much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 7,869
- 10,953
Sasa Kuna share gani hapoHao watoto wana haki ya kurithi ila mama yao ndio hatapewa kitu sana sana atakuwa msimamizi wa hiyo share yao mpaka wawe wakubwa.
Sasa Kuna share gani hapoHao watoto wana haki ya kurithi ila mama yao ndio hatapewa kitu sana sana atakuwa msimamizi wa hiyo share yao mpaka wawe wakubwa.
Samahani ndugu, wazazi wangu wamefariki naomba usiwahusishe kwenye huu mzozo wa kishamba.Wazazi wako wamezaa mtoto mpumbavu
Kwa nn unapotosha?Basi usingereply comment yangu hapo ndio shobo zilianza.Samahani ndugu, wazazi wangu wamefariki naomba usiwahusishe kwenye huu mzozo wa kishamba.
Naomba uniambie kosa langu kwako ni lipi?
Unaweza kujificha? Kuna hatua nataka nizichukue dhidi yako.
watagawiwa alicho acha marehemu hata kama ni vijiko.Sasa Kuna share gani hapo
Kwaiyo hapo issues ni mgao na sio malezi Tena?watagawiwa alicho acha marehemu hata kama ni vijiko.
Niletee ushahidi wa ukisemachoMtoto wa nje akithibitishwa kwa wosia ,kauli ya baba akikubali kuwa ni mwanae au sheria nyingine hata DNA anayo haki ya kurithi katika uislamu.
Na ikitokea mtoto wa nje alimkana(baba alimkana mwanae) katika uhai hata kama wana DNA sawa ,huyo mtoto hawezi kurithi ng'o.
Unaposema hapati ni ambaye hajakidhi mambi hayo hapo juu ..
Mfano watoto wa Diamond platinum katika uislamu wote wanapata urithi na hajazaa kweny ndoa hata mmoja ila yule Dylan wa Hamissa hawezi kupata maana alimkana.
Mm kama mimi Uislamu kwanza hlafu maarifa baadaeUsibabaishwe na sheria za dini, bado wanaotafasiri ni binadamu kama wewe wana hisia, matakwa, vinyongo, hasira, jazba, wivu, roho mbaya, fitina, chuki,n.k
Tumia akili yako ya kawaida kama Mungu angeleta sheria zake kusingekuwa na mgogoro kama huu:
There are five different schools of Islamic law. There are four Sunni schools: Hanbali, Maliki, Shafi'i and Hanafi, and one Shia school, Jaafari.
The five schools differ in how literally they interpret the texts from which Sharia law is derived.
Interpretation of Islamic law is also nuanced according to local culture and customs, which means Sharia may look quite different in different places.
BBC - Homepage › news › world
Anayetakiwa kuwalea kashaenda swala la malezi wataamua ndugu kama watawachukua au la. Mama yao yupo atawalea kama ndugu watamsaidia ni juu yao. Vyovyote vile mgao pia upo.Kwaiyo hapo issues ni mgao na sio malezi Tena?
Kama watoto ni kweli wa mume inabidi watunzwe na wapewe haki zao hawana makosa. Ndugu wa mume inabidi wawajibike na wajitolee kufanya hivyo.Habari wa jf,
Kuna msiba wa ndugu mmoja jirani hapa. Sasa siku ya msiba walikuja watoto 2 wanaumri wa miaka 5 na mama yao wanafanana sana na watoto mapacha wa kiume aliyozaa na mkewe wake ambao wanaumri wa miaka 6.
Inamaana jamaa alizaa nje watoto wamefanana na Baba yao ukiwaona ni kama watoto 2 wa ndani ya ndoa aliyezaa na mkewe.
Mkewe marehemu ajui nini cha kufanya hapo msiba ushaisha mpk sasa.
Familia wanajua hao watoto wanaitajika kutuzwa na kuishi.
Marehemu kaacha nyumba moja anayokuwa anaishi na mkewe na gari moja Toyota ICT na duka la madawa ya binadamu aliyokuwa anasimia mkewe pesa za benk sijajua.
Sasa familia imeingia na kiwewe kuhusu hawa watoto 2 wa nje maana ni watoto wa ndugu yao kabisa.
Kuna mtu mmoja amesema kama mama wa hao watoto anatafuta kusaidiwa malezi ya watoto aende ustawi wa jamii au akafungue shauri mahakamani, sasa inawezekana hio kweli.
Vipi kuhusu hapo watoto nani awapokee na ni nani awaudumie?
Mke wa marehemu yeye anakazi yake japo ni ya kawaida.
Msaada jamani.
Uwezekano wa kupata mgao ni mdogo sana pengine haupo kabisaAnayetakiwa kuwalea kashaenda swala la malezi wataamua ndugu kama watawachukua au la. Mama yao yupo atawalea kama ndugu watamsaidia ni juu yao. Vyovyote vile mgao pia upo.
Mtoto kama anaweza kupewa ubini wa babake inashindwaje kurithi ...Ni haki ya mtoto kurithi maana hakuna anaweza kuhukumu.Niletee ushahidi wa ukisemacho
Ntakuletea kitabu kwa maana ni nilikisoma mda sana....Kama mtoto anapew ubini basi na urithi anapata kama mzazi anamuandika kweny wosia au kuthibitisha kwa kukubali kuwa ni mwanae.Sheikh nani alosema hivi? Na ni kitabu kipi kinachosema hivo?
Ngoja nikueleze hapa ndugu maana tulishasolve kesi kama hizi na kwa sheria ya uislamu ni rahisi..Sheikh nani alosema hivi? Na ni kitabu kipi kinachosema hivo?
ISTICT ni aina gan ya gar wakuu?
ISTHata mm najiuliza hapa kumbe kuna brand mpya ya Toyota inaitwa ICT
Sijajua mgao utakuwaje maana maana kuna nyumba moja tuu aliyekuwa anaishi na mkewe na amejenga na mkewe kwa pamoja maana hata ndugu wa karibu wanasema kaka yao akujenga pekeake. IST moja na duka la madawa ya binadamu basi hakuna kingine.Mbona hakuna mjadala hapo wote ni watoto wa marehemu. Kama wakiamua kagawa mali wanazo haki zote ni suala la familia.
Kuhusu malezi ya watotobado watakuwa chini ya mama yao(wako under 18). Isipokuwa kama mke wa marehemu ataridhia kuwalea wote kwa pamoja.
Ila ndugu mtoto wa nje ya ndoa hatakiwi kuitwa kwa ubini wa baba akeMtoto kama anaweza kupewa ubini wa babake inashindwaje kurithi ...Ni haki ya mtoto kurithi maana hakuna anaweza kuhukumu.
Kasome surah 33 4-5 kama mtoto atapewa ubini ndio ishindwe kupwa urithi na ni haki yake.
Kuna nyumba moja tuu na IST na duka la dawa za binadamu ,Anayetakiwa kuwalea kashaenda swala la malezi wataamua ndugu kama watawachukua au la. Mama yao yupo atawalea kama ndugu watamsaidia ni juu yao. Vyovyote vile mgao pia upo.
Marehemu kaacha Baba yake. Mama yeke alishatangulia na pia kuna mdogo wake wa kike mmoja kamaliza chuo na kaka yake 1 yeye anapambana tuu na life .Kama watoto ni kweli wa mume inabidi watunzwe na wapewe haki zao hawana makosa. Ndugu wa mume inabidi wawajibike na wajitolee kufanya hivyo.
Mkuu ishu atakeye udumia ni nani?Ikitumika busara na roho nzuri basi hao watoto watakuwa watasoma na wataenjoy life cha msingi huyo mchepuko awe mpole alishindwa kusoma ramani akajua ashike wapi mapema. Na fundisho kwa sisi wanaume bahati mbaya zipo ila kuweka mambo sawa ni muhimu sana