baraka bb
JF-Expert Member
- Mar 20, 2016
- 2,690
- 3,903
nakaribia kulipa kodi mrembo so target yangu niamie kwngu nisilipe kodWe jenga bana....itakapoishia ndio hapo hapo.........
nakaribia kulipa kodi mrembo so target yangu niamie kwngu nisilipe kodWe jenga bana....itakapoishia ndio hapo hapo.........
Chumba kimoja ni tofari 600.Tofali 300 kwa chumba kimoja
kumbe naweza pata vyumba viwil kwa tofar 600Tofali 300 kwa chumba kimoja
Yuko DarsilaamuUpo mkoa gani swali la muinu kuliko yote
ni nyumba ya vyumba viwil tu mkuu sidhan kama zitaingia tofar zote izoTofari 1400@1000 ni1,400,000.inabaki laki sita .fundi bado,mchanga bado,kokoto bado,mbao bado,nondo bado,maji bado bati bado,misumari bado,kuchimba msingi bado,madirisha na milango bado ,fundi hajaiba kidogo.Labda ujenge mbavu za umbwa.
[emoji1] [emoji1] [emoji1]utafanikiwa mkuu, gogo unaweza kuweka bili kwa jirani.
hii imependeza kijana anaweza kulala, madirisha na milango anajiongeza mwenyewe.wakuu jamani. Tofali za vyumba 2 ni kma
tofali 600 sawa na 600,000
mchanga lori moja 120,000
kokoto 120,000
cement 20 = 280,000
nondo 15=300,000
misumari = 20, 000
mbao kukodi za linter =40,000
fundi = 350,000
Maji =100,000
Jumla =1,930,000
then Mbao 2*2 = 24*4000
mbao 4*2= 24*7000
Bati= bando moja = 285,000
Fundi = 200,000
Misumari = 50,000
Ngoja waje?Ngoja waje
Toa upuuziMilioni mbili hata chumba kimoja hujengi mkuu.
Hata kama ni hivyo,mbona bajeti yake ishazidi? kwa Mbezi na goba,msingi lazima ule tofari Mia tano.Kokoto za 120,000 hata Shimo la choo hazitoshi,lazima uchukue Lori zima laki mbili na nusu.Nyumba haiendi kwa haraka,jambo zuri huyu ndugu atafute ramani na fundi achimbe msingi aanze atakapoishia apumzike akijikusanya tena aendeleze,wazo la kuhamia aliweke pending vinginevyo ataishia walipoishia Barcelona na Roma.wakuu jamani. Tofali za vyumba 2 ni kma
tofali 600 sawa na 600,000
mchanga lori moja 120,000
kokoto 120,000
cement 20 = 280,000
nondo 15=300,000
misumari = 20, 000
mbao kukodi za linter =40,000
fundi = 350,000
Maji =100,000
Jumla =1,930,000
then Mbao 2*2 = 24*4000
mbao 4*2= 24*7000
Bati= bando moja = 285,000
Fundi = 200,000
Misumari = 50,000
Haiwezekani.kumbe naweza pata vyumba viwil kwa tofar 600
Wengi wenu mnaongea nadharia,wanaofahamu wanajipambanua haraka sana.Toa upuuzi
Unajenga inatemegemea unataka iwe na ubora gani...achana na wanaokukatisha tamaa.
Yaani milioni mbili isijenge hata chumba kimoja? Hebu msikuze mambo kupita kiasi.Wengi wenu mnaongea nadharia,wanaofahamu wanajipambanua haraka sana.
Bado zege mkuuunaweza japo litakuwa banda na sio nyumba ambayo inaweza kukusitiri unahitaji tofari zisizopungua 1200 vyatua mwenyewe kwa kila mfuko tofari 40 unaweza ukagushi mpaka 45 ila maji mengi baada ya kuzivyatua na pia unapojenga saruji iwe kali. mifuko 30 ya cement itahitajika amboyo ni sawa na 360,000/-
utahitaji lory tano za mchanga wastani wa lory moja 120,000/- sawa na 600,000/-
nondo mbili mm12 sina uhakika na bei lakini inaweza kuwa 40,000/-
saruji ya kujengea kila tofari 60 mfuko mmjoa mifuko 20 sawa na 240,000/-
malango weka wa bati kwa dharura na madilisha weka kwanza wa mbao rahisi kila dirisha 30,000 madilisha manne 120,000/-
kitu bati bwana! weka bati la mstaafu gaji 30 au 32 kama zipo kila bati ukizunguka vizuri linaweza kuwa 8000/- unahitaji baji kama 30 sawa 240,000/-
mbao tenga 200,000/-
inabaki laki mbili fundi zinamfaa kabisa mpaka kuezeka.
sasa mafundi karibuni kwa data sahihi ila kwa kifupi unaweza kukamilisha kwa zaidi ya asilimia 75.
Haitoshi hata chumba kimoja labda awe fundi yeye mwenyewe.Kuna mambo mengine haitaji majibu mepesi km haya unayotoa. Hakuna mtu anayemkatisha tamaa bali ukweli ndiyo unaongelewa hapa. Km anataka kujenga nyumba yenye chumba na sebule km bafu na choo inawezekana kbsa tena na chenji inabaki ila km chumba na sebule ile nyumba anayoishi binadamu bado
Ushajiuliza maswali haya?
*Nyumba itachukua matofali mangapi?
*Cement mifuko mingapi?
*Maji
*Hela ya kuwalipa mafundi day fundi kujenga mmoja ni 25,000-30,000, msaidizi ni 10,000-15000? Kwa mauzo tofauli mmoja ni 250-300
*Itachukua mabati mangapi?
*Hela ya kuchimbia msingi? Hii ni tofauti na ile ya mafundi
Swali
1. Hiyo 2M inatosha?
Piga hesabu uone kama inatosha.Ukumbuke na land form ya Goba Mbezi.tofari si chini ya buku.Yaani milioni mbili isijenge hata chumba kimoja? Hebu msikuze mambo kupita kiasi.
Kama kiwanja ni tambarare, kwa makisio ni kama ifuatavyo;nataka nyumba ya kawaida tu chumba na subure kama iz tunazopanga mjin