Msaada jinsi ya kuongeza CD4

Msaada jinsi ya kuongeza CD4

ukiamua kubadili life style inatakiwa ubadilike kweli kweli dada yangu pombe inachochea sana kuleta nyege na kutamani madem pia company nazo zinachangia sana mungu anisamehe maana daa najua nitakua nimeambukiza wengi ila nilikua sijui
Ni nini kilikufanya upime samahani kama hutajali? Kwenye hospitali niliyopo wameamua kuwa kila mgonjwa anaekuja afanyiwe test kwa ridhaa yake lakini, wengi wanakubali.
 
ni kweli pia kuendelea kubadilisha wanawake kuna weza kuleta maambukizi mapya na kufanya matibabu kuwa magumu yaan Dual Tropic
 
Ni nini kilikufanya upime samahani kama hutajali? Kwenye hospitali niliyopo wameamua kuwa kila mgonjwa anaekuja afanyiwe test kwa ridhaa yake lakini, wengi wanakubali.
kwanza niliamua tuu mwenyewe maana ata afya bado ilikua inaruhusu ila nilikua nasikiaga mwili kuchoka sana
 
Ushaur wa kitaalam
Kimsingi hakuna dawa za kuongeza cd4, sema kuna mambo ya kuzingatia hapo
1) kuhakikisha anakunywa dawa zake arvs vizuri..in a proper dose
2) swala la balanced diet linahuska sana broo..hakikisha anakula vizur
3)hakikisha hana magonjwa nyemelezi..kama anayo,inabid yatibiwe
3) swala la mazoez ni muhim, sema kwa afya yake kwa ss hawez fanya hio
 
Kuna mama mmoja wa alikuwa kwenye kitengo kwa karibu miaka 20, afya ilikuwa nzuri, wala ukimwona huwezi kujua pia aliamua kuokoka. Baada ya kustaafu aliamua kurudi kijijini kwao, kwakweli kwenye kitengo alikuwa kama familia, watu wasikitika sana anaondoka. Sasa kufika kujijini walimwambia aache dawa, kanisani walimwambia kama ameweza kuishi miaka 20 Mungu ameshamponya. Haikufika hata mwaka mmoja tulipata habari alifariki.
 
Ni nini kilikufanya upime samahani kama hutajali? Kwenye hospitali niliyopo wameamua kuwa kila mgonjwa anaekuja afanyiwe test kwa ridhaa yake lakini, wengi wanakubali.
tatizo kubwa kwa watu wengi pale anapoambiwa Ana vvu hupanic sana wanasahau kua huu ugonjwa ukutumia dawa vizur za kupunguza makali unaweza ishi miaka ming pia wengi huanza kusema siwez kufa peke yangu lazima nife na wengi sasa pale wanasahau wanachukua maambukizi mapya sasa
 
Nimejaribu luku PM lkn ujumbe umegoma naomba uni PM mawasiliano yako tafadhali mkuu.
Hahahaha deception keshapata kichwa cha bure hicho. Kama Dokta Mwaka vile. Bongo Raha sana vichwa vinajileta tu. Yaani comment moja tu watu wanakutafuta. Wakati mtu kama huyo unaweza kuta ni msomi kabisa na anajua kila kitu abt magonjwa na wataalamu wa magonjwa na wapi wanapatikana official. Akitapeliwa atarudi tena hapa hapa analalamika.
 
Kuepukana na mawazo ya kina Deception ni kheri ujinyee dawa zako kimya kimya, siri ni yako wewe na Mungu wako na Dr wako anaekutibu.
 
Hahahaha deception keshapata kichwa cha bure hicho. Kama Dokta Mwaka vile. Bongo Raha sana vichwa vinajileta tu. Yaani comment moja tu watu wanakutafuta. Wakati mtu kama huyo unaweza kuta ni msomi kabisa na anajua kila kitu abt magonjwa na wataalamu wa magonjwa na wapi wanapatikana official. Akitapeliwa atarudi tena hapa hapa analalamika.
mkuu Kuna mtu mmoja sitomtaja jina humu jf aliiambia kua nimpe milion 2 anitibu vvu jumla ni ml 2.5 sasa nikishapona nimpeleke iyo laki 5 daaa aisee hata sikumjibu maana nilitaka kumtukana kiukweli humu Kuna matapeli sana wanajifanya wanatibu magonjwa na wanawalia watu sana ela maana mtu ukiugua unakua tayari kutoa chochote tuu kwa imani utapona
 
tatizo kubwa kwa watu wengi pale anapoambiwa Ana vvu hupanic sana wanasahau kua huu ugonjwa ukutumia dawa vizur za kupunguza makali unaweza ishi miaka ming pia wengi huanza kusema siwez kufa peke yangu lazima nife na wengi sasa pale wanasahau wanachukua maambukizi mapya sasa
mfano viral tropism ya HIV ni ccr5 topic au CXR4 hivi inawezekana mtu akawa CCr5 tropic akikutana na mtu ambaye ni CXCR4 tropic maambukizi yanakuwa na makali na resistance ni kubwa hivyo matibabu yana kuwa magumu mfano ukifanyiwa trofile assay kwa ajili ya kucheck viral tropism ikijulikana kama ni CCR5 tropic zipo dawa nzuri ccr5 inhibitor ambazo unaweza kupona mpaka 80% or above ikiwa combined na dawa zingine
 
Pia fahamu kwamba,CD4 ni biashara tu,CD4 hazina uhusiano na afya ya mtu...hii ni trick tu..ni ujanja ujanja wa watu ili wajiingizie kipato kwenye biashara hii.Kuna safari ndefu sana kama unataka kujua ukweli wa suala hili.

Cha msingi hapo ni kuacha kabisa matumizi ya ARVs na ku focus kwenye kula vyakula bora na hata matumizi ya suppliments,basi.

ANGALIZO:
ARVs haziachwi ghafla,ukiacha ghafla unaweza kufa kutokana na addiction yake,na fahamu pia kwamba ARVs zimetengenezwa kwa makusudi ziwe addictive ili mtu asiweze kuacha ghafla..akiacha anaweza kuugua sana na hata kufa.Kuna utaratibu wake wa kuacha.

PROOF:
Kuna watu wengi walishaelewa suala hili na sasa wameacha kabisa ARVs na wako safi kabisa kiafya.Wapo wengi pia ambao hawajazigusa kabisa pamoja na kwamba wameambiwa wana HIV na wana afya njema miaka mingi imepita hadi sasa.HIV ni propaganda tu ili kuwajengea watu woga ili iwe rahisi kuwashawishi watumie ARVs ambazo sasa ndizo zinazosababisha matatizo yote unayoyaona kwa watumiaji baada ya kuzitumia kwa muda mrefu.

Uthibitisho wa haya ninayosema upo wazi kabisa hata kama mtu yeyote atapinga.Huwezi kueleweka kwa watu wote,wapo watakaopinga na pia wapo werevu watakaokuelewa.Hivyo just take your time to learn.
Mama yako mdogo anaingiza sumu mwilini kwa kula ARVs halafu anaipunguza kwa kula matunda fresh,juisi,mboga za majani na rosela pamoja vitu vya kuongeza damu,ndio maana unamuona ana afya njema....wale wanaokula ARVs bila kufuata hayo masharti hawadumu muda mrefu....ARVs ndio tatizo basi kama hujui,HIV anasingiziwa tu,ndio maana wasiotumia ARVs halafu wakafuata utaratibu mzuri wa maisha wanakuwa na afya njema maisha yao yote hata kama wameambiwa wana HIV....

HIV amepata umaarufu kupitia vipimo feki tu....there is no such a thing HIV in reality.

HIV/AIDS is just a MINDSET disease.Hakuna ugonjwa kama huo kiuhalisia.
kama napanda mlima, naelewa kidogo mara sielewi kwani mkuu unaongelea nini?
 
Dozi alishaanza mwanzon ilikuwa inamsaidia ila sasa hivi hali yake ni mbaya sanaa
Wagonjwa wa AID's wakishaanza clinic CTC huwa wanapima CD4 count nahurekodiwa kwenye card zao..!
Mhudumu wa CTC lazima atakuwa anaangalia maendeleo ya CD4 zamgonjwa ili ajue kipi chakufanya kama atambadilishia dawa au asimbadilishie. Ikionekana CD4 zinashuka huitwa daktar wa CTC.

Kushuka kwa CD4 kunaashiria yafuatayo:-
1-ufuatiliaji mbaya wa dawa zake, ie anameza muda autakao wakat mwengine anaweza asimeze.
2-kutokula chakula vizur kwampangilio maalum.
3-kuendeleza ngono hali yakuwa unamaambukizi.
4-mahudhurio mabaya ya clinic
Daktar baada yakukuchunguza akabaini chochote ataamua nini chakufanya.

###ushauri wangu,rudini hospitali ##
 
Hayo uliyotaja yote ni matokeo ya matumizi ya muda mrefu ya ARVs....matatizo hayo hayasababishwi na HIV....ukitaka kujua hilo fungua karatasi ile ndani ya kikopo cha ARVs kisha uisome...

Tatizo la watu wengi huwa hawapendi kufuatilia mambo haya....wakipata matatizo wanamsingizia HIV bila kujua kwamba matatizo hayo yote yameelezwa kinaga ubaga ndani ya ile karatasi....na hao waliotudanganya wameandika yale matatizo kwa maandishi ambayo wanajua wazi kabisa sisi watu hasa wa dunia ya tatu ni wavivu wa kusoma,hivyo hawana wasiwasi na hilo.

Hii ni mara nyingine naona comment kama hii.....imeanza kuniingia akilini......mkuu tupe ufafanuzi wa kitaalam zaidi...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom