win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 2,695
- 7,823
yani huyu😅😅😅😅Hapana
yani huyu😅😅😅😅Hapana
haya byee mi nalalaaaah
Hapo sina nenoyani huyu😅😅😅😅
Mpee hata maembeMi mwenyewe tia maji tu
😄 kwani uko ni saa ngapi mamahaya byee mi nalala
saa mbili na dakik 19 usiku😄 kwani uko ni saa ngapi mama
Nipo dar vikinduNenda hospital ya serikali muone afisa ustawi wa jamii utapata huduma bure. Upo mkoa gani?
mh! mbona unalala mapema namna hiosaa mbili na dakik 19 usiku
nimechoka alf kesho natakiwa niwahi kibaruanimh! mbona unalala mapema namna hio
Oh pole sana, ulale unononimechoka alf kesho natakiwa niwahi kibaruani
Aaah, baada ya kupandishwa mafuso wakati wa kampeni ulidhani zile ngonjera ni kweli.Hivi clinic ya ujauzito siku hizi unatakiwa kulipa???🙄🙄🙄
Nenda hospital ya wilaya iliyo karibu nawe huduma za mama na mtoto ni bure. ukikwama lete mrejesho hapa harakaNipo dar vikindu
asante redOh pole sana, ulale unono
see you tomorrowasante red
Huduma hizi ni bure kabisa iko sera changamoto ni kusimamia utekelezaji, viongozi wamelala usingizi.Hivi clinic ya ujauzito siku hizi unatakiwa kulipa???🙄🙄🙄
Hivi kama mshkaji ana miezi mitano yupo kwa kina Fally Ipupa ina maana mimba inakaribia miezi sita na bado hajaanza clinic🤔au mi ndo sijaelewaMpee hata maembe
AsuHkL mashemeji tunauliza, mimba ina miezi sita na clinic haujaanza?Hivi kama mshkaji ana miezi mitano yupo kwa kina Fally Ipupa ina maana mimba inakaribia miezi sita na bado hajaanza clinic🤔au mi ndo sijaelewa
Sasa kama 50k huna uwezo nayo,gharama za kununua pampas utaziweza?Dah gharama kubwa sana ntazimudu kweli
Mdogo wako ana mimba na unahudumia wewe?Ndio hvyo kaka.mm nakaa na mdogo wangu alianza clinic nilimpa elfu 40 baada ya hapo nikawa nampa elfu kumi kila mwezi akienda clinic ila kipindi cha Magufuli mke wangu alianza clinic bure kabisa mimba zake zote mbili.