Msaada jinsi ya kuongeza CD4

Msaada jinsi ya kuongeza CD4

Ndugu yangu wa karibu sana anatatizo la HIV muda mrefu sasa ila tatizo lake CD4 zimeshuka sana zipo 18 na uzito 45 hawez kutembea mwenyewe na pia anasumbua sana kula chakula

Je ni dawa zipi zinaweza ongeza CD4 kwa haraka zaidi?
kuna dawa zimetengenezwa na maprofesa wa medicine nchini Malaysia zitamsaidia huyo ndugu yetu kuongeza CD4 ndani ya wiki 3!! Mimi ni mwanafunzi wa udaktar nipo last year ila kwa sasa nafanya kazi ktk dispensary ya profesa mmoja hivi mstaafu!! huyu mzee huwa anaagiza hizi dawa Malaysia na atakufundisha jinsi ya kuzitumia pamoja na kufatilia hali ya mgonjwa!!! nakuhakikishia hutaamini na utagundua kwenye medicine dawa zipo sema maprofesa wanaambiana na kusaidiana wao kwa wao tu.....kama utakuwa interested nitumie namba yko kwa pm tujue jinsi ya kumsaidia ndugu yetu

..
 
utakua umemsaidia ili na wengine kuwasaidia ebu weka mambo WAZI NA BEI PIA USIMVUTIE INBOX
 
Dah, hivi hii (HIV) ni wa kweli?, haiwezekani kuwa ana maradhi mengine yanayoweza kushusha hizo CD4?
yapo,
unaweza kuwa na UKIMWI lakini usiwe na HiV.
Na unaweza kuwa na HIV na usiwe na UKIMWI.

UKIMWI sio ugonjwa,ni Upungufu Wa Kinga Mwilini,
kinga zinazoulinda mwili kwa kupambana na magonjwa.

Unaweza kuwa na Ukimwi leo,baada ya mda ukawa huna,na baada ya mda tena ukawa nao,
lifestyle,what you eat or dont eat count
 
ARVZ?
MATUNDA
MBOGA
AENDE HOSP MBONA VITUO VINGI SANA

HASUMBUI UKIUMWA KULA NI TAABU POLE
Asante sana ameshaenda hospital ila wanasema akazaniwe chakula lakini kula hawez tunalazimisha kwa nguvu na ni kidogo sana anachokula
 
yapo,
unaweza kuwa na UKIMWI lakini usiwe na HiV.
Na unaweza kuwa na HIV na usiwe na UKIMWI.

UKIMWI sio ugonjwa,ni Upungufu Wa Kinga Mwilini,
kinga zinazoulinda mwili kwa kupambana na magonjwa.

Unaweza kuwa na Ukimwi leo,baada ya mda ukawa huna,na baada ya mda tena ukawa nao,
lifestyle,what you eat or dont eat count
So, sio kila upungufu wa CD4 unasababishwa na Virus?
 
Ushaur wa kitaalam
Kimsingi hakuna dawa za kuongeza cd4, sema kuna mambo ya kuzingatia hapo
1) kuhakikisha anakunywa dawa zake arvs vizuri..in a proper dose
2) swala la balanced diet linahuska sana broo..hakikisha anakula vizur
3)hakikisha hana magonjwa nyemelezi..kama anayo,inabid yatibiwe
3) swala la mazoez ni muhim, sema kwa afya yake kwa ss hawez fanya hio
Asante ila kwa sasa hali yake mbaya hawez kufanya hayo yote na imebidi awekewe mipira ili aweze kula kupitia humo
 
mkuu Kuna mtu mmoja sitomtaja jina humu jf aliiambia kua nimpe milion 2 anitibu vvu jumla ni ml 2.5 sasa nikishapona nimpeleke iyo laki 5 daaa aisee hata sikumjibu maana nilitaka kumtukana kiukweli humu Kuna matapeli sana wanajifanya wanatibu magonjwa na wanawalia watu sana ela maana mtu ukiugua unakua tayari kutoa chochote tuu kwa imani utapona
Namjua,,, haaaa watu wanamirad hum
 
Wagonjwa wa AID's wakishaanza clinic CTC huwa wanapima CD4 count nahurekodiwa kwenye card zao..!
Mhudumu wa CTC lazima atakuwa anaangalia maendeleo ya CD4 zamgonjwa ili ajue kipi chakufanya kama atambadilishia dawa au asimbadilishie. Ikionekana CD4 zinashuka huitwa daktar wa CTC.

Kushuka kwa CD4 kunaashiria yafuatayo:-
1-ufuatiliaji mbaya wa dawa zake, ie anameza muda autakao wakat mwengine anaweza asimeze.
2-kutokula chakula vizur kwampangilio maalum.
3-kuendeleza ngono hali yakuwa unamaambukizi.
4-mahudhurio mabaya ya clinic
Daktar baada yakukuchunguza akabaini chochote ataamua nini chakufanya.

###ushauri wangu,rudini hospitali ##
Amesharudi kalazwa
 
kuna dawa zimetengenezwa na maprofesa wa medicine nchini Malaysia zitamsaidia huyo ndugu yetu kuongeza CD4 ndani ya wiki 3!! Mimi ni mwanafunzi wa udaktar nipo last year ila kwa sasa nafanya kazi ktk dispensary ya profesa mmoja hivi mstaafu!! huyu mzee huwa anaagiza hizi dawa Malaysia na atakufundisha jinsi ya kuzitumia pamoja na kufatilia hali ya mgonjwa!!! nakuhakikishia hutaamini na utagundua kwenye medicine dawa zipo sema maprofesa wanaambiana na kusaidiana wao kwa wao tu.....kama utakuwa interested nitumie namba yko kwa pm tujue jinsi ya kumsaidia ndugu yetu

..
Sawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom