Msaada jinsi ya kuongeza CD4

Msaada jinsi ya kuongeza CD4

kampun ya bf suma tunavo virutubisho asilia kwa ajili ya kupandisha cd 4 hyo bidhaa inaitwa pure and broken ni 150,000
 
Mkuu kama CD4 hazipandi kunaweza kukawa na vitu viwili vikuu.

1. Dawa haifanyi kazi vizuri (treatment failure) kitu ambacho katika kliniki yake wanaweza wakagundua.

2. Dawa zinafanya kazi vizuri lakini mgonjwa alianza tiba akiwa na CD4 chache sana. Hivyo immune recovery kwake imekuwa shida.

Hapo kwenye 1 anaweza akabadirishiwa dawa au akasisitizwa utumiaji sahihi wa dawa. Lakini kwenye 2 mgonjwa ataendelea na dawa anazotumia kwani zinafanya kazi.

Cha muhimu kujua ni kutotegemea dawa nje ya ART kukupandishia CD4.

Kula chakula bora, tumia hata hizo supplements ili uwe na afya njema. Lakini issue ya kutumia dawa fulani kwa nia tu ya kupandisha CD4 hiyo haipo.

Tunadanganyana sana na kuibiwa pesa katika upandishaji wa CD4.
elimu nzuri mkuu mungu akubariki kweli Kuna umuhimu wa elimu sana wa haya mambo maana Kuna watu wakishaanza kutumia arvs hawakumbuki kwenda kuangalia cd4 tena mpaka wazidiwe sana kikubwa elimu inahitajika sana
 
Ndugu yangu wa karibu sana anatatizo la HIV muda mrefu sasa ila tatizo lake CD4 zimeshuka sana zipo 18 na uzito 45 hawez kutembea mwenyewe na pia anasumbua sana kula chakula

Je ni dawa zipi zinaweza ongeza CD4 kwa haraka zaidi?

Kuna uwezekano mkubwa sana huyo ndugu yako atakuwa anatumia ARVs,ARVs ndizo zilizomsababishia matatizo hayo yote na wala si HIV kama anavyosingiziwa.Ukitaka kuamini haya ninayosema fungua karatasi iliyomo ndani ya kikopo cha ARVs anazotumia kisha uisome kwa makini sana utaona kwamba,hayo matatizo yote aliyonayo yameelezewa ndani ya hiyo karatasi.

Waliotudanganya kuhusu HIV/AIDS wametumia akili nyingi sana kiasi cha mtu wa kawaida kushindwa kutambua ukweli ulivyo,hii ni biashara ya watu sana duniani,ninyi hamjui tu.

Sasa nina uhakika pia,ukimpima huyo ndugu yako hapo alipo atakuwa na upungufu wa damu pia,halafu kuna matatizo mengine sitayataja lakini nina uhakika anayo.Sasa ili uthibitishe maneno haya,hebu mchunguze huyo ndugu yako na ulinganishe na haya ninayosema.Sijamwona ndugu yako lakini najua kutokana na uzoefu na ukweli wa haya ninayoongea.
 
Mkuu Deception ungemsaidia sasa afanye nini ili ndugu yake apate afya?
 
Ni kweli mkuu.

Kuna vitu vingi sana.
Maana hata hiyo kushuka sana kunakosemwa huwa haiongelewi kwa macho tu, ni calculation.

Ninaweza nikachukua damu yangu hapa nilipo na kuigawanya sehemu mbili na kisha kuiweka kwenye mashine ya kupima CD4 kupitia vichupa viwili tofauti na majibu yasifanane!!! Hivyo katika kupima CD4 count huwa kuna intra-reading na inter-reading variability.

Huwa tunasema absolute CD4 ina significant change kama iko 30% au zaidi kati ya vipimo ulivyofanya. Au kwa wale wanaotumia percentage CD4 count hasa kwa watoto kukiwa na change ya 3 units za percent kati ya kipimo na kipimo.

Mtu anaweza akaja week hii kapima absolute CD5 count ziko 100, akaja miezi sita baadaye zikawa 90. Huwezi sema 90 zimepungua maana hiyo haijafikia 30% change, kwani hata kipimo kilipokuwa 100 yamkini ungerudia kupima muda uleule ungeweza kupata 90.
 
Pia fahamu kwamba,CD4 ni biashara tu,CD4 hazina uhusiano na afya ya mtu...hii ni trick tu..ni ujanja ujanja wa watu ili wajiingizie kipato kwenye biashara hii.Kuna safari ndefu sana kama unataka kujua ukweli wa suala hili.

Cha msingi hapo ni kuacha kabisa matumizi ya ARVs na ku focus kwenye kula vyakula bora na hata matumizi ya suppliments,basi.

ANGALIZO:
ARVs haziachwi ghafla,ukiacha ghafla unaweza kufa kutokana na addiction yake,na fahamu pia kwamba ARVs zimetengenezwa kwa makusudi ziwe addictive ili mtu asiweze kuacha ghafla..akiacha anaweza kuugua sana na hata kufa.Kuna utaratibu wake wa kuacha.

PROOF:
Kuna watu wengi walishaelewa suala hili na sasa wameacha kabisa ARVs na wako safi kabisa kiafya.Wapo wengi pia ambao hawajazigusa kabisa pamoja na kwamba wameambiwa wana HIV na wana afya njema miaka mingi imepita hadi sasa.HIV ni propaganda tu ili kuwajengea watu woga ili iwe rahisi kuwashawishi watumie ARVs ambazo sasa ndizo zinazosababisha matatizo yote unayoyaona kwa watumiaji baada ya kuzitumia kwa muda mrefu.

Uthibitisho wa haya ninayosema upo wazi kabisa hata kama mtu yeyote atapinga.Huwezi kueleweka kwa watu wote,wapo watakaopinga na pia wapo werevu watakaokuelewa.Hivyo just take your time to learn.
 
hivi vitu ni uongo na ni wizi kwa watanzania sana kwa nn muuza ghali hivi
Na kweli wanaiba, maana wanatumia ama ujinga wao au ujinga wa wagonjwa kujinufaisha.

Hakuna dawa nje ya dawa za VVU inayoweza pandisha CD4. Huyo anayesema dawa yake inapandisha CD4 muulize kama kweli anazifahamu CD4.
 
Kuna uwezekano mkubwa sana huyo ndugu yako atakuwa anatumia ARVs,ARVs ndizo zilizomsababishia matatizo hayo yote na wala si HIV kama anavyosingiziwa.Ukitaka kuamini haya ninayosema fungua karatasi iliyomo ndani ya kikopo cha ARVs anazotumia kisha uisome kwa makini sana utaona kwamba,hayo matatizo yote aliyonayo yameelezewa ndani ya hiyo karatasi.

Waliotudanganya kuhusu HIV/AIDS wametumia akili nyingi sana kiasi cha mtu wa kawaida kushindwa kutambua ukweli ulivyo,hii ni biashara ya watu sana duniani,ninyi hamjui tu.

Sasa nina uhakika pia,ukimpima huyo ndugu yako hapo alipo atakuwa na upungufu wa damu pia,halafu kuna matatizo mengine sitayataja lakini nina uhakika anayo.Sasa ili uthibitishe maneno haya,hebu mchunguze huyo ndugu yako na ulinganishe na haya ninayosema.Sijamwona ndugu yako lakini najua kutokana na uzoefu na ukweli wa haya ninayoongea.
Kaka Medicine sio politics ya akina Lissu na Mwigulu.
 
Ni kweli mkuu.

Kuna vitu vingi sana.
Maana hata hiyo kushuka sana kunakosemwa huwa haiongelewi kwa macho tu, ni calculation.

Ninaweza nikachukua damu yangu hapa nilipo na kuigawanya sehemu mbili na kisha kuiweka kwenye mashine ya kupima CD4 kupitia vichupa viwili tofauti na majibu yasifanane!!! Hivyo katika kupima CD4 count huwa kuna intra-reading na inter-reading variability.

Huwa tunasema absolute CD4 ina significant change kama iko 30% au zaidi kati ya vipimo ulivyofanya. Au kwa wale wanaotumia percentage CD4 count hasa kwa watoto kukiwa na change ya 3 units za percent kati ya kipimo na kipimo.

Mtu anaweza akaja week hii kapima absolute CD5 count ziko 100, akaja miezi sita baadaye zikawa 90. Huwezi sema 90 zimepungua maana hiyo haijafikia 30% change, kwani hata kipimo kilipokuwa 100 yamkini ungerudia kupima muda uleule ungeweza kupata 90.

Mnatumia kipimo gani kupima CD4?
 
Mkuu Deception ungemsaidia sasa afanye nini ili ndugu yake apate afya?
Mama yangu mdogo anatumia dawa ARV na matunda na fresh juice mno...mbogq za majan ..rosela( vile vitu vya kuongeza dam) kwan kuongeza dam kwan kasi mnno kunapunguza magonjwa nyemelez na kupanda kwa cd4 ..asinywe kahawa kabisa na kama hana apetitw
 
Na kam hana apetite atumie pipil kidogo kwenye chakula...anywe uji wa muhogo wa mlonge ama habat soda ...atumie maharage na mboga za majan kwa wingi...apunguze kula nyama...anatakiwa kupata muda wa kupumzija na kufanyiwa canceling mana HIV n pamoja na kuipa akil kwamba unavyo na inazid kukumaliza...anatakiwa ajisahaulishe kwan watu hawaf kwa ukimwi wanakufwa kwan kwa maradh mengine...mf.ndug yako hapo akipimwa wing wa dam utaona iko kidogo ...ukimpima homa anayo ..presha anayo kwa mawazo .n.k tbun hayo.kwanza
 
Mama yangu mdogo anatumia dawa ARV na matunda na fresh juice mno...mbogq za majan ..rosela( vile vitu vya kuongeza dam) kwan kuongeza dam kwan kasi mnno kunapunguza magonjwa nyemelez na kupanda kwa cd4 ..asinywe kahawa kabisa na kama hana apetitw

Mama yako mdogo anaingiza sumu mwilini kwa kula ARVs halafu anaipunguza kwa kula matunda fresh,juisi,mboga za majani na rosela pamoja vitu vya kuongeza damu,ndio maana unamuona ana afya njema....wale wanaokula ARVs bila kufuata hayo masharti hawadumu muda mrefu....ARVs ndio tatizo basi kama hujui,HIV anasingiziwa tu,ndio maana wasiotumia ARVs halafu wakafuata utaratibu mzuri wa maisha wanakuwa na afya njema maisha yao yote hata kama wameambiwa wana HIV....

HIV amepata umaarufu kupitia vipimo feki tu....there is no such a thing HIV in reality.

HIV/AIDS is just a MINDSET disease.Hakuna ugonjwa kama huo kiuhalisia.
 
Mshauri atumie mti Mlonge anywe juice ya magamba na majani yake, pia atafune mbegu zake kila siku
 
Ndugu yangu wa karibu sana anatatizo la HIV muda mrefu sasa ila tatizo lake CD4 zimeshuka sana zipo 18 na uzito 45 hawez kutembea mwenyewe na pia anasumbua sana kula chakula

Je ni dawa zipi zinaweza ongeza CD4 kwa haraka zaidi?
Poleni sana mkuu, ipo dawa ya asili nzuri sana kwa wenye HIV Inaongeza cd4,nguvu na afya mwilini mwa mgonjwa na akiianza hatahitaji tena hizo ARV's tuwasiliane nijue uko wapi na jinsi ya kuipata tafadhari 0656 871878

n.b sitanii
 
Mama yangu mdogo anatumia dawa ARV na matunda na fresh juice mno...mbogq za majan ..rosela( vile vitu vya kuongeza dam) kwan kuongeza dam kwan kasi mnno kunapunguza magonjwa nyemelez na kupanda kwa cd4 ..asinywe kahawa kabisa na kama hana apetitw
Mkuu mimi sio mleta thread.
 
Mama yako mdogo anaingiza sumu mwilini kwa kula ARVs halafu anaipunguza kwa kula matunda fresh,juisi,mboga za majani na rosela pamoja vitu vya kuongeza damu,ndio maana unamuona ana afya njema....wale wanaokula ARVs bila kufuata hayo masharti hawadumu muda mrefu....ARVs ndio tatizo basi kama hujui,HIV anasingiziwa tu,ndio maana wasiotumia ARVs halafu wakafuata utaratibu mzuri wa maisha wanakuwa na afya njema maisha yao yote hata kama wameambiwa wana HIV....

HIV amepata umaarufu kupitia vipimo feki tu....there is no such a thing HIV in reality.

HIV/AIDS is just a MINDSET disease.Hakuna ugonjwa kama huo kiuhalisia.
Na saiv yuko na 17 yrs yuko poa mno.....ila kuhus kuacha ARV n ngum kidog mana zimeshakuwa kama ulev flan na kinywa usiku hulewa na kulala fofofo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom