Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 56,026
- 56,109
alitoka huko jana tu ndugu yangu!!
sawa mkuu
alitoka huko jana tu ndugu yangu!!
Kisambo ipo katikati ya marangu mtoni na msae!
cc
Arushaone, Mamndenyi and Mr Rocky + Mtoto halali na hela
kwani time hizi wewe uko wapi? Himo au?
kha kha khaaaaaa!!
siamini kama huyo ndio Mrembo by Nature
kiwatengu labda umemfananisha aisee!!
jana alikuwa anapita akajaribu kucheki bidhaa
ndiyo yeye mwenyewe! kumbe ulikuwa humfahamu?
uliza hata kwa mimisa
hahahaaaaa!!haya ngoja nimsifie kinagaubagaunaona alivyopendeza? soko lote walimkodolea macho!!
Mbona husifii picha?
hahahaaaaa!!haya ngoja nimsifie kinagaubaga
Mrembo by Nature ulipendezaaaa!!!
sasa shem yanini unabisha?
au ndiyo unataka kuonea wivu miguu ya mwenzio?
yaah! mrembo kwa asili..kapendeza kweli kweli. Heaven on earth wivu utamkaba.
yeah! hapo alitaka kupiga pozi la msamba nikamshauri akae hvyo..