Udochi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 1,073
- 1,576
Mimi najitolea, ila akipata chandarua ni yangu.Bei Ni sawa na Bure kwa hospital za serikali, nenda na mume wa kukodi utahudumiwa haraka zaidi.
Mimi najitolea, ila akipata chandarua ni yangu.Bei Ni sawa na Bure kwa hospital za serikali, nenda na mume wa kukodi utahudumiwa haraka zaidi.
Kitendo cha mwana kumpiga mbupu dada yako, na kukupa msala wa kulea mimba, huku yeye akiendelea kupiga mbupu mademu wengine, na baadaye akipata mchongo aanze kukudharau ni cha kibwege sana.Ndio namhudumia mm mkuu amemaliza chuo mwaka juzi lakini hakupata ajira ila mwaka huu akapewa mimba na huyo mchumba wake waliokutana chuoni SUA na wote bado hawajaajiriwa kwa hiyo dogo nikamleta dar aje kujisikilizia mpaka ajifungue na kazi/biashara aliyokuwa anaifanya yy mkoani Lindi ya kuuza spare za pikipiki na kusimamia mashamba ya korosho ndio anauza/anafanya huyo mchumba wake huku wakiendelea kuomba hizo Ajira zao huko Ajira portal naamini M/mungu atawasaidia watapata hitaji la moyo wao.
Wawili haifai?Sasa mtanisindikiza wangapi
PoaWe nenda ukishindwa kulipia ni dm nitakulipia clinic MPAKA unajifungua, nenda clinic isiyozidi 50k. NB kama utanidamganya nitajua nini Cha kufanya
Acha mikwara wewe.We nenda ukishindwa kulipia ni dm nitakulipia clinic MPAKA unajifungua, nenda clinic isiyozidi 50k. NB kama utanidamganya nitajua nini Cha kufanya
PoaVikindu ni Pwani, siyo Dar mkuu.
Huwezi jua napitia niniKwa hiyo mimba Ina miezi 5 hujaanza clinic? Bulafakini ngojea ukazae ngukuroto
Naona huyo binti anaanza kuweweseka mkuu. Msamehe.Umeanza kuuliza maswali ya kipuuzi. Ninakuwa vipi mwanamke sasa! Uliposema jamaa aliyekutundika hiyo mimba yuko Congo, angekuwepo halafu akakupeleka huko hospitali kwa ajili ya kuanza kliniki angekuwa ni mwanamke?
Nimeuliza ivo ili nijue jinsia yako kwanza maana umekomalia clinic bure kitu ambacho sio kweli na kuna mdau kaakwambia nitajie hiyo clinic ya bure iko hospital gani umekaa kimyaUmeanza kuuliza maswali ya kipuuzi. Ninakuwa vipi mwanamke sasa! Uliposema jamaa aliyekutundika hiyo mimba yuko Congo, angekuwepo halafu akakupeleka huko hospitali kwa ajili ya kuanza kliniki angekuwa ni mwanamke?
Bila shaka mwanajeifu kashapita kimasiharaaaGharama za kuanza clinic kwa mjamzito ni sh ngapi kwa dar na nkienda bila mwenza ntapokelewa?
NB mwenza wangu alienda Congo hajrudi huu mwezi wa 5😭
Me nilikwambia pambana uanze kulipwa hapa jeifuWengine wanasema 30 wengine 50 sijui nitoe lipi naomba kwa anayejua hospital ambayo clinic haivuki elfu 30 anambie mimi 50 sina kwakweli wakina mama nisaidie hospital ya bei nafuu
Mkuu punguza ukali wa maneno ila ujumbe wako nimeupata asante kwa ushauri wako.Kitendo cha mwana kumpiga mbupu dada yako, na kukupa msala wa kulea mimba, huku yeye akiendelea kupiga mbupu mademu wengine, na baadaye akipata mchongo aanze kukudharau ni cha kibwege sana.
Ukweli lazima usemwe mkuu. Kuna baadhi ya ndugu wana shukrani za punda. Wanaweza kummanipulate hata dada yako akaja kukuona ndezi pindi mambo yake yakiwa sawa.Mkuu punguza ukali wa maneno ila ujumbe wako nimeupata asante kwa ushauri wako.
Vipimo hapo vya kwanza vinaweza kugharimu zaidi ya 50000.Gharama za kuanza clinic kwa mjamzito ni sh ngapi kwa dar na nkienda bila mwenza ntapokelewa?
NB mwenza wangu alienda Congo hajrudi huu mwezi wa 5![]()
ParefuVipimo hapo vya kwanza vinaweza kugharimu zaidi ya 50000.
Unaambiwa zamani ilikuwa bure yani dahHalafu kuna wasee flani huko wameifungia jf,,badala ya kuboresha walau huduma muhimu km hizi,, yani hili libibi ni lishetani
Una masihara wewe ulinipanga nikapangikaMe nilikwambia pambana uanze kulipwa hapa jeifu
Sawa nimekuelewa mkuu tupo pamoja nitazingatia pia ushauri wako.Ukweli lazima usemwe mkuu. Kuna baadhi ya ndugu wana shukrani za punda. Wanaweza kummanipulate hata dada yako akaja kukuona ndezi pindi mambo yake yakiwa sawa.