Msaada: Familia inahangaika namna gani watawasadia watoto wawili wa nje wa marehemu

Nashkuru kuzaliwa Muislamu

Yani in islamic perspective ni suala dogo sana hilo

Watoto wa nje ya ndoa hawarithi kitu labda baba yao awape yy mwenyewe akiwa hai

Uzinzi haujawahi kumuacha mtu Salama
Watoto wa nje ya ndoa wanarithi kama wanatambulika ....Either waliandikwa kweny wosia au aliwatambulisha na wanajulika.

Kutokana na mazingira hayo ya mtoa mada wana haki ya kurithi kwa vile kuna uthibitisho wa kisheria hata DNA tu.

Labda useme ubaya wa uzinzi jamaa kaona asiwatambulishe ....Ndio maana hata ukizaa nje ya ndoa bora useme mapema.
 
Hapa ndiyo utaona tofauti ya sheria za kidini na serikali, mtoto wa nje ana haki ya kurithi mali ya baba yake ili mradi tu ajulikane ni mtoto wa marehemu! Na siyo mpaka D.N.A kikao cha ndugu kikiridhia tu inatosha!

Lengo ni kuwalinda hawa watoto kwani hawana hatia yoyote!


Halafu mtu anakuambia sheria za kidini katunga Mungu!
Solution ni kuacha uzinzi tu!

Muumba wa Waislamu ana akili kuliko wewe unaejiona una maarifa zaidi.
 
Habari wa jf,

Kuna msiba wa ndugu mmoja jirani hapa. Sasa siku ya msiba walikuja watoto 2 wanaumri wa miaka 5 na mama yao wanafanana sana na watoto mapacha wa kiume aliyozaa na mkewe wake ambao wanaumri wa miaka 6.

Inamaana jamaa alizaa nje watoto wamefanana na Baba yao ukiwaona ni kama watoto 2 wa ndani ya ndoa aliyezaa na mkewe.

Mkewe marehemu ajui nini cha kufanya hapo msiba ushaisha mpk sasa.

Familia wanajua hao watoto wanaitajika kutuzwa na kuishi.

Marehemu kaacha nyumba moja anayokuwa anaishi na mkewe na gari moja Toyota ICT na duka la madawa ya binadamu aliyokuwa anasimia mkewe pesa za benk sijajua.

Sasa familia imeingia na kiwewe kuhusu hawa watoto 2 wa nje maana ni watoto wa ndugu yao kabisa.

Kuna mtu mmoja amesema kama mama wa hao watoto anatafuta kusaidiwa malezi ya watoto aende ustawi wa jamii au akafungue shauri mahakamani, sasa inawezekana hio kweli.

Vipi kuhusu hapo watoto nani awapokee na ni nani awaudumie?

Mke wa marehemu yeye anakazi yake japo ni ya kawaida.

Msaada jamani.
Ikitumika busara na roho nzuri basi hao watoto watakuwa watasoma na wataenjoy life cha msingi huyo mchepuko awe mpole alishindwa kusoma ramani akajua ashike wapi mapema. Na fundisho kwa sisi wanaume bahati mbaya zipo ila kuweka mambo sawa ni muhimu sana
 
Hakuna watoto wa nje ya ndoa mkuu kwa mujibu wa sheria za nchi. Watoto wote ni sawa
Watoto wote ni sawa. Kiubinadam lakini.

Wakati mwingine, hasa kwa wanaume japo na wanawake wamo tu. Bora useme mapemaaa, watu wakae wakijua. Japo mijanamke mingine ina roho mbaya ikiletewa mtoto wa nje inaweza mdhulu au wengine huwanyanyasa.

Lakini,we pia fikilia. Mwanamke anaejiita wako wa ndoa, kakupa sumu ili uondoke apumue, huenda ana kishikaji furani anataka kiwe kinagegeda. Hapo kufa kwako ataona raha. Hapo hapo unaanza msara wa mshua alikuwa na watoto 3 nje, na kila mtoto alikuwa na mama yake.

Haya, mawaza yanapanda kichwani. Kumbe alikua dunga dunga! Je, mimi si mtamu kumbe? Hapo anaanza kufichaficha mali, hapo wengine wanapanga afukuzwe zibaki wagawane, na madogo huenda wasipate haki yao.

Sawa,qanaume ni wazinzi. Ila, uzinzi wao unatokana na wanaojiita wake zao kwa asilimia kubwa.
Ni janga kama majanga mengine. Kuna wanawake wengine na wenyewe vilaza. Umezaa na mtu,mme wa mtu. Unapolenga kwamba akifa atarithi na yeye, mtoto huyo hajulikani, unategemea nini? Na ukitangulia? Si ndo anaenda kuwa chokolaa kabisa! Wa kike anajiuza? Pamoja na kwamba wapo walioshindikana, malezi, tabia, na mengine mengi,ila pia wapo ambao hawajui wametokea wapi. Hao si mzigo katika jamii? Haya,jiulize na wao wakizaa!

Kama mwanaume anataka umzalie,na wewe umelidhia,ongeeni muwekane sawa,hiyo mimba na mtoto watambulike.
 
Mbona hakuna mjadala hapo wote ni watoto wa marehemu. Kama wakiamua kagawa mali wanazo haki zote ni suala la familia.

Kuhusu malezi ya watotobado watakuwa chini ya mama yao(wako under 18). Isipokuwa kama mke wa marehemu ataridhia kuwalea wote kwa pamoja.
Word...
 
Ubaya ni kwamba hakuna Cha kugawana hapo,ni utiali wa familia au ukoo kuwalea hao watoto,hili kufanikiwa inategemea na mioyo ya wahusika sio Jambo dogo Hilo litawatesa pande zote mbili hii inatukumbusha wanaume kuacha ubinafsi,tunawaza kukojoa mpaka ubongo ukifa unaona umetua mzigo hujali maisha yao badae
 
Watoto wa nje ya ndoa wanarithi kama wanatambulika ....Either waliandikwa kweny wosia au aliwatambulisha na wanajulika.


Kutokana na mazingira hayo ya mtoa mada wana haki ya kurithi kwa vile kuna uthibitisho wa kisheria hata DNA tu.


Labda useme ubaya wa uzinzi jamaa kaona asiwatambulishe ....Ndio maana hata ukizaa nje ya ndoa bora useme mapema.
Waislamu hatuangalii wosia bali tunaangalia sheria za dini zinasemaje hlf ndo wosia na huo wosia una kipimo chake pia
 
Wanaenda kumuaga na kumsindikiza mzazi wao kwenye safari ya mwisho duniani. Why wasiende kwenye Msiba wa mzazi wao?

Huu ubinafsi umezidi sasa
Mkizaa nje watambulishen watoto mapema wajulikane sio wanajulikana siku ya msiba
 
Watoto was malaya na wao ni malaya tu
Ifike hatua tuache kutetea ujinga ww unajua mtu anamke na familia ww unaenda kubeba mimba umzalie watoto af mwisho wa sku unataka kuja kusumbua familia halali ya marehemu

Ni sawa na kuoa single mother mwisho wa sku mzazi wenzake akija kuleta mattzo unaanza kutafta msaada na kulaumu watu
Ww ukuona uyo ni single mother

Mtoto alopatikana kwa haramu na yy ni haramu tu
Afu ndugu wa mwanaume mara nying tunakuaga wanafiki sana apo wanaweza jifanya wanawapenda sana hao watoto kulko watt harali wa marehemu
 
Waislamu hatuangalii wosia bali tunaangalia sheria za dini zinasemaje
Usibabaishwe na sheria za dini, bado wanaotafasiri ni binadamu kama wewe wana hisia, matakwa, vinyongo, hasira, jazba, wivu, roho mbaya, fitina, chuki,n.k

Tumia akili yako ya kawaida kama Mungu angeleta sheria zake kusingekuwa na mgogoro kama huu:

There are five different schools of Islamic law. There are four Sunni schools: Hanbali, Maliki, Shafi'i and Hanafi, and one Shia school, Jaafari.

The five schools differ in how literally they interpret the texts from which Sharia law is derived.

Interpretation of Islamic law is also nuanced according to local culture and customs, which means Sharia may look quite different in different places.
 
Ndo muone jinsi uzinzi ulivowaajabu na hayo ndo matokeo yake

Kama ww ni binadamu mwenye akili timamu haswaa huwezi zaa nje ya ndoa yako mana mwisho wa siku ndo kama hivi watoto wanateseka
Nakazia, ukiwa na akili timamu
 
Waislamu hatuangalii wosia bali tunaangalia sheria za dini zinasemaje hlf ndo wosia na huo wosia una kipimo chake pia
😅😅Mtoto wa nje akithibitishwa kwa wosia, kauli ya baba akikubali kuwa ni mwanae au sheria nyingine hata DNA anayo haki ya kurithi katika uislamu.

Na ikitokea mtoto wa nje alimkana(baba alimkana mwanae) katika uhai hata kama wana DNA sawa ,huyo mtoto hawezi kurithi ng'o.

Unaposema hapati ni ambaye hajakidhi mambi hayo hapo juu ..

Mfano watoto wa Diamond platinum katika uislamu wote wanapata urithi na hajazaa kweny ndoa hata mmoja ila yule Dylan wa Hamissa hawezi kupata maana alimkana.
 
Wewe ndiyo wa kutafuta elimu ya jinsi ya kuongea kwenye hadhara, huwezi kuunganisha wazazi tena wamekufa kwenye mambo ya kipumbavu. Hongera umeshinda.
Wazazi wako wamezaa mtoto mpumbavu haelewi na mkurupukaji .


Wewe unaingilia mambo bila ya kujua ,hiyo mirathi unaijulia wapi hata sheria kikristo unajua kweli?😅
 
Back
Top Bottom