Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 1,950
- 2,166
Wakuu. Heshima kwenu.
Kama mada inavyojieleza wakuu nahitaji kutumia Laptop kutokea kwenye simu wakuu.
Vitu gani vinawezekana na vipi haviwezekani...?
Naweza kuona interface ya laptop kwa bluetooth nikafanya ninachoweza kufanya kwenye laptop kwa kutumia simu yangu...?
Kama ipo hiyo app inaweza kufanya kazi kwa umbali gani kutoka kwenye laptop...?
Najua kuwa kuna wireless mouse apps zinazokuwezesha kutumia mouse ya laptop kutokea kwenye simu, je kuna app yoyote inayokuwezesha kutumia Laptop 100% kutokea kwenye simu wakuu wangu...?
Najua kuwa kuna watu humu wanajua vitu vingi ambavyo wengi hawavijui, hivyo natumai kuwa REQUEST yangu nimeileta pahala sahihi kabisa.
Natanguliza shukran zangu za dhati kabisa kwenu.
Thanks a lot buddies.
Chief-Mkwawa and others.