha matatizo mengi ya kiafya huko nyuma hata kabla ya kutangazwa kwa huyo HIV...hivyo basi,mambo hayo uliyotaja na hasa ukijumuisha matatizo yanayosababishwa na ARVs zenyewe ndio yanatumika tu kama loophole ili kuhalalisha kwamba HIV ndiye sababu ya yale tunayoyaona.

HIV ni scapegoat tu.Kinachoua ni ARVs kwa wale wanaozitumia.Na kama mtu hatumii ARVs basi ukimchunguza utakuta ana matatizo yaleyale yanayojulikana tangu kabla ya kutangazwa kwa HIV...na isitoshe,matatizo hayo yote yanatibika vizuri tu.
 
Mkuu ondoa wasiwasi,nina uzoefu wa ku deal na mambo haya...hatuendi haraka hivyo...mhusika mwenywewe ndio ana play part kubwa,sio mimi,pia mhusika ndiye alitakiwa kusema hayo.Fahamu kwamba nina uzoefu na mambo haya,ondoa wasiwasi.

Mimi sipo kwenye sector hiyoo.
Swali kama hakuna HIV kwanini mtu akifanya mapenzi na mtu mwenye huo ugonjwa huwa dalili zinafanana za ugonjwa ina maana hiyoo ni nini?

Mfano mzuri kabla Arvs hazijaenea.
 
Dah, hivi hii (HIV) ni wa kweli?, haiwezekani kuwa ana maradhi mengine yanayoweza kushusha hizo CD4?
c HIV pekee hushusha CD4 Bali hata kisukar pia hushusha cd4 kiss flan
 
ARV's zinaweza kuongeza BP, zinaweza kukusababisha kukosa usingizi kwa wengine, si kila mtu anakuwa na matokeo sawa, ndiyo maana wanashauri, ukiwa kwenye dawa ishi maisha yako kama kawaida ikiwemo kufanya mazoezi, pia ku monitor BP ikiwezekana once a week kama umeshaanza kuona natizo.
daa huu ugonjwa unawachanganya watu sana na hii ni kwa sababu watu hawataki kukubali matokeo tuu ndiyo chanzo chake huyu decpection ukimfuata unaweza kufa mapema
 
daa huu ugonjwa unawachanganya watu sana na hii ni kwa sababu watu hawataki kukubali matokeo tuu ndiyo chanzo chake huyu decpection ukimfuata unaweza kufa mapema
Nimecheka sana mkuu😀😀😀😀
 
Nimecheka sana mkuu😀😀😀😀
yaa maana yeye analeta siasa z kina mbowe na maguful kwenye ugonjwa hizi arvs zinasaidia watu zinawasitiri watu poa Kuna watu walikua mbavu moja wameanza kutumia wamenenepa zinaleta ham ya kula nk pia zinafanya watu wanadunda vizuri kabisa yeye anaongelea madhara hakuna kitu kisicho na madhara hata hii hewa tunavuta ina madhara maana uchomaji wa matakataka unachangia pia viwanda nk
 
Ndugu yangu wa karibu sana anatatizo la HIV muda mrefu sasa ila tatizo lake CD4 zimeshuka sana zipo 18 na uzito 45 hawez kutembea mwenyewe na pia anasumbua sana kula chakula

Je ni dawa zipi zinaweza ongeza CD4 kwa haraka zaidi?
ARVZ?
MATUNDA
MBOGA
AENDE HOSP MBONA VITUO VINGI SANA

HASUMBUI UKIUMWA KULA NI TAABU POLE
 
Nimecheka sana mkuu😀😀😀😀
unajua sky eclat tukumbukie Yale madhara babu wa loliondo aliyoleta watu waliacha dawa, walikimbia hospital kukimbilia kikombe kile kumbe hata ule mti ulikua na madhara sana watu walipoteza maisha sana wengi wao wana madhara adi leo kifupi hizi arvs zinasaidia mimi mwenyewe nimeanza kutumia na Hali yangu naona imebadilika sana kutoka kuugua ugua sasa nipo fresh nimetoka clinic now nimepima uzito umeongezeka hapetait ya chakula imeongezeka na afya inaanza kuja kitambi kimeanza kuja sasa nisingewahi ingekuaje na cd4 zilikua zinashuka
 
ndio maana inashauri watu kutumia dawa zaidi ya moja (MDT) kuzuia resistance ikishafikia hatua dawa hazifanyi kazi inabidi ubadilishiewe na kwa HIV change of allele frequency ni rapidly hivi ni vyema watu wakawa wanapewa dawa zaidi ya moja
 
unajua sky eclat tukumbukie Yale madhara babu wa loliondo aliyoleta watu waliacha dawa, walikimbia hospital kukimbilia kikombe kile kumbe hata ule mti ulikua na madhara sana watu walipoteza maisha sana wengi wao wana madhara adi leo kifupi hizi arvs zinasaidia mimi mwenyewe nimeanza kutumia na Hali yangu naona imebadilika sana kutoka kuugua ugua sasa nipo fresh nimetoka clinic now nimepima uzito umeongezeka hapetait ya chakula imeongezeka na afya inaanza kuja kitambi kimeanza kuja sasa nisingewahi ingekuaje na cd4 zilikua zinashuka
Kwa maana nyingine ukiwa HIV+ una nafasi kubwa ya kuonwa na daktari mara kwa mara, na kuna vitu ambavyo vinaweza kugunduliwa mapema na kutibiwa, ambavyo kama si ugonjwa ungechelewa kuvigundua. Ni kweli kwa watu wengine dawa zinaleta matatizo ya figo na moyo, lakini ndiyo maanda untakiwa kupimwa ili wajue mwili unavyo cooperate na dawa.
 
na kuijal afya yako pia na kibadili life style kama sasa nimeacha pombe na sasa ata kutia sitaki tena yaani baada ya kupata elimu jins ya hawa wadudu daa sina hamu maana najua ningekufa mapema maana nilikua wa pombe na madem sana tatizo nilikua sijijui ila daa naona kama nilikua napata maambukizi mapya na pia nilikua naambukiza pia mungu anisamehe aisee daa
 
Wanasema ukiwa mlevi sana unaipa kazi ya ziada immune sysytem kuna hatari ya kusahau kunywa dawa, hata hivyo kunywa bia angalau mbili kwa wiki si mbaya.
 
Wanasema ukiwa mlevi sana unaipa kazi ya ziada immune sysytem kuna hatari ya kusahau kunywa dawa, hata hivyo kunywa bia angalau mbili kwa wiki si mbaya.
ukiamua kubadili life style inatakiwa ubadilike kweli kweli dada yangu pombe inachochea sana kuleta nyege na kutamani madem pia company nazo zinachangia sana mungu anisamehe maana daa najua nitakua nimeambukiza wengi ila nilikua sijui
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom