Msaada jinsi ya kuongeza CD4

Msaada jinsi ya kuongeza CD4

Yogurt,multvitamin,
vegetable juice-carrot,tomatoe juice etc,
supu
 
Labda wale wanawake wa maofisi ndio wengi wao ni vicheche.
Saiv haina cha maofisin wote tu hata wamama wa nyumban wenyew tamaa za madira na rasta kama mume hana hela ya kukamilisha hayo wanaupata tena wa bei rahis
 
Pole sana kwa kuuguza ila kama ameshanza kutumia dawa ndani ya miezi sita wanaweza kumpima kipimo cha HVL count au Cd4 count.Inaweza ikawa kwa sababu ya poor adherence kwenye dawa(hamezi dawa vizur kwa muda muafaka) au anapata new infection. Kipimo kikionyesha kuwa ana high number of viral load kuanzia 1000copies then wahudumu watakuita wew na mteja wako mtapewa usharuir then watafanya monitoring ya HVL count kwa miezi mitatu kuangalia kama wadudu wanaongezeka au wanapungua. Wakipungua hawabadilishi dawa ila wakiwa wanaongezeka litakaa jopo kwa ajili ya kumbadilishia dawa aingie kwenye 2nd line kwa sababu 1st line zitakuwa zimefeli.
Ila ni muhimu kumsisita kutumia dawa vzur kwani matumizi sahihi ya ARVs yanasaidia kupandisha kinga ya mwili.
 
TANGAZO
NDG YANGU ANA MIAKA 32 MWANAMKE MREMBO ANAISHI NA VVU ANAHITAJI MWENZA MWENYE SAME STATUS UMRI USIZIDI MIAKA 45, KAMA KUNA MTU WA HIVYO HUMU AU UNA NDG YAKO NI PM ili nikuunganishe.
 
Pole sana kwa kuuguza ila kama ameshanza kutumia dawa ndani ya miezi sita wanaweza kumpima kipimo cha HVL count au Cd4 count.Inaweza ikawa kwa sababu ya poor adherence kwenye dawa(hamezi dawa vizur kwa muda muafaka) au anapata new infection. Kipimo kikionyesha kuwa ana high number of viral load kuanzia 1000copies then wahudumu watakuita wew na mteja wako mtapewa usharuir then watafanya monitoring ya HVL count kwa miezi mitatu kuangalia kama wadudu wanaongezeka au wanapungua. Wakipungua hawabadilishi dawa ila wakiwa wanaongezeka litakaa jopo kwa ajili ya kumbadilishia dawa aingie kwenye 2nd line kwa sababu 1st line zitakuwa zimefeli.
Ila ni muhimu kumsisita kutumia dawa vzur kwani matumizi sahihi ya ARVs yanasaidia kupandisha kinga ya mwili.
Asante nashukuru kwa ushaur
 
utakua umemsaidia ili na wengine kuwasaidia ebu weka mambo WAZI NA BEI PIA USIMVUTIE INBOX
mimi lengo langu ni kumsaidia ndugu yetu hivyo kwa kuwa mnahitaji detail ngoja niwape!!
Dawa nilizosema zinatoka ktk taasisi ya EDMARK nchini malaysia.
Dawa hizo zimetengenezwa na maprofesa wakimedicine hivyo si tiba zakiasili pia chakuvutia zaidi dawa hizo pia zinatambuliwa na TBS pia wameziidhinisha kutumika hapa nchini
zipo nyingi ila mi ntawawekea chache tu kutokana na ufinyu wa mda niliona
1: splina
2:shake off
3:red yeast
4:cocolagen n.k
mfano mdogo: cocolagen inatumika kuondoa mikunjano ya uso usoni (makunyanzi) ndani ya wiki 3 face appearance inachange kabisaa yaani mzee ataonekana kama kijana- dawa hii inafanya levelling ya collagen ambayo hupungua kwa wazee hivyo ile mikunjano yote itaondoka!!
Dawa hizi pia unaweza kwenda kwenye ofisi za edmark Tanzania watakuuzia ila mm nakushauri ni vizuri UKamtumia huyu profesa niliemtaja kwani yeye alienda Malaysia kusoma kuhusu hizi dawa hivyo anazifaham zaidi
 
Na saiv yuko na 17 yrs yuko poa mno.....ila kuhus kuacha ARV n ngum kidog mana zimeshakuwa kama ulev flan na kinywa usiku hulewa na kulala fofofo
Duh humu kuna kila aina ya ushauri? HIV NI MINDSET NO SUCH THING IN REALITY??TERRIBLE,VERY DANGEROUS KAMA TUNA WATU WANAODANGANYA KIASI HICHI
 
Mimi sipo kwenye sector hiyoo.
Swali kama hakuna HIV kwanini mtu akifanya mapenzi na mtu mwenye huo ugonjwa huwa dalili zinafanana za ugonjwa ina maana hiyoo ni nini?

Mfano mzuri kabla Arvs hazijaenea.

Ukimwi sio ugonjwa na ukimwi hauambukizwi.Kwanza ili uthibitishe hili,muulize daktari yeyote mwelewa atakwambia hivyo.

Pili,hebu tafakari hili: Ukifanya mapenzi na mtu mwenye TB na wewe uko hatarini kupata TB kutokana na kupumuliana,hivyo wote mtaugua TB na mtakuwa na dalili zilezile,na kama hamtapata matibabu mapema mtakufa.
Dalili za TB ambazo ni;
-Kukonda sana
-Kupungua uzito
-Kukohoa mara kwa mara
-Homa za mara kwa mara
-Kukosa hamu ya kula
-Kuharisha ama kutapika kama TB itasambaa mfumo wa chakula

Je,hizi sio dalili ambazo wewe umeaminishwa kwamba ni za ukimwi?Sasa inabidi ufahamu kwamba walichofanya hawa jamaa ni kwamba,wametumia ujanja wa kisayansi kutumia magonjwa yaliyokuwepo tangu zamani na kutengeneza vipimo feki vinavyorandana na magonjwa hayo na kuweka standard zao ambazo ni predetermined.Kwa kufanya hivyo watu kama sisi wa dunia ya tatu si rahisi kuelewa kinachotokea.

Sasa ukianza kutumia ARVs kwa muda mrefu,kuna dalili zitaongezeka ambazo ni;
-Matatizo ya moyo/presha
-matatizo ya ini
-matatizo ya figo
-upungufu wa damu
-cancer yoyote
-kisukari
-nywele kuwa dhaifu/kunyoyoka
-ngozi kufubaa/kutoka vipele au vidonda

Je,hizi nazo sio dalili ambazo unaziona kwa wale wanaotumia ARVs lakini wewe umeambiwa ni dalili za ukimwi?

Tatizo kubwa ni kwamba tumedanganywa kiasi ambacho hata kwa mhudumu wa afya ni ngumu kutambua.Hili linasababisha watu wengi waone kwa macho yao dalili hizo lakini wasizielewe zimesababishwa na nini.

Cha msingi nakushauri uongeze bidii kujifunza.
 
Alishaanza clinic muda mrefu sana

Kama alishaanza clinic anatakiwa awe na good adherence (atumie dawa kwa wakati kama anatumia asubuhi na jioni, atumie saa mbili sharp asubuhi na usiku hasipitilize, pili ale chakula kama anashindwa mpeni kila baada ya nusu saa ale chochote, (kati ya tunda, maziwa, mboga za majani juice, chakula nk) zitaongezeka tu. Tatizo lake nadhani lipo hapo maana hizo dawa akiwa na good adherence sinasaidia.

Kitu kingine, wengi wasichojua, ukipata ukimwi tulia, unapojidanganya unasambaza unajiingiza kwenye risk mwenyewe, kwani hizi dawa ziko resistance na virus Fulani, unapoenda kujichanganya ukatengeneza virus wa aina yako hazitakusaidia, kwani hazitafanya kazi tena. Ukigundua live and stay health.
 
Asante tutajitahid kwa hilo
 
Ndugu yangu wa karibu sana anatatizo la HIV muda mrefu sasa ila tatizo lake CD4 zimeshuka sana zipo 18 na uzito 45 hawez kutembea mwenyewe na pia anasumbua sana kula chakula

Je ni dawa zipi zinaweza ongeza CD4 kwa haraka zaidi?
Mimi ninaweza kumpandisha huyo Mgonjwa CD4 na Kumtibia maradhi yake ya HIV na akapona ukiwezakunitafuta. Ninakupa Dawa mbili hizi tumia huku ukijipanga kunitafuta. Mgonjwa Mtindi halisi wa ng'ombe sio mtindi unaotengenezwa Maviwandani. Anunuwe mtindi unatokana na wawafugaji wa ng'ombe awe anakunyw akila siku asubuhi mchana na usiku. Dawa ingine ya kupandisha CD4 awe anakunywa chai ya mchaichai itaweza kumpandisha CD4. Ukihitaji nimtibu mgonjwa wako wa ukimwi Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169

aids-hiv-stop.gif
 
Halafu.....mmbea mkubwa ww,,,msxxeeuuu
# Upstair utakuwa hauko Sawa Mh, mtu anatapeli watu pesa zao tena wagonjwa, halafu bado hamtaki kumtaja, mnamuongelea kimafumbo, kama sio unafiki huo ni nini, mtumbueni ili kuokoa wengine, halafu unatukana tuu, nadhani 61% inakuhusu
 
Hayo uliyotaja yote ni matokeo ya matumizi ya muda mrefu ya ARVs....matatizo hayo hayasababishwi na HIV....ukitaka kujua hilo fungua karatasi ile ndani ya kikopo cha ARVs kisha uisome...

Tatizo la watu wengi huwa hawapendi kufuatilia mambo haya....wakipata matatizo wanamsingizia HIV bila kujua kwamba matatizo hayo yote yameelezwa kinaga ubaga ndani ya ile karatasi....na hao waliotudanganya wameandika yale matatizo kwa maandishi ambayo wanajua wazi kabisa sisi watu hasa wa dunia ya tatu ni wavivu wa kusoma,hivyo hawana wasiwasi na hilo.
Kaka naomba mawasiliano yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom