MREJESHO; Wa Kaka yangu aliyechanganyikiwa

Mkuu lakini alivyoanza kumtibia sasa hivi ameanza kurudi kwenye hali yake ya zamani
Mganga anacheza na mgonjwa kwa saikolojia.

Mgonjwa anajiona amepona sababu ya Placebo effects.

Mganga ame mask symptoms.. kampa steroids kwa ujanja.. mfano anaweza kumpa dawa ya maji maji, kumbe hayo maji kayeyusha steroids humo ndani... Mgonjwa anajiona ana hali nzuri kumbe ujanja ujanja tu.
 
Si unasema bado anaona watu? Anamtibia na nini? Waganga muda mwingine wanawapa dawa za hospital.

Mi nishauguza mtu wa style hiyo.
Yaani watu wakija nyumbani anaanza kuwaomba msamaha au akiona mna heka heka anawauliza kwani kuna nini mbona sielewi elewi, kile kitendo cha kufungiwa ndani naona kimemuathiri na vile kufukizwa hizo dawa ndiyo kabisa
 
Asante mkuu kwa hii elimu yako, lakini huyu kaka yangu alifika pabaya hadi kuwadhuru wazazi na kufanya fujo hadi tukahisi hili siyo jambo la kawaida
Yap nakubaliana na wewe asilimia 100%, ndugu yangu pia wa damu alipata shida kama hii alikua anapiga kila mtu nyumbani, kuvunja vitu, kutaka kufanya majaribio kadhaa ya kuchoma nyumba , lakini tiba za jadi hazikusaidia ila kwakua nilikua na elimu tayri ya magonjwa haya tulimpeleka Mirembe akakaa pale kama miezi 2, akarejea katika hali yake sasaivi huwa anaendelea na clinic ya dawa lakini maisha yanaendelea vizuri, kaoa na familia
 
Mganga anacheza na mgonjwa kwa saikolojia.

Mgonjwa anajiona amepona sababu ya Placebo effects.

Mganga ame mask symptoms.. kampa steroids kwa ujanja.. mfano anaweza kumpa dawa ya maji maji, kumbe hayo maji kayeyusha steroids humo ndani... Mgonjwa anajiona ana hali nzuri kumbe ujanja ujanja tu.
Dawa alizompa ni za kuoga na kufukizwa tu hakuna ya kunywa hata moja
 
Mganga anacheza na mgonjwa kwa saikolojia.

Mgonjwa anajiona amepona sababu ya Placebo effects.

Mganga ame mask symptoms.. kampa steroids kwa ujanja.. mfano anaweza kumpa dawa ya maji maji, kumbe hayo maji kayeyusha steroids humo ndani... Mgonjwa anajiona ana hali nzuri kumbe ujanja ujanja tu.
Tena ameoneshwa hirizi kwamba ndiko kulikuwa na uchawi anaweza kujihisi amepona! Kumbe mganga kawaingiza kwenye mfumo wa utapeli!
 
Yap nakubaliana na wewe asilimia 100%, ndugu yangu pia wa damu alipata shida kama hii alikua anapiga kila mtu nyumbani, kuvunja vitu, kutaka kufanya majaribio kadhaa ya kuchoma nyumba , lakini tiba za jadi hazikusaidia ila kwakua nilikua na elimu tayri ya magonjwa haya tulimpeleka Mirembe akakaa pale kama miezi 2, akarejea katika hali yake sasaivi huwa anaendelea na clinic ya dawa lakini maisha yanaendelea vizuri, kaoa na familia
Shida ndugu wote wameshakuwa na imani na huyo mtaalamu huwaambii kitu na hivyo anavyosema anaemroga ni mtu katika familia na majirani hapo ndo kawamaliza kabisa huwezi kuwaambia kuhusu huko hospitali hawawezi kukuelewa kabisa kwasasa na hivi wanamuona ameshaanza kujielewa
 
Nenda nao taratibu kuwaelezea, mganga apo anacheza na power of influence, ukiwa unawaambia taratibu wakikaa wakatulia wenyewe wakaanza kutafakari wanajua uko sahihi, elimu!! elimuu!! elimu!! muhimu
 
Mimi ninachojiuliza kwanza kwanini asiwataje hao watu, tuwajue kabisa ila amekazania eti mtu wa familia na majirani mh! Hapo inatia wasiwasi sana
 
atagombanisha familia bure, Matatizo ya Afya ya akili yamekua ni kichaka cha waganga kupiga helaa!! epuka matapeli, kuna siku atakuja anajifanya kuchimba chimba hapo kwenu anatoa mara pembe au hirizi ndani, hizi michezo kuzicheza ata wewe nikupa maelekezo una act tu kama umepandisha majini, unapiga kelele unaenda sebuleni wakiwa wanekaa unawaamhia kwenye kochi hili kuna hirizi, unapiga tambo za hapa na pale unaitoa wanaona afu unasema wachinje kuku unakula safi😅,
 
Hiyo hirizi imeshachimbwa ikatolewa siku ya kwanza kabisa, na nikikueleza hiiyo situation ilivyo unaweza ukasema kabisa kuwa hiyo ni michezo
 
kama kashapiga hili tambo la kuchimba hirizi basi lazima achukue pointi 3 muhimu za ugenini ndiyo maana ndugu wakamuelewa sana kuwatoa kwenye hii situation ni ngumu😂😂, coz hakuna kitu kigumu kama kumshauri mtu anayeenda kutapeliwa🫵
 
Na vile huyu hajatanguliza pesa ndiyo kawachanganya kabisa eti ndiyo wanasema hapa kwenyewe anatusaidia angekuwa mwingine angeshataja pesa
 
apo mganga anacheza karata zake tu vizuri, mambo mazuri si ayataki haraka, anasoma mchezo vizuri wa uchumi wenu anasuka dau lake jikoni, kiasi kwamba atawapiga bila kujua mmepigwa, silaha nzito huandaliwa wakati wa amani na siyo vita !!
 
Shida ndugu wote wameshakuwa na imani na huyo mtaalamu huwaambii kitu na hivyo anavyosema anaemroga ni mtu katika familia na majirani hapo ndo kawamaliza kabisa huwezi kuwaambia kuhusu huko hospitali hawawezi kukuelewa kabisa kwasasa na hivi wanamuona ameshaanza kujielewa
Ni ngumu sana kumshauri mtu anayetapeliwa. Mganga kashawatia kingi.
Nyie mnatapeliwa na mgonjwa atazidi kuumwa tu.
 
apo mganga anacheza karata zake tu vizuri, mambo mazuri si ayataki haraka, anasoma mchezo vizuri wa uchumi wenu anasuka dau lake jikoni, kiasi kwamba atawapiga bila kujua mmepigwa, silaha nzito huandaliwa wakati wa amani na siyo vita !!
Mimi hanipati kabisa kwanza nimepanga kuwakaushia kabisa sitaki kushiriki tena hayo maswala
 
Back
Top Bottom