MREJESHO; Wa Kaka yangu aliyechanganyikiwa

Yaani ndugu yangu anaumwa nisiende kumuona?
Kaa mbali nae kabisa yaan ulitakiwa usijihusishe kwa lolote walilokua wanakuhusisha km walisema linahusu shirki kwaanini wewe hukusema tumpeleke kwa Mchungaji? Ulisahau nini ukaenda kwa Wachawi?
 
Kuhusu kututapeli huyu hajakaa kitapeli kwasababu tangu mwanzoni tunanunua vifaa vya tiba anasema ndugu yetu akishapona tutampelekea sadaka lakini hajawahi kutupangia bei kasema anatusaidia
Ndio wanasemaga hivyohivyo ila ndio hivyo mshaingizwa kwenye familia ya mganga na.mengi mtayaona baada ya hapo,waganga na wachawi ni walewale
 
Wewe unanishaurije sasa mkuu mbona kama unanisema?
Mimi sina cha kukushauri ila madhara utayaona mweenyewe maana mimi sio wewe, kwa hio fanya vile nafsi yako na roho inakwambia ufanye, hushauriki wewe kwanza naona km unatuenjoy tu na story yako ya kutunga
 
Kaa mbali nae kabisa yaan ulitakiwa usijihusishe kwa lolote walilokua wanakuhusisha km walisema linahusu shirki kwaanini wewe hukusema tumpeleke kwa Mchungaji? Ulisahau nini ukaenda kwa Wachawi?
Mimi nilikuta ndugu zangu walishampeleka huko tayari na hawa wachungaji ndiyo hawa wa mafuta na maji, mtanunulishwa mafuta na maji matokeo hakuna mwaka jana alivyoumwa tulimpelekaga pale temboni mambo hayakuwa mazuri
 
Ndio wanasemaga hivyohivyo ila ndio hivyo mshaingizwa kwenye familia ya mganga na.mengi mtayaona baada ya hapo,waganga na wachawi ni walewale
Duh! Kwahiyo mkuu, unataka kusema hapa likiisha hili atatuambia tena tatizo jingine ilimradi tuendelee kuwa wateja wake?
 
Mimi sina cha kukushauri ila madhara utayaona mweenyewe maana mimi sio wewe, kwa hio fanya vile nafsi yako na roho inakwambia ufanye, hushauriki wewe kwanza naona km unatuenjoy tu na story yako ya kutunga
Mkuu hii ni kweli nimechanganyikiwa kweli kabisa ujue
 
Mimi nilikuta ndugu zangu walishampeleka huko tayari na hawa wachungaji ndiyo hawa wa mafuta na maji, mtanunulishwa mafuta na maji matokeo hakuna mwaka jana alivyoumwa tulimpelekaga pale temboni mambo hayakuwa mazuri
Basi fanya vile unavyoona wewe inafaa maana km kufa utazikwa peke yako na kaka yako atazikwa peke yake au umeambiwa mtazikwa pamoja?
 
Fanya vile unavyoona inafaa hakuna ushauri utaupokea na kuuona una nafuu kwako kila ushauri kwako ni moto mwingine ushaingia kwenye moto huo endelea kuungua polepole
Ukisema hivyo hapo unazidi kunichanganya dah! 🥲
 
Unayoyasema hapa Kuna watu Wanadhani n nadhariaa kwakuwa hayajawakutaa ilaa haya mambo yapo sana watu kuchezeanaa,,,poleni Sanaa km familiaa najua mnayoyapitiaaa
Mwaka 1999 niliumwaga sana sana,,niliangaika pale mwananyamala hospital vipimo vyote na dawa za kila aina sikupata ahueni....nilienda kuponea kijijini kwetu...tena daktari aliniambia kaangalie mizimu ya kwenu labda ...

Mungu wa ajabu nilivyoanza tiba za jadi ..siku tatu tu nikaanza kupata nafuu kubwa sana
 
Wewe unataka ushauri gani usioge matope uoge maji safi au? Wewe chagua mwenyewe unachoona kinakufaa kufanya usichaguliwe na mtu maana hakuna ambae utazikwa nae humu
Haya mimi nimeamua sitaoga wala kushiriki tena hayo mambo
 
Mwaka 1999 niliumwaga sana sana,,niliangaika pale mwananyamala hospital vipimo vyote na dawa za kila aina sikupata ahueni....nilienda kuponea kijijini kwetu...tena daktari aliniambia kaangalie mizimu ya kwenu labda ...

Mungu wa ajabu nilivyoanza tiba za jadi ..siku tatu tu nikaanza kupata nafuu kubwa sana
Pole sana mkuu haya mambo yakikukuta ndiyo utayaamini mimi kaka yangu hali aliyokuwa nayo mwanzo na sasa hivi yaani amesaidika sana aisee
 
Mwaka 1999 niliumwaga sana sana,,niliangaika pale mwananyamala hospital vipimo vyote na dawa za kila aina sikupata ahueni....nilienda kuponea kijijini kwetu...tena daktari aliniambia kaangalie mizimu ya kwenu labda ...

Mungu wa ajabu nilivyoanza tiba za jadi ..siku tatu tu nikaanza kupata nafuu kubwa sana
Naona ulienda kuonyeshwa na kufagia Makaburi ya Bibi na Babu mzaa Baba, then you're automatically unlocked
 
Kama kaka yako kapata nafuu familia yenu imeamua nini kuhusu wewe? Au haijaona kama na kwako kuna tatizo?
 
Back
Top Bottom