MREJESHO; Wa Kaka yangu aliyechanganyikiwa

MREJESHO; Wa Kaka yangu aliyechanganyikiwa

Duh! Kwahiyo mkuu, unataka kusema hapa likiisha hili atatuambia tena tatizo jingine ilimradi tuendelee kuwa wateja wake?
Ahaa kumbe unatambua,waganga washenzi sana wanataka watu wawe wqendelee kuwa wategemezi wao,mganga anaweza kukutupia ruhani na ruhani hilohilo akajifanya anataka kulitoa
 
Dah! Hebu elezea kwa ufupi mkuu..!

Kwa ufupi waganga wa kienyeji wanapiga hela kwa kucheza na saikolojia yako. Kwanza wanakujaza hofu kwa kukudanganya umerogwa na watu wako wa karibu.

Kisha wanaanza kukuonesha mauza uza uza ya kukujaza hofu kwa ujanja

Mfano mgonjwa na waliomsindikiza kwa mganga wataona maajabu mengi yatakayowafanya waamini ndugu yao karogwa kweli, waganga Watamfanyia practical za chemistry ambazo hajawai kuziona.. yeye atajua dawa zinafanya miujiza ndio maana anaona maajabu ya kichawi. Kumbe chemical reactions tu
 
Ahaa kumbe unatambua,waganga washenzi sana wanataka watu wawe wqendelee kuwa wategemezi wao,mganga anaweza kukutupia ruhani na ruhani hilohilo akajifanya anataka kulitoa
waganga ni waongo tena wauaji, mimi nimeambiwa kwamba nimelishwa nyama na kunyweshwa maji ya maiti, nikaambiwa nitoe hela, nikatoa wakanipa dawa kutafuna na kumeza, niliharisha siku tatu, nilipochunguza nilichopewa kumbe zilikuwa mbegu za nyonyo(castor) nimekoma kwa waganga
 
Ulikuwa na shida gani
 
Asante sana, la kwanza alilosema ni kwamba mtu anayefanya hivyo kwa ndugu yangu ni mtu katika familia na majirani na kingine ni kwamba hao watu wapo katika chama Chao hivyo kuna sadaka mwezi wa 6 na wa 12 kama wameshindwa kwa kaka yangu wanaweza wakanitoa mimi sadaka maana mimi ndiye mtoto wa kike wa mwisho na ndiye last born😪
Hapa ndo mtaanza kutoa hela mpaka mchanganyikiwe ili usife
 
waganga ni waongo tena wauaji, mimi nimeambiwa kwamba nimelishwa nyama na kunyweshwa maji ya maiti, nikaambiwa nitoe hela, nikatoa wakanipa dawa kutafuna na kumeza, niliharisha siku tatu, nilipochunguza nilichopewa kumbe zilikuwa mbegu za nyonyo(castor) nimekoma kwa waganga
Huyo mganga wako mshenzi sana aisee pole sana mkuu
 
Kwa ufupi waganga wa kienyeji wanapiga hela kwa kucheza na saikolojia yako. Kwanza wanakujaza hofu kwa kukudanganya umerogwa na watu wako wa karibu.

Kisha wanaanza kukuonesha mauza uza uza ya kukujaza hofu kwa ujanja

Mfano mgonjwa na waliomsindikiza kwa mganga wataona maajabu mengi yatakayowafanya waamini ndugu yao karogwa kweli, waganga Watamfanyia practical za chemistry ambazo hajawai kuziona.. yeye atajua dawa zinafanya miujiza ndio maana anaona maajabu ya kichawi. Kumbe chemical reactions tu
Hizo ndiyo zinakuwaje mkuu?
 
Kama kaka yako kapata nafuu familia yenu imeamua nini kuhusu wewe? Au haijaona kama na kwako kuna tatizo?
Haijaona huyo mtaalamu yeye ndiyo aliniita akasema kuna tatizo na mimi naweza kukumbwa na hiyo hali au kutolewa kafara
 
Huyu hajakaa kipesa pesa kabisa mkuu yaani wewe unanunua vifaa anakufanyia kazi yako ukishapona utampelekea tu sadaka utakayojisikia, siyo kama hao wanaotaja kiasi
Bi mdogo tulia kama mtu haamini aachane na huuu uzi sijasahau bado nilivyokoswa koswa kufanywa ndafu miaka 30 nyumba huko
 
Hizo ndiyo zinakuwaje mkuu?

Tazama hii video ni mfano mmojawapo.

Leo tujifunze moto wa maajabu ambao waganga wengi wanautumia kutapeli watu wakijifanya moto huo umeletwa na nguvu zao za uganga.

Waganga wanachukua pottassium permanganate sababu wateja wao hawaijui wanawadanganya ni dawa ya mizizi ya kiuganga.. kisha wanainyunyuzia na Grycerin.. hapo baada ya muda ni lazima mlipuko utokee.. hapo waganga wanajifanya mlipuko huo umetokana na uchawi ama nguvu zao za kiuganga.

Nimekumbuka mechi ya Simba vs Orlando pirates CAF shirikisho..simba walifanya dawa ya moto uwanjani ili wapate ushindi. Bila kujua Kumbe walipewa practical ya Chemistry tu na mganga wa kienyeji.

Mwisho wa siku wakafungwa dawa ya mganga haijafanya kazi.

Tazama video hii utaelewa vizuri.
 
Attachments

  • 5773614-6a62dd3b6f3d1e6f5dfbad770df457fc.mp4
    8.1 MB
Back
Top Bottom