Mrembo by nature doing her Shopping at Kisambo Market...

Last edited by a moderator:
Hahaha...mkuu maeneo ya huko nimefika Marangu hapo chini hadi kule juu ilipo Agape Seminary...hayo maeneo mengine sijawahi fika atiii

Ushapita, kiriveni, kavambugu au kule vunta ya hedaru?
sasa hapo siyo mahore..
lakini hiyo picha ni kule kwa kina Mamndenyi..
 
Hahaha...mkuu maeneo ya huko nimefika Marangu hapo chini hadi kule juu ilipo Agape Seminary...hayo maeneo mengine sijawahi fika atiii

sasa mkuu watu8 kama ushafika hadi agape mbona kisambo utakuwa unapajua kabisa?
ngoja nikuelekeze...
pale unapoiacha barabara ya lami,(mkuuni)
kuanza njia ya kwenda agape, hiyo barabara ukipanda nayo moja kwa moja inakupeleka hadi kisambo..
 
Last edited by a moderator:
Hahaha...
Hapo umenifungua macho mkuu ingawaje nilifika huko kitambo kidogo....mwanzoni mwa 2000.

sasa mkuu watu8 kama ushafika hadi agape mbona kisambo utakuwa unapajua kabisa?
ngoja nikuelekeze...
pale unapoiacha barabara ya lami,(mkuuni)
kuanza njia ya kwenda agape, hiyo barabara ukipanda nayo moja kwa moja inakupeleka hadi kisambo..
 
Si unajua tena ugeni...huwezi oneshwa maeneo yote...Marangu nimefika mara mbili tu...mara ya kwanza ilikuwa 1997 na niliishia huku Marangu Sec...
Baadaye ndio hiyo 2000 angalau nikapelekwa hadi huko milimani karibu na Agape

kisambo ipo toke miaka ya 68... hahahaha...
 
Si unajua tena ugeni...huwezi oneshwa maeneo yote...Marangu nimefika mara mbili tu...mara ya kwanza ilikuwa 1997 na niliishia huku Marangu Sec...
Baadaye ndio hiyo 2000 angalau nikapelekwa hadi huko milimani karibu na Agape

Poa sana mkuu! mi mwenyewe huku ni wakuja tu..
kwetu ni huko Tandahimba mtwara! karibu kabisa na kwa kina MMAHE..
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom