Mrembo by nature doing her Shopping at Kisambo Market...

Mrembo by nature doing her Shopping at Kisambo Market...

Hahaha kwani miguu kazi yake nini?si kutembelea, kama inatimiza hilo hitaji basi haina tabu hahaha, mengine yote mapambo tu

hapo umeona mbali kidogo ila kuna mtu kanPM hapa anauliza eti
ulikuwa unatembelea mikono?
namwmbia akuulize anakuogopa....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom