Msaada: Anayejua mchanganuo wa uniti moja ya maji kwa ndoo pamoja na gharama yake anijuze

Habari zenu!

Hivi unit moja ya maji ni sawa na ndoo ngapi za maji? Na bei ya unit moja ni shngap? Nisaidieni nahisi napigwa huku na mwenye nyumba.
Unit moja ni lita 1,000, bei inategemea muuzaji ni nani. Wapo wauzaji wengi mfano serikali, watu binafsi na wengine wanauza maji baridi, pambanua shida yako.
 
Bill ya maji = matumizi (units)× bei ya kila unit +( service chaji, tozo n.k)
Unit 1 = 1 M³ ≈ ndoo 50 za 20ltr
 
Habari zenu!

Hivi unit moja ya maji ni sawa na ndoo ngapi za maji? Na bei ya unit moja ni shngap? Nisaidieni nahisi napigwa huku na mwenye nyumba.
Lita 1000 za ujazo=uniti 1.
Gharama inategemea na chanzo cha maji kilipo km ni bondeni ama mlimani.
Mfano kwa wale ambao chanzo cha maji ni Mlima Kilimanjaro,Meru,Ulugulu nk ni tofauti na ambao chanzo cha maji ni ziwa,bwawa,ama kisima.
 
Back
Top Bottom