win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 2,695
- 7,925
Majukumu mazito hayo mrembo
mazito kivipiMajukumu mazito hayo mrembo
Pole sana, kwa hiyo wenzake hawana taarifa zake kabisa?Sdhani kama yupo hai wenzake walisharudi na kwenda tena na kurudi
Hawana kwakweliPole sana, kwa hiyo wenzake hawana taarifa zake kabisa?
Mnipe wote na weweMpaji Mungu njoo umpe mama k hela ya maembe.
AsantePole sana mkuu, na nakutakia kila la kheri
Mi sina, mpaji anazo atakupaMnipe wote na wewe
SawaMi sina, mpaji anazo atakupa
Siwezi kuyabebamazito kivipi
Siwezi kuyabeba
Aje hapa Mabibo sokoni atanikutaMpaji Mungu njoo umpe mama k hela ya maembe.
Unapambana dada yabebe kidogo na ww
Mi mwenyewe tia maji tuMi sina, mpaji anazo atakupa
Nenda hospital ya serikali muone afisa ustawi wa jamii utapata huduma bure. Upo mkoa gani?Wengine wanasema 30 wengine 50 sijui nitoe lipi naomba kwa anayejua hospital ambayo clinic haivuki elfu 30 anambie mimi 50 sina kwakweli wakina mama nisaidie hospital ya bei nafuu