Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 5,461
- 13,859
Aliwahi kupata ajali yoyote before?Hapana he is 20years form three. Alianzaga kwa kuumwa kichwa tu lastbyear mwishowe. Ila kwa sasa kadata kabisa
Aliwahi kupata ajali yoyote before?Hapana he is 20years form three. Alianzaga kwa kuumwa kichwa tu lastbyear mwishowe. Ila kwa sasa kadata kabisa
Maelezo inaonekana dalili za schizophrenia. Nina imani hospitali wana dawa kusaidia symptoms sina uhakika kama kuna tiba.Nenda nae kwa madaktari bingwa wa afya ya akili Muhimbili. Wakamtazame.
Achana na waganga wa kienyeji
Hapana. Wanasema sijui aliwahi fanyiwa operation kwenye kolodani kuziweka vizuriAliwahi kupata ajali yoyote before?
Sina hakika kama inaweza kuwa sababu. Nimeuliza nijue endapo amewahi kupata majeraha kichwani.. Kutumia mihadarati kwa siri may be, au ni changamoto nyingine zaidi. Ana muda gani tangu kichwa kimsumbue na matokeo aliyonayo sasa?Hapana. Wanasema sijui aliwahi fanyiwa operation kwenye kolodani kuziweka vizuri
Mwaka jana mwezi.wa 11 ndiyo kichws kilianza kumuuma. Sasa mwezi huu wa tano ndo amekuwa wakufunga na kamba anaona watu wanamfukuza. Mara atake kupiga watu ni yaani ni vurugu zoteSina hakika kama inaweza kuwa sababu. Nimeuliza nijue endapo amewahi kupata majeraha kichwani.. Kutumia mihadarati kwa siri may be, au ni changamoto nyingine zaidi. Ana muda gani tangu kichwa kimsumbue na matokeo aliyonayo sasa?
Dalili zake za awali za matendo? Matendo yake sasa yapoje mkuu?
Kuna mida hutulia na kuwa sawa au ni all the timeMwaka jana mwezi.wa 11 ndiyo kichws kilianza kumuuma. Sasa mwezi huu wa tano ndo amekuwa wakufunga na kamba anaona watu wanamfukuza. Mara atake kupiga watu ni yaani ni vurugu zote
Kuna mda dogo anakuwa sawa anaongea vizuri tu, siyo kwamba mda wote kavurugwa. Ila akiliamsha.sasa hatariKuna mida hutulia na kuwa sawa au ni all the time
Maombi.,Aliponaje aisee. Kuna dogo kadata huku