Msaada jinsi ya kuongeza CD4

Msaada jinsi ya kuongeza CD4

Na kam hana apetite .....mf.ndug yako hapo akipimwa wing wa dam utaona iko kidogo ...ukimpima homa anayo ..presha anayo ....

Hayo uliyotaja yote ni matokeo ya matumizi ya muda mrefu ya ARVs....matatizo hayo hayasababishwi na HIV....ukitaka kujua hilo fungua karatasi ile ndani ya kikopo cha ARVs kisha uisome...

Tatizo la watu wengi huwa hawapendi kufuatilia mambo haya....wakipata matatizo wanamsingizia HIV bila kujua kwamba matatizo hayo yote yameelezwa kinaga ubaga ndani ya ile karatasi....na hao waliotudanganya wameandika yale matatizo kwa maandishi ambayo wanajua wazi kabisa sisi watu hasa wa dunia ya tatu ni wavivu wa kusoma,hivyo hawana wasiwasi na hilo.
 
Pole sana ndugu. Kuna drip za maji ambazo mgonjwa huwekewa zinaitwa kwa kifupi RL. Zinapatikana Pharmacy kubwa za mjini dar moja wapo ni ile ya posta mpya jengo la benjamini mkapa. Ukimpa hiyo swala la kula uandae bajeti yake maana atahitaji chakula kama mchwa. Mimi si mtaalam wa afya lakini nilishauriwa kwa ndugu yangu ambaye alikuwa hali kwa siku sita mfululizo lakini baada ya kuwekewa drip mbili za RL akaamka na kuanza kula mwenyewe. bei yake drip moja ni Tsh 32,000
Acha uhuni RL haiongezi humu ya kula kama sio mtaalamu usishauri pumba kaa kimya halafu RL inauzwa 2500-2000. Acha biashara na afya za watu eti unaelekeza hadi duka wakati RL zinapatikana hadi zahanati.. kwa kukusaidia kirefu cha RL ni RINGER LACTATE.
 
Hayo uliyotaja yote ni matokeo ya matumizi ya muda mrefu ya ARVs....matatizo hayo hayasababishwi na HIV....ukitaka kujua hilo fungua karatasi ile ndani ya kikopo cha ARVs kisha uisome...

Tatizo la watu wengi huwa hawapendi kufuatilia mambo haya....wakipata matatizo wanamsingizia HIV bila kujua kwamba matatizo hayo yote yameelezwa kinaga ubaga ndani ya ile karatasi....na hao waliotudanganya wameandika yale matatizo kwa maandishi ambayo wanajua wazi kabisa sisi watu hasa wa dunia ya tatu ni wavivu wa kusoma,hivyo hawana wasiwasi na hilo.
mkuu ugonjwa upo akilini haupo mwilini watu wakishaambiwa wana hiv huchanganyikiwa kabisa
 
Hayo uliyotaja yote ni matokeo ya matumizi ya muda mrefu ya ARVs....matatizo hayo hayasababishwi na HIV....ukitaka kujua hilo fungua karatasi ile ndani ya kikopo cha ARVs kisha uisome...

Tatizo la watu wengi huwa hawapendi kufuatilia mambo haya....wakipata matatizo wanamsingizia HIV bila kujua kwamba matatizo hayo yote yameelezwa kinaga ubaga ndani ya ile karatasi....na hao waliotudanganya wameandika yale matatizo kwa maandishi ambayo wanajua wazi kabisa sisi watu hasa wa dunia ya tatu ni wavivu wa kusoma,hivyo hawana wasiwasi na hilo.
ila mkuu Kuna watu walikubaliana na hii Hali na wanakula dozi na wanaishi fresh sana na afya tele kwa kua hawana mawazo wanakula fresh na wamebadili life style so elewa zinasaidia
 
Acha uhuni RL haiongezi humu ya kula kama sio mtaalamu usishauri pumba kaa kimya halafu RL inauzwa 2500-2000. Acha biashara na afya za watu eti unaelekeza hadi duka wakati RL zinapatikana hadi zahanati.. kwa kukusaidia kirefu cha RL ni RINGER LACTATE.
Ustaarabu wa mtu hutokana na matamshi yake. Unataka uonekane kuwa wewe ni mtaaalamu wa tiba pamoja na kusomea matusi? Nyie ndiyo wale tabibu ambao mgonjwa akija hospitali badala ya kumsikiliza unaanza kumtukana. Mimi nilikwambia tangu awali kuwa si mtaalam wa tiba na wala sifanyi biashara. Lengo langu lilikuwa ni kumshauri mwenzetu kama nilivyoshauriwa mimi. Kama alionishauri kanishauri vibaya lakini mgonjwa wangu kapata nafuu na anakula chakula kama nilivyosema awali .Sasa kama wewe una duka linauza hizo RL kwa bei hiyo ni bora ukatuelekeza tuje kwako badala ya kutoa matusi mtandaoni. Binafsi nilienda kwenye hilo duka nililosema (Posta) baada ya kuelekezwa na dr kufanya hivyo baada ya kuwa na mgonjwa ambaye hali yake ilikuwa si njema. Kama kulanguliwa nimelanguliwa na mwenye hilo duka na hata kama wewe uko dar nenda kaulize hapo dukani wakupe bei ikiwa tofauti na nilivyouziwa mimi basi leta mrejesho badala ya kukimbilia kutoa matusi. Ustaarabu haupatikani darasani ndugu yangu
 
Kuna uwezekano mkubwa sana huyo ndugu yako atakuwa anatumia ARVs,ARVs ndizo zilizomsababishia matatizo hayo yote na wala si HIV kama anavyosingiziwa.Ukitaka kuamini haya ninayosema fungua karatasi iliyomo ndani ya kikopo cha ARVs anazotumia kisha uisome kwa makini sana utaona kwamba,hayo matatizo yote aliyonayo yameelezewa ndani ya hiyo karatasi.

Waliotudanganya kuhusu HIV/AIDS wametumia akili nyingi sana kiasi cha mtu wa kawaida kushindwa kutambua ukweli ulivyo,hii ni biashara ya watu sana duniani,ninyi hamjui tu.

Sasa nina uhakika pia,ukimpima huyo ndugu yako hapo alipo atakuwa na upungufu wa damu pia,halafu kuna matatizo mengine sitayataja lakini nina uhakika anayo.Sasa ili uthibitishe maneno haya,hebu mchunguze huyo ndugu yako na ulinganishe na haya ninayosema.Sijamwona ndugu yako lakini najua kutokana na uzoefu na ukweli wa haya ninayoongea.
Mkuu Deception umenivutia sana unaonesha unakitu unakijua ntakutafuta mkuu
 
Ustaarabu wa mtu hutokana na matamshi yake. Unataka uonekane kuwa wewe ni mtaaalamu wa tiba pamoja na kusomea matusi? Nyie ndiyo wale tabibu ambao mgonjwa akija hospitali badala ya kumsikiliza unaanza kumtukana. Mimi nilikwambia tangu awali kuwa si mtaalam wa tiba na wala sifanyi biashara. Lengo langu lilikuwa ni kumshauri mwenzetu kama nilivyoshauriwa mimi. Kama alionishauri kanishauri vibaya lakini mgonjwa wangu kapata nafuu na anakula chakula kama nilivyosema awali .Sasa kama wewe una duka linauza hizo RL kwa bei hiyo ni bora ukatuelekeza tuje kwako badala ya kutoa matusi mtandaoni. Binafsi nilienda kwenye hilo duka nililosema (Posta) baada ya kuelekezwa na dr kufanya hivyo baada ya kuwa na mgonjwa ambaye hali yake ilikuwa si njema. Ustaarabu haupatikani darasani ndugu yangu
Nenda zahanati au duka lolote la dawa sio mpk uelekezwe hayo ya kuelekezwa ndo mnakopigwa bei mbaya mkijua ringer lactate ni dawa ya kuleta appetite
 
ila mkuu Kuna watu walikubaliana na hii Hali na wanakula dozi na wanaishi fresh sana na afya tele kwa kua hawana mawazo wanakula fresh na wamebadili life style so elewa zinasaidia

Kinachowafanya wawe na afya ni kuishi kwa lifestyle nzuri na si ARVs kama unavyoamini.Soma sana utajua tu mkuu.What about wale ambao hawatumii kabisa ARVs na bado wana afya njema kwa miaka mingi tu?Huwezi kufanya udadisi kwenye hilo pia?
 
Hayo uliyotaja yote ni matokeo ya matumizi ya muda mrefu ya ARVs....matatizo hayo hayasababishwi na HIV....ukitaka kujua hilo fungua karatasi ile ndani ya kikopo cha ARVs kisha uisome...

Tatizo la watu wengi huwa hawapendi kufuatilia mambo haya....wakipata matatizo wanamsingizia HIV bila kujua kwamba matatizo hayo yote yameelezwa kinaga ubaga ndani ya ile karatasi....na hao waliotudanganya wameandika yale matatizo kwa maandishi ambayo wanajua wazi kabisa sisi watu hasa wa dunia ya tatu ni wavivu wa kusoma,hivyo hawana wasiwasi na hilo.
Nimejaribu luku PM lkn ujumbe umegoma naomba uni PM mawasiliano yako tafadhali mkuu.
 
Nenda zahanati au duka lolote la dawa sio mpk uelekezwe hayo ya kuelekezwa ndo mnakopigwa bei mbaya mkijua ringer lactate ni dawa ya kuleta appetite
Kwani ungejibu hivyo tangu mwanzo ungepungukiwa na nini? jifunze ustaarabu maana kujua kwako fani moja ya Tiba kusikufanye udharau kila mtu. Hivi ukichangia jambo kwenye fani ya mtu mwingine nae akutukane? You make me puke
 
Mimi sipo tiba aisee nilipanic na iyo bei yako uliyoweka
 
Kinachowafanya wawe na afya ni kuishi kwa lifestyle nzuri na si ARVs kama unavyoamini.Soma sana utajua tu mkuu.What about wale ambao hawatumii kabisa ARVs na bado wana afya njema kwa miaka mingi tu?Huwezi kufanya udadisi kwenye hilo pia?
Huwa unanipa raha sana jamaa.

Niliwahi soma sehemu kwamba mfumo wa maisha yetu ndo unaleta shida kweye HIV

Ukiishi kwa mfumo safi, hutapata/utachelewa kupata madhara

Ukiishi kihuni huni, pombe, malaya ya kulevya, uzinzi basi utakuwa kwenye hatari kubwa ya kupata madhara kwa mda mfupi.
 
ila mkuu Kuna watu walikubaliana na hii Hali na wanakula dozi na wanaishi fresh sana na afya tele kwa kua hawana mawazo wanakula fresh na wamebadili life style so elewa zinasaidia
ARV's zinaweza kuongeza BP, zinaweza kukusababisha kukosa usingizi kwa wengine, si kila mtu anakuwa na matokeo sawa, ndiyo maana wanashauri, ukiwa kwenye dawa ishi maisha yako kama kawaida ikiwemo kufanya mazoezi, pia ku monitor BP ikiwezekana once a week kama umeshaanza kuona natizo.
 
Ndugu yangu wa karibu sana anatatizo la HIV muda mrefu sasa ila tatizo lake CD4 zimeshuka sana zipo 18 na uzito 45 hawez kutembea mwenyewe na pia anasumbua sana kula chakula

Je ni dawa zipi zinaweza ongeza CD4 kwa haraka zaidi?
Ameambiwaje hospitali? Ni muhimu kupata majibu kutoka CTC kwa sababu pale ndiyo watajua either kama alikuwa first line watambadilishia kwenda second line au watabadilisha ARV COMBINATION.

Usipokuwa makini ukageuka daktari wewe mwenyewe utampoteza ndugu yako maana hapa utaelekezwa mpaka miti shamba ya kunywa kitu ambacho ni hatari.

Umesema hawezi kutembea, kama umeshindwa kumfikisha hospitali, ninaamini kuna watu wa HBC (Home Based Care) hapo mtaani, wahusishe hao.

NARUDIA TENA, KAMA HAUNA MPANGO WA KUMUUA, MPELEKE CTC(Care and Treatment Clinic) MAPEMA IWEZEKANAVYO.

Amagambo nayo....
 
Kuna uwezekano mkubwa sana huyo ndugu yako atakuwa anatumia ARVs,ARVs ndizo zilizomsababishia matatizo hayo yote na wala si HIV kama anavyosingiziwa.Ukitaka kuamini haya ninayosema fungua karatasi iliyomo ndani ya kikopo cha ARVs anazotumia kisha uisome kwa makini sana utaona kwamba,hayo matatizo yote aliyonayo yameelezewa ndani ya hiyo karatasi.

Waliotudanganya kuhusu HIV/AIDS wametumia akili nyingi sana kiasi cha mtu wa kawaida kushindwa kutambua ukweli ulivyo,hii ni biashara ya watu sana duniani,ninyi hamjui tu.

Sasa nina uhakika pia,ukimpima huyo ndugu yako hapo alipo atakuwa na upungufu wa damu pia,halafu kuna matatizo mengine sitayataja lakini nina uhakika anayo.Sasa ili uthibitishe maneno haya,hebu mchunguze huyo ndugu yako na ulinganishe na haya ninayosema.Sijamwona ndugu yako lakini najua kutokana na uzoefu na ukweli wa haya ninayoongea.
Kuna jambo nimejifunza toka kwenye maelezo yako . Asante kwa ushauri
 
ARV's zinaweza kuongeza BP, zinaweza kukusababisha kukosa usingizi kwa wengine, si kila mtu anakuwa na matokeo sawa, ndiyo maana wanashauri, ukiwa kwenye dawa ishi maisha yako kama kawaida ikiwemo kufanya mazoezi, pia ku monitor BP ikiwezekana once a week kama umeshaanza kuona natizo.
unaamini HIV inasababisha BP?
 
Ameambiwaje hospitali? Ni muhimu kupata majibu kutoka CTC kwa sababu pale ndiyo watajua either kama alikuwa first line watambadilishia kwenda second line au watabadilisha ARV COMBINATION.

Usipokuwa makini ukageuka daktari wewe mwenyewe utampoteza ndugu yako maana hapa utaelekezwa mpaka miti shamba ya kunywa kitu ambacho ni hatari.

Umesema hawezi kutembea, kama umeshindwa kumfikisha hospitali, ninaamini kuna watu wa HBC (Home Based Care) hapo mtaani, wahusishe hao.

NARUDIA TENA, KAMA HAUNA MPANGO WA KUMUUA, MPELEKE CTC(Care and Treatment Clinic) MAPEMA IWEZEKANAVYO.

Amagambo nayo....
KIDUDU umetoa mwanga mzuri sana. kwa faida ya wengi na kwangu mimi binafsi naomba kujua kwa dar hizo ( Care and treatment Clinic) zipo hospitali zote au kuna hospitali maalum?
 
ARV's zinaweza kuongeza BP, zinaweza kukusababisha kukosa usingizi kwa wengine, si kila mtu anakuwa na matokeo sawa, ndiyo maana wanashauri, ukiwa kwenye dawa ishi maisha yako kama kawaida ikiwemo kufanya mazoezi, pia ku monitor BP ikiwezekana once a week kama umeshaanza kuona natizo.
wewe unahisi ni madhara gani kama mtu una BP alafu una HIV unaweza kukumbana nayo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom