Sio kweli jaribu kuulizia ilikuwa ivo zamanHuduma ya clinic kwa wajawazito ni bure. Gharama labda ni nauli yako tu ya kukufikisha kwenye hicho kituo cha afya na kukurejesha unakoishi. Na ikitokea ukapigwa sana basi kulipia elfu 5 tu ya kadi (hii ni pesa ya manesi) ambayo manesi watakuambia wakupe kopi ya kadi, au uchangie kidogo upewe kadi halisi.
Nipo vikinduwewe uko wapi nenda kimara
30k inatosha ultrasound na blood cultures ila usifate utaratibu wa mapokezi tafuta daktari au ulizia chumba cha ultrasound nenda direct uongee na mtoa Huduma
Kwani hujui nachomaanisha au unajizima data?Unamanisha nn
Asante mkuu hospital
Njoo ijumaa dada yangu na hiyo elfu 30 gharama zingine mm nitazimalizia ukifika hapa hospital.Asante mkuu hospital gani nije kesho
Nikifika niulizie Dr/nesi nani?Njoo ijumaa dada yangu na hiyo elfu 30 gharama zingine mm nitazimalizia ukifika hapa hospital.
Mkuu naomba uongee uhalisia acha kumpotosha dada hapa hakuna hospital ya bure kuanza clinic na kama ipo basi naomba muelekeze dada yetu ili aweze kuanza clinic maana amechelewa sana kuanza miezi mitano ni mingi sana labda kama ni mimba yake ya pili au tatu labda atakuwa na uzoefu kidogo lakini kila mimba inakuja na changamoto zake.Huduma ya clinic kwa wajawazito ni bure. Gharama labda ni nauli yako tu ya kukufikisha kwenye hicho kituo cha afya na kukurejesha unakoishi. Na ikitokea ukapigwa sana basi kulipia elfu 5 tu ya kadi (hii ni pesa ya manesi) ambayo manesi watakuambia wakupe kopi ya kadi, au uchangie kidogo upewe kadi halisi.
Ni ya kwanzaMkuu naomba uongee uhalisia acha kumpotosha dada hapa hakuna hospital ya bure kuanza clinic na kama ipo basi naomba muelekeze dada yetu ili aweze kuanza clinic maana amechelewa sana kuanza miezi mitano ni mingi sana labda kama ni mimba yake ya pili au tatu labda atakuwa na uzoefu kidogo lakini kila mimba inakuja na changamoto zake.
Ww ukitoka vikundi panda gari za mbagala ambazo zinatoka mkuranga au kisemvule halafu shuka mbagala rangi tatu hapo utapanda gari za chamazi nauli yake ni mia tano tu halafu shuka zebra ya chamazi hospital gari hapo huwa linasimama kwa ajili ya wanafunzi na wagonjwa kuvuka barabara.Nikifika niulizie Dr/nesi nani?
Sawa dada yangu,pole na hongera sana huo ndio ukubwa usijali shemeji kama yupo mbali na ww atarudi tu mwache atafute maisha&pesa atarudi tu mpe muda.Ni ya kwanza
msaidie redSasa hio mimba nani atalea?
Maelezo mengine tutawasiliana DM dada yangu.AsanteNikifika niulizie Dr/nesi nani?
Sdhani kama yupo hai wenzake walisharudi na kwenda tena na kurudiSawa dada yangu,pole na hongera sana huo ndio ukubwa usijali shemeji kama yupo mbali na ww atarudi tu mwache atafute maisha&pesa atarudi tu mpe muda.
mh!msaidie red
Sawa nashukuruMaelezo mengine tutawasiliana DM dada yangu.Asante
Nipe nafasi mama nikufarijiMmm Subiri kwanza
Sawa mungu atufikishe salamaWw ukitoka vikundi panda gari za mbagala ambazo zinatoka mkuranga au kisemvule halafu shuka mbagala rangi tatu hapo utapanda gari za chamazi nauli yake ni mia tano tu halafu shuka zebra ya chamazi hospital gari hapo huwa linasimama kwa ajili ya wanafunzi na wagonjwa kuvuka barabara.
OkNipe nafasi mama nikufariji
Sawa dada yangu,pole na hongera sana.Sawa mungu atufikishe salama
Oooooohhh pole sana dada M/mungu akutie nguvu dada yangu.Sdhani kama yupo hai wenzake walisharudi na kwenda tena na kurudi