kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,177
- Thread starter
- #201
Niambie imani yako sasa kwenye swala hiliMkuu unajua labda tunatofautiana Imani.
Niambie imani yako sasa kwenye swala hiliMkuu unajua labda tunatofautiana Imani.
100%Kwamba huyu ni tapeli?
Tayari mmeshaingia kwenye mfumo wa mganga! Hizo ni ramli chonganishi, hivi tutawaambia mpaka lini jamani? Waganga wa kupiga ramli huwa wachonganishi sana hapo sasa mnaenda kukosana na ndugu yenu pamoja na huyo jirani!Asante sana, la kwanza alilosema ni kwamba mtu anayefanya hivyo kwa ndugu yangu ni mtu katika familia na majirani na kingine ni kwamba hao watu wapo katika chama Chao hivyo kuna sadaka mwezi wa 6 na wa 12 kama wameshindwa kwa kaka yangu wanaweza wakanitoa mimi sadaka maana mimi ndiye mtoto wa kike wa mwisho na ndiye last born😪
Kwanini unasema hivyo mkuu?100%
Hao watu hajawataja kwa majina amekataa kata kata kututajiaTayari mmeshaingia kwenye mfumo wa mganga! Hizo ni ramli chonganishi, hivi tunawaambia mpaka lini jamani? Waganga wa kupiga ramli huwa wachonganishi sana hapo sasa mnaenda kukosana na ndugu yenu pamoja na huyo jirani!
Memshaingia kwenye mfumo wa mganga! Hapo anaenda kuwachonganisha na shangazi yenu au bibi yenu na huyo jirani! Hiyo hirizi atakuwa kaiweka yeye mwenyewe ili awalazimishe muingie kwenye mfumo wake kiulaini! Hebu niambie nani aliwaelekeza kwa huyo mganga?kivipi mkuu
Nyie si mtaanza kuhisi! Ndiyo ugomvi huwa unaanza hivyo!Hao watu hajawataja kwa majina amekataa kata kata kututajia
Mkuu mimi ni mkristo na Kwa mujibu wa kitabu cha Imani yangu Biblia, mathayo 12:26 " Na shetani akimtoa shetani, amefitinika juu ya nafasi yake, basi ufalme wake utasimamaje?"Niambie imani yako sasa kwenye swala hili
That's mind trick kwakuwa 90% ya matatizo ya watu hufanana.Kwanini unasema hivyo mkuu?
Nalijua hilo, we fanya ukuje nitakuelekeza namna ya kufanya wasikuoneKila ninapoenda wananiona hata niende wapi
Nakushauri ndugu yangu tiba za mganga zitaleta unafuu tu wa juuu ila hazitatibu tatizo la ndani, kuhusu hiyo hirizi kukuta nyumbani hizi ni michezo tu ya waganga (nimetokea familia ya waganga somehow I know how to play them) lakini kwa bahati nzuri pia Babu + baba yangu japo kuwa ni waganga waliwekeza sana kwenye suala la mimi kupata elimu ya tiba ya sayansi , now ji daktari wa binafamu niliyesoma tiba kwa miaka 5 na intern jumla 6 years,Guys, yule kaka yangu niliyewaambia alipatwa na ukichaa kwa mara ya pili baada ya kukabidhiwa pikipiki mpya, sasa tulihangaika na tiba kwa mtaalamu.
Kwasasa ana nafuu kubwa kabisa japokuwa bado hajatulia kuna muda anakuwa anahisi kama watu wanaokuja kumuona wanataka kumfanyia vitu vibaya ila yote kwa yote ni jambo la kumshukuru Mungu kwani alivyo mwanzo na sasa hivi ni tofauti kabisa.
Sasa wakuu huyo mtaalamu kuna mambo alikuwa anayasema ni mazito sasa sijui kama ni kweli au lah! Hadi nabaki nachanganyikiwa.
Hii hapo chini ni picha ya hirizi tuliyoikuta nyumbani siku ya kwanza mtaalamu alivyokuja kuanza tiba ya kaka yangu.
Hao watu hajawataja kwa majina amekataa kata kata kututajia
Ntakutafuta mkuuNitafute nikupatie file la video pamoja na notes... Hakuna mganga yeyote atakayekutapeli..
Alileta uzi wa kwanza nikamshauri, Je Ni vibaya?Tajiri na wewe uko huku unatafuta umbeya muda.unapata wapi tajiri. Tutoke magetoni tutafute pesa tuachane na hizi stori za abunuasi na umbeya.
Asante mkuu kwa hii elimu yako, lakini huyu kaka yangu alifika pabaya hadi kuwadhuru wazazi na kufanya fujo hadi tukahisi hili siyo jambo la kawaidaNakushauri ndugu yangu tiba za mganga zitaleta unafuu tu wa juuu ila hazitatibu tatizo la ndani, kuhusu hiyo hirizi kukuta nyumbani hizi ni michezo tu ya waganga (nimetokea familia ya waganga somehow I know how to play them) lakini kwa bahati nzuri pia Babu + baba yangu japo kuwa ni waganga waliwekeza sana kwenye suala la mimi kupata elimu ya tiba ya sayansi , now ji daktari wa binafamu niliyesoma tiba kwa miaka 5 na intern jumla 6 years,
Ila kwa matatizo ya afya ya akili wengi hukimbilia kwa waganga badala ya kwenda hospitali maalumu. labda Ngoja nitoe elimu kidogo ya Afya ya akili.
ELIMU YA AFYA YA AKiLI
Ili nisikuchanganye tufanye Afya inajumuisha Afya ya Mwili na Afya ya akili. Endapo mtu atapata tatizo lolote katika mwili au akili yake tunasema ana tatizo (ugonjwa) katika mwili au akili.
Nikurudishe nyuma kidogo, ukianza kuumwa kichwa, magoti, kutoka jasho kali na kutapika unaweza sema ni Malaria si ndio? kwanini useme ni malaria? Ni kwasababu dalili za malaria unazijua. Basi ndiyo hivyo matatizo ya mwili ni rahisi kuyajua kwa sababu dalili zake zinaonekana mapema, kama vile kuumwa tumbo, kuhara, n.k vikitokea unajua apa nashida flani kwa mwili unaenda hospitali unatibiwa unarejea katika afya njema.
Lakini kwa upande wa matatizo ya Afya ya Akili, vilevile yana dalili zake ambazo zikianza kutokea unajua hapa na shida ya akili nipate tiba mapema, lakini kwa wengi dalili za magonjwa ya akili zikitokea wanasema wamerogwa!!!
Dalili za matatizo ya afya akili ni kama vile hofu au furaha kupitiliza, kusikia sauti za watu kuongea na wewe au sauti zinataka kukudhuru, kujiona una uwezo wa kufanya maajabu mengi lakini ki uhalisia huo uwezo hauna. hizo ni dalili chache tu
Ifike hatua watanzia tubadilike, kwanini ukiharisha uendi kwa mganga? Ila ukianza kuongea peke yako unapelekwa kwa mganga?
Elimu ya afya ya akili ni pana sana na ina magonjwa mengi na mbalimbali kama vile tulivyo na magonjwa ya mwili mbalimbali kama Malaria, typhoid,n.k
Dah! Ila wewe muongo sana aiseeNalijua hilo, we fanya ukuje nitakuelekeza namna ya kufanya wasikuone
Mtaalamu anawapanga awapige vizuri. Hizo hirizi anakuja nazo jamaa wajanja sana. Mpelekeni hospital huyo akafungiwe.Guys, yule kaka yangu niliyewaambia alipatwa na ukichaa kwa mara ya pili baada ya kukabidhiwa pikipiki mpya, sasa tulihangaika na tiba kwa mtaalamu.
Kwasasa ana nafuu kubwa kabisa japokuwa bado hajatulia kuna muda anakuwa anahisi kama watu wanaokuja kumuona wanataka kumfanyia vitu vibaya ila yote kwa yote ni jambo la kumshukuru Mungu kwani alivyo mwanzo na sasa hivi ni tofauti kabisa.
Sasa wakuu huyo mtaalamu kuna mambo alikuwa anayasema ni mazito sasa sijui kama ni kweli au lah! Hadi nabaki nachanganyikiwa.
Hii hapo chini ni picha ya hirizi tuliyoikuta nyumbani siku ya kwanza mtaalamu alivyokuja kuanza tiba ya kaka yangu.
Mkuu lakini alivyoanza kumtibia sasa hivi ameanza kurudi kwenye hali yake ya zamaniMtaalamu anawapanga awapige vizuri. Hizo hirizi anakuja nazo jamaa wajanja sana. Mpelekeni hospital huyo akafungiwe.
Ipo mirembe
Lutindi miezi mitatu tu anakua mpya.
Si unasema bado anaona watu? Anamtibia na nini? Waganga muda mwingine wanawapa dawa za hospital.Mkuu lakini alivyoanza kumtibia sasa hivi ameanza kurudi kwenye hali yake ya zamani