Msaada gharama za kuanza clinic

Msaada gharama za kuanza clinic

Ndio hvyo kaka.mm nakaa na mdogo wangu alianza clinic nilimpa elfu 40 baada ya hapo nikawa nampa elfu kumi kila mwezi akienda clinic ila kipindi cha Magufuli mke wangu alianza clinic bure kabisa mimba zake zote mbili.
Mkuu wahuni wametia mimba mdogo wako na kukuachia umhudumie mwenyewe?

Hao ni watu wabaya sana
 
Huyu mama kijacho hayupo serious huyu, sijui ana umri gani....mimba ya kwanza mimba miezi mitano hajawahi kukanyaga clinic anaulizia gharama za clinic sasa gharama za kujifungua itakuaje 🙄.
 
Jitahidi ule vidonge vya follic usidharau ni kila siku mpka utajifungua
 
Ndio namhudumia mm mkuu amemaliza chuo mwaka juzi lakini hakupata ajira ila mwaka huu akapewa mimba na huyo mchumba wake waliokutana chuoni SUA na wote bado hawajaajiriwa kwa hiyo dogo nikamleta dar aje kujisikilizia mpaka ajifungue na kazi/biashara aliyokuwa anaifanya yy mkoani Lindi ya kuuza spare za pikipiki na kusimamia mashamba ya korosho ndio anauza/anafanya huyo mchumba wake huku wakiendelea kuomba hizo Ajira zao huko Ajira portal naamini M/mungu atawasaidia watapata hitaji la moyo wao.
Uko vizuri sana mkuu.
Na Mungu akubariki sana
 
Hivi kama mshkaji ana miezi mitano yupo kwa kina Fally Ipupa ina maana mimba inakaribia miezi sita na bado hajaanza clinic🤔au mi ndo sijaelewa
Huyu binti ni muongo tu na sidhani kama hana mawasiliano na mwenye mimba.

Labda kavamia mume wa mtu na kajibebesha mimba
 
Bei sawa na bure ni sawa sawa ba sh ngap
Bure...ukitaka kuhonga niwewe tu, hii bure unapata kadi ya clinic, mafunzo, kupima ukimwi na dawa za follic acid za kuanzia nyingine utanunua mwenyewe.
 
Huyu binti ni muongo tu na sidhani kama hana mawasiliano na mwenye mimba.

Labda kavamia mume wa mtu na kajibebesha mimba
Sina mawasiliano nae mume wangu wa ndoa alikuwa anasafiri kwenda nje na magari haya makubwa na Mars ya mwisho trh 6 may yeye na wenzake walienda Congo alipokuwa Congo nilikuwa nawasiliana nae wasap ila baada ya muda nkawa simpati, nikaamua kumtafuta mwenzake ,mwenzake akanambia sim yake mbovu ,nikamwambia basi mpe sim niongee nae akawa ananirusha! Akawa anani Bluettick, familia yake hasa mama ake akawa na hofu mwanae kuwa kimya hivo maana alizoea nampa sim wanaonana vedeo call, baada ya muda tukasikia alionda nao wamerudi tyar ndo familia ikafanya jitihada za kuwauliza mume wangu wamemuacha wapi, lakini majibu waliyotupa hayakuturidhisha, (n memgi yaliendele tukafatilia mpaka kwa ma boss zake) ila mpka dakika hii hajarudi ,kama familia tumeshakubaliana na hali,

Kwahiyo kitendo cha kusema nimemchukua bwana wa mtu umekosea ungeuliza kwanza, ila yote kwa yote nimekusamehe sisi ni binadam kuteleza kupo
 
Pole sana
Ndugu wa mume wasikutelekeze sasa na ni wakati wa kusimama vizuri
 
Huyu mama kijacho hayupo serious huyu, sijui ana umri gani....mimba ya kwanza mimba miezi mitano hajawahi kukanyaga clinic anaulizia gharama za clinic sasa gharama za kujifungua itakuaje 🙄.
Kama sipo serious sawa, ila si kupenda kwangu kuchelewa clinic, nyuma ya pazua kuna changamoto nazipitia na nshakwambia ila sijui kwanini unanisakama mwanamke mwezio badala ya kunitia moyo
 
Back
Top Bottom