TCleverly
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 1,921
- 873
Yaani nadhani kati ya km nne au tano kwa lita moja. Wafundi wanasema nibadilishe nozzle niweke za tundu mbili maana zilizopo ni nne. Je itasaidia?
mbona kawaida tu......
Yaani nadhani kati ya km nne au tano kwa lita moja. Wafundi wanasema nibadilishe nozzle niweke za tundu mbili maana zilizopo ni nne. Je itasaidia?
fanya hivi ijaze full tanki alafu sukuma hadi nyumbani kwako, lipaki kwenye banda lake kama lipo , usiwashe engine hata siku1 ww washa taa tu na redio piga honi kila kitu alfu angalia kama litakula hayo mafuta
nenda kwa fundi ambaye ni mtaalam akurekebishie kitu kinachoitwa 'throttle' ili kuwe na uwiano unaofaa kuingia katika engine kati ya hewa na mafuta. Inavyoonekana throttle haijakaa vizuri hivyo kuingiza sana mafuta.Yaani nadhani kati ya km nne au tano kwa lita moja. Wafundi wanasema nibadilishe nozzle niweke za tundu mbili maana zilizopo ni nne. Je itasaidia?
Yaani nadhani kati ya km nne au tano kwa lita moja. Wafundi wanasema nibadilishe nozzle niweke za tundu mbili maana zilizopo ni nne. Je itasaidia?
Ni gaia ya 1999. CC 1990
fanya hivi ijaze full tanki alafu sukuma hadi nyumbani kwako, lipaki kwenye banda lake kama lipo , usiwashe engine hata siku1 ww washa taa tu na redio piga honi kila kitu alfu angalia kama litakula hayo mafuta
Nimesema gaiaMmh jamani, huruma kwa muulizaji....yaani umeniacha hoi kwa kucheka.
Ila mtoa mada hajatenda haki, hasemi hata gari ni aina gani na ina uezo gani labda watu wangemshauri. Sasa kama ni V8, kuna suala la kusikitikia mafuta?
Nimesema gaia
Yaani nadhani kati ya km nne au tano kwa lita moja. Wafundi wanasema nibadilishe nozzle niweke za tundu mbili maana zilizopo ni nne. Je itasaidia?
Gari yako ni aina gani, VOGUE, jeep au Hammer?Yaani nadhani kati ya km nne au tano kwa lita moja. Wafundi wanasema nibadilishe nozzle niweke za tundu mbili maana zilizopo ni nne. Je itasaidia?
Mkuu pgsoft2008 bado natafakari hiyo concept ya kutovuka rpm 2 na its relevance in minimising fuel consumption. Unaweza kuja na technical explanation kidogo juu ya hili?mara nyingi driving pia huchangia ulaji wa mafuta kwa kiasi kikubwa. jaribu kuendesha hilo gari ili hali ukizuia rpm kupita mbili. hata kama rpm haivuki mbili unaweza pata speed uitakayo just uvumilivu kidogo.
Mkuu inawezekana kweli gari yako ikawa na tatizo lakini pia angalia na uendeshaji wako. Kuna baadhi y awatu nimeshuhudia yupo kwenye foleni amekanyaga breki pedal lakini bado mguu upo kwenye mafuta gari, au unakuta yupo kwenye mteremko lakini bado anaona raha kukanyagia mafuta.Yaani nadhani kati ya km nne au tano kwa lita moja. Wafundi wanasema nibadilishe nozzle niweke za tundu mbili maana zilizopo ni nne. Je itasaidia?
Yaani nadhani kati ya km nne au tano kwa lita moja. Wafundi wanasema nibadilishe nozzle niweke za tundu mbili maana zilizopo ni nne. Je itasaidia?