Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 1,959
- 2,176
Njia simple tumia software kama Team viewer ama Anydesk, ni za bure weka kwenye simu na pc.
Kuna password utapata ukiiweka utaweza access pc yako popote duniani.
Zina communicate kwa WiFi au BluetoothNjia simple tumia software kama Team viewer ama Anydesk, ni za bure weka kwenye simu na pc.
Kuna password utapata ukiiweka utaweza access pc yako popote duniani.
Njia simple tumia software kama Team viewer ama Anydesk, ni za bure weka kwenye simu na pc.
Kuna password utapata ukiiweka utaweza access pc yako popote duniani.
Zina communicate kwa WiFi au Bluetooth
Ndio as long as Ipo on Hio laptop.Thanks a lot kiongozi wangu.
Nitaweza ku-access laptop yangu popote DUNIANI it means hata kama nitaiacha laptop Tz na mimi nikawa Ke nitaweza kufanya chochote kwenye laptop yangu kwa kutumia simu yangu mkuu wangu...?
Kwa internet mkuu,Zina communicate kwa WiFi au Bluetooth
Ndio as long as Ipo on Hio laptop.
Anza kwanza hivyo hapo juu, ukiweza ipo pia njia ya ku access bila password.
Kwa internet mkuu,
Kama unataka ya nyumbani ku communicate bila internet Tumia steam link, hii inatumia wifi na ipo fast. Lakini ukiwa nje ya range ya wifi haitakubali.
Kwa internet mkuu,
Kama unataka ya nyumbani ku communicate bila internet Tumia steam link, hii inatumia wifi na ipo fast. Lakini ukiwa nje ya range ya wifi haitakubali.
Pia ultraviewer ni free pia. ItamsaidiaNjia simple tumia software kama Team viewer ama Anydesk, ni za bure weka kwenye simu na pc.
Kuna password utapata ukiiweka utaweza access pc yako popote duniani.
Una steam kwenye pc tayari?Mkuu, nime-install hii Steam Link ila kuna sehemu nimekwama Chief...!
View attachment 1934076
Hapo nafanyaje mkuu...? Thanks.
Wakuu. Heshima kwenu.
Kama mada inavyojieleza wakuu nahitaji kutumia Laptop kutokea kwenye simu wakuu.
Vitu gani vinawezekana na vipi haviwezekani...?
Naweza kuona interface ya laptop kwa bluetooth nikafanya ninachoweza kufanya kwenye laptop kwa kutumia simu yangu...?
Kama ipo hiyo app inaweza kufanya kazi kwa umbali gani kutoka kwenye laptop...?
Najua kuwa kuna wireless mouse apps zinazokuwezesha kutumia mouse ya laptop kutokea kwenye simu, je kuna app yoyote inayokuwezesha kutumia Laptop 100% kutokea kwenye simu wakuu wangu...?
Najua kuwa kuna watu humu wanajua vitu vingi ambavyo wengi hawavijui, hivyo natumai kuwa REQUEST yangu nimeileta pahala sahihi kabisa.
Natanguliza shukran zangu za dhati kabisa kwenu.
Thanks a lot buddies.
Chief-Mkwawa and others.
Ndio nimesha-install mkuu...!Una steam kwenye pc tayari?
Fuata hii tutorial hapaNdio nimesha-install mkuu...!
Natumae mleta mada umepata muongozo...
Njia simple tumia software kama Team viewer ama Anydesk, ni za bure weka kwenye simu na pc.
Kuna password utapata ukiiweka utaweza access pc yako popote duniani.
Team viewer