Msaada gharama za kuanza clinic

Msaada gharama za kuanza clinic

Usilipe wewe kama nani😀

Zile habari za "Matibabu ni Bure kwa Wajawazito na Watoto" huwa changamsha genge tu.
Aiseee!!! I didn't know!!! Enzi zetu huduma zote zilikuwa ni bure mpaka kujifungua ulitakiwa uende na vifaa tu!!! Anyway, it is years ago!!!
 
Nenda Sinza Palestina Hospital, ukianza clinic kuna program utakuwa unafatiliwa na nesi kila mwezi kukumbushwa kipindi fulani walikuwa wanatoa nauli kwa Mama mjamzito kila akienda
 
Wengine wanasema 30 wengine 50 sijui nitoe lipi naomba kwa anayejua hospital ambayo clinic haivuki elfu 30 anambie mimi 50 sina kwakweli wakina mama nisaidie hospital ya bei nafuu
Uko mkoa gani?
 
Wengine wanasema 30 wengine 50 sijui nitoe lipi naomba kwa anayejua hospital ambayo clinic haivuki elfu 30 anambie mimi 50 sina kwakweli wakina mama nisaidie hospital ya bei nafuu
Unadhani wote humu wanakaa sehemu moja?
Sema unaishi mkoa upi, sehemu gani ili upewe muongozo kulingana na sehemu uliyopo.
 
Kwa kweli binti maisha bongo ni magumu sana, cha kukushauri uwe makini tu nao hao watu, maana siyo kukubambikia bill tu isiyo na kichwa, wanaweza kukubambikia hadi mimba nyingine ukajifungua mapacha...
 
Gharama za kuanza clinic kwa mjamzito ni sh ngapi kwa dar na nkienda bila mwenza ntapokelewa?

NB mwenza wangu alienda Congo hajrudi huu mwezi wa 5😭
Huduma ya clinic kwa wajawazito ni bure. Gharama labda ni nauli yako tu ya kukufikisha kwenye hicho kituo cha afya na kukurejesha unakoishi. Na ikitokea ukapigwa sana basi kulipia elfu 5 tu ya kadi (hii ni pesa ya manesi) ambayo manesi watakuambia wakupe kopi ya kadi, au uchangie kidogo upewe kadi halisi.
 
Back
Top Bottom