Sio kweliNenda hospital ya wilaya iliyo karibu nawe huduma za mama na mtoto ni bure. ukikwama lete mrejesho hapa haraka
Umenichekesha sana😅Hili la mwenza umenikumbusha mbali sana,hii hospital ya Yombo wanakupigia simu kabisa mwanaume,basi mimi baada ya kupokea simu yao nikaanza kuongea KIHINDI mwenyewe alikata simu yule Nesi
Si ndo apo sasa ntamfunga bambino inauzwa 200Sasa kama 50k huna uwezo nayo,gharama za kununua pampas utaziweza?
HapanaUnataka kumsaidia kulea au😂😂
Bei Ni sawa na Bure kwa hospital za serikali, nenda na mume wa kukodi utahudumiwa haraka zaidi.Gharama za kuanza clinic kwa mjamzito ni sh ngapi kwa dar na nkienda bila mwenza ntapokelewa?
NB mwenza wangu alienda Congo hajrudi huu mwezi wa 5😭
Kwenye hospitali za serikali, vituo vya afya na zahanati huduma kwa wamama wanaoenda kuanza kliniki ni bure! Hayo malipo yameanza lini? Mimi naongea kupitia uzoefu.Mkuu naomba uongee uhalisia acha kumpotosha dada hapa hakuna hospital ya bure kuanza clinic na kama ipo basi naomba muelekeze dada yetu ili aweze kuanza clinic maana amechelewa sana kuanza miezi mitano ni mingi sana labda kama ni mimba yake ya pili au tatu labda atakuwa na uzoefu kidogo lakini kila mimba inakuja na changamoto zake.
Zahanati, Vituo vya afya na Hospitali zote za serikali! Huduma kwa wamama wajawazito zinatolewa bure. Hayo malipo yameanza lini?Sio kweli jaribu kuulizia ilikuwa ivo zaman
Ndio namhudumia mm mkuu amemaliza chuo mwaka juzi lakini hakupata ajira ila mwaka huu akapewa mimba na huyo mchumba wake waliokutana chuoni SUA na wote bado hawajaajiriwa kwa hiyo dogo nikamleta dar aje kujisikilizia mpaka ajifungue na kazi/biashara aliyokuwa anaifanya yy mkoani Lindi ya kuuza spare za pikipiki na kusimamia mashamba ya korosho ndio anauza/anafanya huyo mchumba wake huku wakiendelea kuomba hizo Ajira zao huko Ajira portal naamini M/mungu atawasaidia watapata hitaji la moyo wao.Mdogo wako ana mimba na unahudumia wewe?
Yalikuwepo ww ni mwanamke?Zahanati, Vituo vya afya na Hospitali zote za serikali! Huduma kwa wamama wajawazito zinatolewa bure. Hayo malipo yameanza lini?
Ww sema tu ulikimbia kupima damu😀Hili la mwenza umenikumbusha mbali sana,hii hospital ya Yombo wanakupigia simu kabisa mwanaume,basi mimi baada ya kupokea simu yao nikaanza kuongea KIHINDI mwenyewe alikata simu yule Nesi
Nami naungana na wewe kwenye hili. Akihitaji huduma ya usindikizaji, nipo. Vinginevyo manesi watamsema sana.Nipo tayari kujitolea kwenda na wewe clinic ili manesi wasikuseme sana
Bei sawa na bure ni sawa sawa ba sh ngapBei Ni sawa na Bure kwa hospital za serikali, nenda na mume wa kukodi utahudumiwa haraka zaidi.
Sasa mtanisindikiza wangapiNami naungana na wewe kwenye hili. Akihitaji huduma ya usindikizaji, nipo. Vinginevyo manesi watamsema sana.
We nenda ukishindwa kulipia ni dm nitakulipia clinic MPAKA unajifungua, nenda clinic isiyozidi 50k. NB kama utanidamganya nitajua nini Cha kufanyaGharama za kuanza clinic kwa mjamzito ni sh ngapi kwa dar na nkienda bila mwenza ntapokelewa?
NB mwenza wangu alienda Congo hajrudi huu mwezi wa 5😭
Mkuu naomba mtajie hiyo hospital ya bure ili dada kesho akaanze clinic mbona unapenda sana kubishana mkuu wakati ss tunakwambia uhalisia wa maisha jinsi yalivyo huku kwa ground.Zahanati, Vituo vya afya na Hospitali zote za serikali! Huduma kwa wamama wajawazito zinatolewa bure. Hayo malipo yameanza lini?
Umeanza kuuliza maswali ya kipuuzi. Ninakuwa vipi mwanamke sasa! Uliposema jamaa aliyekutundika hiyo mimba yuko Congo, angekuwepo halafu akakupeleka huko hospitali kwa ajili ya kuanza kliniki angekuwa ni mwanamke?Yalikuwepo ww ni mwanamke?
Vikindu ni Pwani, siyo Dar mkuu.Nipo dar vikindu