Hahahaha na gauni klangu la kipaimara mtanitaka sasa
Mambo asilia hapo teh tehkwani hadi ukaitwa Mrembo by Nature
mambo yako sio mchezo
nipo baba namuona mrembo alivopendezaThere are currently 3 users browsing this thread. (2 members and 1 guests)
unapendeza ukienda shopping si mchezo maana umemechisha viatu na pochi.na hilo gauni mashaalah upepo ukija utajuta
Hahahahha...akaa mieebado ile yako! ntaiweka kesho..unaikumbuka?
Naomba tuishie hapo hapo, usiweke
Weka ile yako na shansarie mlopiga studio
hiyo mimi siijui ila ya kwako..naijua!!
Chocs..unamfahamu huyu mdogo wake na The secretary?
![]()
Nimemwona kule kwenye funny games...
Khah mi hata simfahamu
Simo!!
Mwenzangu uzuri umeuona weye,me naona maajabu tuu!!mzuri hadi anaumiza macho