- Thread starter
- #161
Hao ndugu zake sasa ni kizungumkuti ! Wote wa kike wapo wanne sitaki hata kuwaongeleaPole sana
Ndugu wa mume wasikutelekeze sasa na ni wakati wa kusimama vizuri
Hao ndugu zake sasa ni kizungumkuti ! Wote wa kike wapo wanne sitaki hata kuwaongeleaPole sana
Ndugu wa mume wasikutelekeze sasa na ni wakati wa kusimama vizuri
Sorry brazaKama sipo serious sawa, ila si kupenda kwangu kuchelewa clinic, nyuma ya pazua kuna changamoto nazipitia na nshakwambia ila sijui kwanini unanisakama mwanaume mwezio badala ya kunitia moyo
Typing error, nilimaanisha mwanamkeSorry braza
Kitendo cha mwana kumpiga mbupu dada yako, na kukupa msala wa kulea mimba, huku yeye akiendelea kupiga mbupu mademu wengine, na baadaye akipata mchongo aanze kukudharau ni cha kibwege sana.
Bila ya shakaSawa clinic si watanipa?
Ukweli hela unazoambiwa ulipe ni nje ya mfumo zinaliwa na watuSio kweli
😂😂😂😂😂 Kapatikana aiseeSorry braza
Joke bana usifanye mama k amwage chozi😂😂😂😂😂 Kapatikana aisee
DahUkweli hela unazoambiwa ulipe ni nje ya mfumo zinaliwa na watu
Ukweli hela unazoambiwa ulipe ni nje ya mfumo zinaliwa na watu
Vipimo,matibabu na ushauri wa kitaalamu vyote ni bureHee kwahyo unataka upige Ultrasound bure? 😂
Nina watoto wawili mkuu hivyo sio ajabuWw sema tu ulikimbia kupima damu😀