Mkuu inawezekana kweli gari yako ikawa na tatizo lakini pia angalia na uendeshaji wako. Kuna baadhi y awatu nimeshuhudia yupo kwenye foleni amekanyaga breki pedal lakini bado mguu upo kwenye mafuta gari, au unakuta yupo kwenye mteremko lakini bado anaona raha kukanyagia mafuta.
Kama ndiyo hivyo pia unaweza kutafuta mtaaalamu akakupa shule ya udereva wa kiuchumi (economical driving).
Kumbe sikutaja aina ya transmission, ni auto mkuu. Wengi wanaotumia auto hutumia miguu yote, wakushoto breki na kulia mafuta. Wengi wanaotumia mguu mmoja wakati wakuendesha auto hujikuta kosa moja goli, wengi wanafanya hivyio ili kuepuka kupata ajali ya kugonga gari la mbele yako hasa kwenye foleni. Unaweza kufikiri unakanyaga breki kumbe mguu hujaamisha vizuri kutoka kwenye mafuta.Huu uendeshaji nausikia leo!!! mguu uwe kwenye break pedal na bado uwe kwenye mafuta? kumbuka mguu ili ukanyage break lazima uhamishe toka kwenye mafuta kwanza. Labda unataka kutwambia anakanyaga break kwa mguu wa kushoto kitu ambacho siyo!!!. Hebu tufafanulie vizuri hapo kwenye red. Hata hapo kwenye mteremko, ukiendelea kukanyaga mafuta gari itakimbia na kkukulazimu ukanyage break.
Yaani nadhani kati ya km nne au tano kwa lita moja. Wafundi wanasema nibadilishe nozzle niweke za tundu mbili maana zilizopo ni nne. Je itasaidia?
Kumbe sikutaja aina ya transmission, ni auto mkuu. Wengi wanaotumia auto hutumia miguu yote, wakushoto breki na kulia mafuta. Wengi wanaotumia mguu mmoja wakati wakuendesha auto hujikuta kosa moja goli, wengi wanafanya hivyio ili kuepuka kupata ajali ya kugonga gari la mbele yako hasa kwenye foleni. Unaweza kufikiri unakanyaga breki kumbe mguu hujaamisha vizuri kutoka kwenye mafuta.
fanya hivi ijaze full tanki alafu sukuma hadi nyumbani kwako, lipaki kwenye banda lake kama lipo , usiwashe engine hata siku1 ww washa taa tu na redio piga honi kila kitu alfu angalia kama litakula hayo mafuta
Mkuu inawezekana kweli gari yako ikawa na tatizo lakini pia angalia na uendeshaji wako. Kuna baadhi y awatu nimeshuhudia yupo kwenye foleni amekanyaga breki pedal lakini bado mguu upo kwenye mafuta gari, au unakuta yupo kwenye mteremko lakini bado anaona raha kukanyagia mafuta.
Kama ndiyo hivyo pia unaweza kutafuta mtaaalamu akakupa shule ya udereva wa kiuchumi (economical driving).
Hilo tatizo dogo sana, fungua hiyo side mirror ya kushoto utaona propela shafti isugue na msasa kidogo halafu ipulize kdg then punguza upepo kwenye tairi za mbele. Hapo kesi yako itakuwa solved
Kumbe sikutaja aina ya transmission, ni auto mkuu. Wengi wanaotumia auto hutumia miguu yote, wakushoto breki na kulia mafuta. Wengi wanaotumia mguu mmoja wakati wakuendesha auto hujikuta kosa moja goli, wengi wanafanya hivyio ili kuepuka kupata ajali ya kugonga gari la mbele yako hasa kwenye foleni. Unaweza kufikiri unakanyaga breki kumbe mguu hujaamisha vizuri kutoka kwenye mafuta.
Hii ni ngeni Mkuu! hahahahaa:love:
kweli jf is everything lolz...
mie gari yangu haili mafuta sana, ila hela ya mafuta ndio nimeishiwa. Somebody help plz!
Kumbe sikutaja aina ya transmission, ni auto mkuu. Wengi wanaotumia auto hutumia miguu yote, wakushoto breki na kulia mafuta. Wengi wanaotumia mguu mmoja wakati wakuendesha auto hujikuta kosa moja goli, wengi wanafanya hivyio ili kuepuka kupata ajali ya kugonga gari la mbele yako hasa kwenye foleni. Unaweza kufikiri unakanyaga breki kumbe mguu hujaamisha vizuri kutoka kwenye mafuta.
Yaani nadhani kati ya km nne au tano kwa lita moja. Wafundi wanasema nibadilishe nozzle niweke za tundu mbili maana zilizopo ni nne. Je itasaidia?
Huu uchokozi sasa!kweli jf is everything lolz...
mie gari yangu haili mafuta sana, ila hela ya mafuta ndio nimeishiwa. Somebody help plz!
Fix nyingine! Gaia ya diesel ok kwa kuwa umefunga nozzle lazima ile petrol