Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 15,718
- 33,895
Watoto wa nje ya ndoa wanarithi kama wanatambulika ....Either waliandikwa kweny wosia au aliwatambulisha na wanajulika.Nashkuru kuzaliwa Muislamu
Yani in islamic perspective ni suala dogo sana hilo
Watoto wa nje ya ndoa hawarithi kitu labda baba yao awape yy mwenyewe akiwa hai
Uzinzi haujawahi kumuacha mtu Salama
Kutokana na mazingira hayo ya mtoa mada wana haki ya kurithi kwa vile kuna uthibitisho wa kisheria hata DNA tu.
Labda useme ubaya wa uzinzi jamaa kaona asiwatambulishe ....Ndio maana hata ukizaa nje ya ndoa bora useme mapema.